Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Brother why don't you shut up and sleep kama una stress zako usijaribu kutupa nasisi.... The first thing is kwanza umejidharau kuona rangi yako haifai na unajaribu kuembrace udikteta, democracy is what made America where it is today, the only thing ambayo unaita demokrasia kwetu haipo na wala haijakuwepo... Ukiona chama pinzani kinashinda uchaguzi (mfano Zanzibar) the next day una unull matokeo demokrasia hakuna, ukiona mwenyekiti wa tume anachaguliwa na kiongozi anaetawala definitely hakuna demokrasia.
Wapinzani Africa hajitambui kwakuwa wanatumiwa na vyama tawala kujificha nyuma ya mgongo wa demokrasia ili nchi iendelee kupata misaada but na ushenzi wote wanafanya watawala hawawezi kuvifuta coz wanavihitaji zaidi kuonekana huko magharibi wanademokrasia
Amelika walipo sasa hivi unapajua au wewe siyo mtu wa kufuatilia matukio bali mtu wa kulishwa?

America hamna hiyo demokrasia unasema tayari watu wameona ni ujinga.

Kiti kinachotakiwa kwa sasa ni UWAZI (Transparency) tu huo upumbavu wenu etidemokrasia hakuna tena duniani kwani imekuwa kigezo cha upigaji na ulaji
 
Kitu ambacho hukijui ni kwamba maendeleo ya USA unayotaona yameanza kuja baada ya kuanza kwa Demokrasia na yamekuwa kwa kasi baada ya kuimarika kwa demokrasia. Ndio maana kwao hawana hicho unachoita wewe "upinzani" wala "chama tawala". Haya ni maneno ya kikoloni na ya kipuuzi ambayo msingi wake ni kubagua watu wa nchi moja katika makundi tofauti kwa itikadi za kichama.

Nadhani hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungelihoji iweje serikali za kiafrika zijiibie zenyewe? Yaani zinaandaa uchaguzi kwa gharama huku hawakubaliani na matokeo ya uchaguzi huo. Huu ndio udhaifu wa kiafrika ambapo kila aliyeko madarakani anajiona yeye ndio alpha na omega.

Ukweli ni kwamba Denokrasia ya kweli ndiyo njia sahihi ya kuleta maendeleo kwa haraka kwasababu human nature ni kutopenda kuwa defeated. Lakini pia binadamu kiasili ili kuwajibika ni lazima pawepo mtu au kitu ambacho atakuwa anawajibika kwayo.

Mfumo wa demokrasia iliyo komaa, namna pekee ya watu kuendelea kukupa ushindi ni kukidhi matakwa ya watu, au kuwajibika na matatizo ya wapiga kura. Nje ya Demokrasia, kiongozi hawajibiki popote hivyo hana sababu ya kuwajibika na hivyo hana sababu ya kutimiza matakwa ya kijamii. Na matokeo yake umaskini. Hii ndio sababu ya umaskini wa Afrika. Viongozi kutoamini mamlaka za kuwajibika na hivyo hawana sababu ya kutekeleza matakwa ya nchi. Hujachelewa rudi tena shule.
Mbona hata Trumph analalamika kuibiwa kura huko Marekani. Democracy is a subjective &relative phenomemon.
 
Afrika haijwahi kuwa na Demokrasia, ni maigizo ya demokrasia tu.
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
 
Mbona hata Trumph analalamika kuibiwa kura huko Marekani. Democracy is a subjective &relative phenomemon.
Kwa Africa democracy ni tafauti sana, sisi tunachohitaji zaidi ni stability.

Wasaliti wetu wanafanya interpretation ya democracy kuwa ni uhuru kumbe ni uhuru wa kumtukana Rais na kufanya badmouthing ya Nchi yetu kwa mabeberu wakidhani ni sifa. Au kuiba makanikua yetu. Kwa upande mwingine ni ukabila, kumbuka Chadema na historia yake.

Embu tuchukue mfano halisi wa Kenya. Wananchi wamemchagua Rais (Gikuyu) kwa kishindo, hadi hapo zimetumika shilingi billion 70. Ndipo tena wakaja wakabila (Dholuo) kina Raila wakapinga matokeo Supreme Court, nako kuna Jaji Mkuu mkabila (Abaluhya), akafuta matokeo ya uchaguzi hoja eti hawakuiona server Ufaransa ili Dholuo asking iwe zamu ya Waluhya. Ikawa waanze upya, na kweli wakaanza upya, another 70 billion shillings.

Hayo ni 8, la 9 ni kwamba sasa Dholuo wakasusia kura ya pili, Rais yule yule akapita kwa kura zile zile, Nchi imekula hasara shilingi billion 140.

Hayo ni 9, la 10 ni kwamba sasa Gikuyu na Dholuo wameanza BBI ili Raila ampiku Mluhya Mudavadi. BBI itagharimu shilingi 70 billion tena.

Sasa sijui itakuwa Jaji Mkuu kastaafu kazi yake haijatangazwa magazetini tumuombe tundulissu, fatmajarume na jussa wetu nao wajitose. Jaji Mkuu wa Kenya alisomea hapa UDSM na tangazo halisemi kuwa lazima awe Mkenya.

Gharama ya democracy ndiyo hiyo. Yuganda wanaenda huko huko lakini rais wao Mu7 ni mkari na thabiti. Walijaribu hapa ikawashinda hoja mpya ya mafiga matatu - NIPENI GWAJIMA, NIPENI GWAJIMA, NIPENI GWAJIMA.
 
RAO (Luo) anaingizwa Chaka na Gikuyu, mteule ajae 2022 Ni Gideon Moi (Kalenjin) Mambo ya Demokrasia hayajawahi kufanya kazi Kenya na Afrika kwa ujumla
 
Brother why don't you shut up and sleep kama una stress zako usijaribu kutupa nasisi.... The first thing is kwanza umejidharau kuona rangi yako haifai na unajaribu kuembrace udikteta, democracy is what made America where it is today, the only thing ambayo unaita demokrasia kwetu haipo na wala haijakuwepo.

Ukiona chama pinzani kinashinda uchaguzi (mfano Zanzibar) the next day una unull matokeo demokrasia hakuna, ukiona mwenyekiti wa tume anachaguliwa na kiongozi anaetawala definitely hakuna demokrasia.

Wapinzani Africa hajitambui kwakuwa wanatumiwa na vyama tawala kujificha nyuma ya mgongo wa demokrasia ili nchi iendelee kupata misaada but na ushenzi wote wanafanya watawala hawawezi kuvifuta coz wanavihitaji zaidi kuonekana huko magharibi wanademokrasia.
Umenichanganya unadai Afrika vyama vya upinzaju vinatumika na vyama tawala halafu ukatoa mdano wa Zanzibar Chama Cha upinzani kushinda halafu nullify matokeo. So Chama tawala kilikubali kujipiga ngwala kupitia puppet wao?
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Matokeo ya kutaka kula bila kuzalisha , akuna mchawi nchi zote zilizoendelea wanapiga kazi mtu anataka kutoka hadi ulimi uku kazi kidogo Bata sana na unataka maendeleo akuna kitu kama hicho.

Watu waliofanya maendeleo bila madili , ubadhilifu ni mashaidi
 
Back
Top Bottom