Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Haki za Binadamu hazina dhidi!

Ni Bill of Rights kila mwanadamu azitambue na kuzifuata hazina dhidi!

Ni Universal Declaration!

Sasa hayo maswali ya kijinga kamuukize Jiwe asiejua maana ya haki za binadamu kama alivyo yeye na wanae!
Uncivilized people kina chifu nanga na wenzie hawawezijua maana ya human rights and development maana walipita darasani ila hawakuelimika
 
Uncivilized people kina chifu nanga na wenzie hawawezijua maana ya human rights and development maana walipita darasani ila hawakuelimika

Halafu mkuu,it is very very funny kuna Topic chungu nzima za Democracy and Development

OLevel zipo kwenye masomo ya Civics,History na Geography lakini the funny thing is,sijui walifaulu kwa kupitia wapi?

Ukiacha OLevel,ALevel kuna somo la GS ambalo ni compulsory kwa kila mwanadamu Tanzania hii na kuna topics na maswali ya Democracy,Human Rights na Development yapo na ni lazima ufanye!

Chuo Kikuu kuna somo la DS kila pumbavu lazima afanye,na lenyewe ni hivyo hivyo!

Ila bado tu wanaongea mavi matupu!

Ni maajabu kabisa!
 
Hao masayansi washazoea masomo ya kukariri maformular masomo ya reasoning watayajulia wapi
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Ukisema ufute vyama vya upinzani huo ni ukada na ujinga unauingiza hapa

Kama unafuta vyama futa vyote
 
Waafrika maana ya demokrasia kwao ni;
1. Kuzaa bila mpangilio;
2. Kulalamika bila kutimiza wajibu (Vyama pinzani)
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Kwani yule aliyesema tuzae au tufyatue nchi ni tajiri ni wa chama gani?
 
Uarabuni (UAE, Oman, Bahrain, Saudi Arabia, Jordan, Qatar) hamna Demokrasia ila maendeleo kushinda baadhi ya nchi za Ulaya
Na mimi nina wazo tofauti na wewe, si kweli Tanzania ni inchi iliyojaa wajinga kama unavyodhani kuna ukanda wa wajinga wa aina yako na ukanda wa waelevu.
Dhana yako ikifanikiwa kutawala moja kati ya haya litatokea;

1. Wajanja pekee ndio watapata nafasi ya kukutawaleni ninyi wajinga ("wapumbavu" kama mnavyojiita) tena bila ridhaa yenu.

Na siku zote mnaweza kujikuta maendeleo yanaenda kwao tu hao watawala wako mpaka akili zitakapowakaa ninyi "wapumbavu" kama mnavyojiita, siku akili zikiwarudia ndio mtaanza kuudai uhuru wenu.

2. Nchi inaweza kugawanyika kuwili, upande wa wanaojiita wapumbavu (wanyama kama unavyojiita) ili watawaliwe vizuri

Na upande wa wenye akili (wanaojitambua) wanaotaka kuudumisha utawala wa kidemocrasia.

Sasa mtakapoona mambo yanawanyookea hao wenye akili zao sijui kama mtaomba tena uhuru kwa dictator wenu ili muombe muungano
 
Back
Top Bottom