Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Ulikwenda vizuri na tulikua pamoja sema ktk kumalizia kuhusu Mambo ya imani ndo umeleta upumbavu, sio upumbavu kwa ku ignore imani Bali kwa kuangalia imani moja. Yani hata wewe pia umeonyesha upumbavu wa kiwango cha tiles
 
Tanzania itaipiku China kwa viwanda tukiacha uvivu. Rafiki zetu hawa waliweka demokrasia na haki za Binadamu pembeni wakachagua kazi na si umbea umbea.
 
** Wacha tunyooshwe vizuri kwanza

Kama ungekuwa mlalahoi anayenyimwa mafao yake na kuzulumiwa ardhi kamwe usingeweza kutumia maneno yako hapo juuu.

Tatizo watu walio madarakani au wanaojiona wanafaidika na walio madarani hupenda kutumia maneno " Wacha tunyooshwe vizuri " kuwalaghai walala hoi huku wakimaania " Wacha tuwanyooshwe vizuri " walala hoi.

Kunampaka mawazi CCM wamishawai kutudanganya uhuru ndio unarudisha maendeleo wakati chama lao linatumia kila ulaghai kubaki mdarakani.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Yaani unaandika utafikiri unatumia miguu badala ya mikoni hebu endelea kulala ndoto unayoota bado haijaisha.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Mkuu Joshua, naunga mkono hoja,
Hivyo nimependekeza tusifanye uchaguzi
https://www.jamiiforums.com/threads...a-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/page-4

https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mbali-ruzuku-hii-ni-ufisadi.1129220/page-3

Paskali
 
Domekrasia ndiyo mtindo bora zaidi kuendesha serikali katika nchi.

Mfumo wa dictatorship (ruling a country by an iron fist) umeshindwa duniani kote. Ukichunguza utaona nchi zinazoongozwa na madictator serikali zao zinashindwa kutoa hata basic social needs...quality education, quality healthcare, clean water...etc.
 
Nahisi una msongo wa mawazo, ama kuchaa furani. Demokrasia haijengwi siku, juma, mwezi, au mwaka mmoja. Ni mfumo wa kiutawala unaojengwa taratibu na hili umelithibitisha kwa marekani. Uamuzi wa wizara ya afya kuwa na kitengo cha magonjwa ya akili ulikuwa sahihi. Bila hivo mirembe ingeelemewa.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Hizi ndio fikra za kimasikini kutoka kwa viajana wa lumumba.

Nyie ndyo mnaosemaga ccm itaongoza milele, cha ajabu leo ndyo mnaomba poo na kukimbia vivuli vyenu kwa kutaka tuwe nchi ya kiimla.

Kweli nimeamini ccm inaongozwa na vichaa na wanachama wake karibia wote ni vichaa na mawazo yao ni ya ukichaa.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Wewe unatafuta nini hapa jf jifungie huko lumumba endelezeni vi-wonder vya uzushi ili mpate ujira wenu muizidi china kwa viwanda.
Hapa unapoteza muda tuu jukwaa hili ni la wapenda demokrasia na uhuru wa kujieleza na kueleza hisia zao juu ya serikali yao na uongozi kwa ujumla.
 
Eti demokrasia, my foot! Futa chaguzi na uhuru wa ajabu ajabu. Hupeleki mtoto shule kisa huna pesa lakini hela ya kwenda kumpa Nabii akanunulie helikopta au kupanda ndege kwenda kuhiji ipo. Hatuwez kuendelea kwa style hii. Lazima mabadiliko makubwa yafanyike.
NB: mijeledi iongeze kurudisha heshima ta kazi.
Wishfull thinking. Wenzio waliowaza kama wewe walisokomezwa vijiti vya mndk wakiwa kwenye Mitaro huko libya.

Kuna haja na wewe na wenzio mnaogikiri hivyo mufanywe hivyo.
 
Waafrika ukiwapa demokrasia, atakun.nya barabaranni halafu adai eti nipo huru (demokrasia inamruhusu). Waafrika tunafaa kwenda kwa mjeledi mpaka tukae sawa baada ya miaka 100. (2117).
** Wacha tunyooshwe vizuri kwanza
Familia yako unaitendea hivyo mkuu?
 
Back
Top Bottom