Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Mleta mada umeona wapi decrasia Africa? Nchi tatu tu Africa zinajaribu kuwa na deAmocracy-Mauritius, SA, na Ghana na zinafanya vizuri zaidi kuliko Africa yetu ambayo wewe unadhani tuna democracy.
Wake up.
 
kwani Arabuni ndiko aliko shetani?Na kama ndiyo makao makuu yake mawe huko hayako kuliko kuongeza uzito kwenye ndege za watu
Ndo ushangae maajabu ya demokrasia (uhuru wa kuabudu) jitu linafuga midevu lundo likijiandaa kwenda kutembea nusu-utupu huko umangani, wapo wengine wananunulia manabii HELIKOPTA huku wao hata hela ya kupeleka watoto wao shule hawana. Wengine wanaabudu babu mvaa kanzu wakiamini yeye ndo wa kutoa msamaha kwa makosa yao hapa duniani.
 
Yawezekana maneno yaliyotumika si mazuri sana, lakini kusema ukweli hakuna demokrasia bila maendeleo. Kwa hiyo kinachoanza ni maendeleo na baadae demokrasia. Mfano mzuri, ukiangalia watu wa kaskazini (Arusha, Moshi, n.k) wanaweza kudai demokrasia zaidi ya mikoa iliyo mingi kwa sababu ya uwezo wa kiuchumi walionao. Hata Dambisa Moyo kwenye pptx yake TED forum alisema nchi zenye maendeleo zina uwezo wa ku sustain demokrasia kwa muda mrefu kuliko nchi maskini. Na kwa msingi huo akashauri kuwa watu wapiganie kupata maendeleo kwanza na bdae demokrasia
 
Watanzania wengi wapenda starehe bila kufanya kazi. Awamu hii hakunaga mambo hayo
 
Democracy is an illusion. It is neither here nor there. It is just a way used by stronger nations to force their ideas down the throats of weaker nations. True democracy should be homegrown taking cultural, social and traditional aspects of a given society/nation into account.
Wengi hawatakuelewa.
 
Eti Lindi sijui Sumbawanga huko nao wanadai demokrasia. Ptuuu.
 
Yawezekana maneno yaliyotumika si mazuri sana, lakini kusema ukweli hakuna demokrasia bila maendeleo. Kwa hiyo kinachoanza ni maendeleo na baadae demokrasia. Mfano mzuri, ukiangalia watu wa kaskazini (Arusha, Moshi, n.k) wanaweza kudai demokrasia zaidi ya mikoa iliyo mingi kwa sababu ya uwezo wa kiuchumi walionao. Hata Dambisa Moyo kwenye pptx yake TED forum alisema nchi zenye maendeleo zina uwezo wa ku sustain demokrasia kwa muda mrefu kuliko nchi maskini. Na kwa msingi huo akashauri kuwa watu wapiganie kupata maendeleo kwanza na bdae demokrasia
Unawaza na kuandika kufutwa kwa chaguzi???? Unawaza kuondoa utawala wa watu(democrasia)????? Karne hiii unawaza hivi???

Any way -jiulize ukiondoa chaguzi, na ikitokea kifo cha kiongozi aliyepo madarakani, je atakaye fata kuongoza atapatikanaje? Au turudi zama za kichifu, kweli unatamani utawala wa mkono wa chuma???

Nb. Uhuru uzingatiao sheria na demokrasia kwanza, maendeleo badae.
 
Soma vizuri nilichokiandika. Kwa sasa tunasema hakuna demokrasia, lakini chaguzi zinafanyika. Demokrasia ni zaidi ya kufanya uchaguzi. Karne au miongo haibadilishi uhalisia. Tunashindwa kufanya mambo mengi sana kwa sababu ya kelele zinazipigwa in the name of democracy
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Upo sahihi mkuu. Kwa nchi za Africa nazani demokrasia tuachane nayo kwanza au tutafute aina nyingine ya demokrasia sio hii. Imekuwa mwiba kwetu pia ni chanzo kikubwa cha Umasikini.
 
Naona mleta mada hauna vyeti, kwaio ufute uchaguzi ili tuwe na utawala wa kifalme? ukisoma civics ya form 2 utajifunza what is democracy napia utajiunza kwanini 1992 multi party iliingia Tanzania ? kama ungekua umesoma huko kote usingetos ushauri was kifalme ****...mithali 28:16 inasema mkuu asie na akili huumiza wengi..
Vyama vingi viliingia kwa shinikizo LA weupe kwa madhumuni ya kulegeza umoja tuliokuwa nao. Na ukiangalia vizuri wamefanikiwa sana ktk hilo. Africa imeyumba sana chanzo ni ugonjwa unaoitwa democrasia
 
Magereza yaongezwe ili kusudi kujaza wavivu wote wasiopenda kufanya kazi na kutegemea chakula cha msaada toka serikalini.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
safi sana..
hapo kwenye uhuru wa kuabudu ungeongezea jinsi watu wanavyokamuliwa na kina gwajima baada ya kugeuzwa misukule.
 
Back
Top Bottom