Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Waafrika ukiwapa demokrasia, atakun.nya barabaranni halafu adai eti nipo huru (demokrasia inamruhusu). Waafrika tunafaa kwenda kwa mjeledi mpaka tukae sawa baada ya miaka 100. (2117).
**l
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Nilipokuwa masomoni marekani, nilipata bahati ya kusoma somo la "american government" na maswali mengi yaliibuka kwamba je?!, kuna mfumo mwingine mzuri zaidi ya democrasia?!!..jibu likawa gumu.Nachoweza kusema ni kweli democrasy ni better political system kama ukilinganisha na mifumo mingine lakini, angalizo, isiwe kiwango cha democrasia kama cha marekani bali iwe democrasia ya kututosha ya kuwezesha serikali kutimiza wajibu.Sio kila siku watu ni kupinga na kuandamana eti kudai haki mbalimbali.Hatutafika kamwe.
 
Hakunaga kitu kinaitwa "checks and balance" kwenye uhalisia, (Kaimu) jaji mkuu (mkuu wa mahakama) anateuliwa na rais, Spika wa bunge, ni mwanachama wa chama tawala ambapo rais ndo Mwenyekiti. Tujikite kwenye kilmo tu. Mengine mbele kwa mbele.
Umejibu vema......ndio maana angau uwepo wa vyama vya upinzani unasaidia kupiga kelele pale ambako mambo yanaganywa kinyume na maslahi ya walio wengi
 
Wazo zuri.....how about check and balance? Unafikiti watawala wakiachwa hivi hivi bila kelele kidogo watatenda kwa maslahi ya walio wengi?
Check and balance ni muhimu.lakini sasa isitufanye iwe chanzo cha mdororo kiuchumi na kusikiliza zaidi siasa.Wanasiasa siku zote wanataka madaraka na hiyo ndo kasumba yetu.
 
Democrasia ni kuja na dhana mpya /kuboresha iliyopo na kuleta mageuzi bora ya maisha bora na mazingira yake. pamoja na kupata nguvu ya kukubaliwa na wanajamii wenyewe kwa nchi yote ama katika eneo moja. Hii ni kusema kwamba pale ambapo wapinzani wameshinda basi sera yao itumike as a case study bila kuathiri mustakabali wa nchi kijumla. Mfano uchaguzi uliopita Cuf imeshinda Zanzibar lakini Tanganyika imegoma kubariki kuachia serikali , basi cuf itawale kwa sera zake kule Pemba ilikopata asilimia 90% ya kura za uraisi na asilimia 100% ya wabunge, madiwani na wawakilishi na CCM itwale Unguja ilikopata kura 57% ya kura za Uraisi na wabunge na wawakilishi wengi kuliko cuf. Ila ibaki na umoja wa Zanzibar bila kuleta mipasuko . Na hili linawezekana kabisa kwa maana hizi sehemu mbili hakuna inayomtegemea mwenzake kwa jambo lolote.
 
watu wafanye kazi wasitegemee serikali kufanya kila kitu. Tatizo ni kuwa watu wamepumbazwa na siasa & dini kuwa maendeleo ni kuombewa sala na baba padiri/askofu/nabii na mitume.
NB: Taasisi za kidini zilipe
KODI pia zibanwe kwenye masharti ya Usajili ili zisipotoshe kuhusu maendeleo, pia wale wanaoenda kuhiji watozwe KODI KUBWA ili nchi nayo inufaike. Haiwezekani unaenda kuhiji (means una hela ya kuchezea) halafu sisi hatupati kodi kwako, zaidi unapelekea wavaa kobazi huko kwenye HIJJA (dini zote zenye Hijja) WHY?
NB: Unaokota sadaka kibao na kumiliki Helikopta ila kutoa kodi povu linakutoka. Mhe. Waziri wa Fedha anzisha kodi za makanisa & Misikiti.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
...naunga mkono hoja japo imekaa kibashite bashite
 
Toka mfumo wa vyama vingi kuanza ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na wizi serikalini umeongezeka kwa asilimia 1000
 
Demokrasia kwa africa kumejaa uongo na unafiki tu wala hakuna uzalendo wa kweli.
 
Wananchi tufanye kazi tuache maneno matupu ya kuokoteza. Nchi hii inataka watu wachapakazi si ujanja ujanja wa kusubiri ruzuku za walipa kodi.
 
Sisi hatuna demokrasia na huyu dikteta wetu uchwara na hatuna maendeleo zaidi ya njaa kutamalaki mtaani
 
Back
Top Bottom