Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,247
- 26,394
Ndoto zake haziwezi kuja kutimia!Afrika tunahitaji mijeledi ili tukae sawa. Demokrasia imefeli Afrika (ikiwemo Tanzania)
Ndoto zake haziwezi kuja kutimia!Afrika tunahitaji mijeledi ili tukae sawa. Demokrasia imefeli Afrika (ikiwemo Tanzania)
Viongozi waadilifu wa kutufunza kufanya kazi kwa bidii na nidhamu bado hawatokea tangu alipoondoka Nyerere.Narudia tena, Watanzania ni wavivu mno, lazima kufundishwa namna ya kufanya kazi kwa bidii na nidhamu. Umbea hautusaidii
Unajua wafuasi wa ccm ni masikini zaidi kuliko wapinzani?Rejea tafiti za twaweza juu ya wanaounga mkono ccm,wengi wao ni wasio na elimu na masikini huko vijijini!Mtoa mada upo sahihi wa-africa wamekalia porojo, fikiria mhindi anakuja afrika na kibegi kidogo tu lakini miaka michache tu anakuwa bilionea. Sisi weusi tunahangaika na kuunda vyama vya kifamilia kutaka kutawala dola.
Nilipoona tu hiyo komenti yake jinsi alivyokashifu uislam nikampuuza.Daaaaaah mpaka chuki za kidini????umeichambua ibada ya hija kichuki sana
Narudia tena kukwambia usizisemee nchi za Afrika. Jitolee mfano wewe Tanzania na nchi zinazofanana na wewe. Africa nchi zingine wapo sirias na maendeleo yanasongaKama taifa/bara tukubali tumeteleza turudi kwenye misingi ya maendeleo. Tushikamane, tufanye kazi pamoja tena kwa bidii
Nani kakwambia pm wa UK lazima awe mkisto? King au queen wa uk ndio lazima awe mkristo na hawa hawahusiki serekalini. Viongozi wote wa serekali ya UK wanachaguliwa kwa kura za wananchi haijalisha mpaka athibitishwe na nani.Unajua PM wao ni mpaka athibitishwe na nani? Na ni lazima awe MKRISTO tena ANGLICAN. Hapo kuna demokrasia? Ficha upumbavu wako ndg. usije kukuta umesoma ile shule pale karibu na Shaurimoyo pamoja na ndugu yako Maulida Khanga ambae anamzuia askari kutimiza wajibu wake. Asirudie tena maana yule askari alikuwa mstaarabu sana. Vinginevyo Maulida alipaswa kuwa sehemu salama kwa sasa kama mgeni maalum akirekebishwa tabia.
**Hizi dini zinawafanyaje aisee mbona ubongo mzito hivyooo
Utumwa na ukoloni ulitupora identity yetu. Leo hii Afrika haina dini wala model ya utawala wake. Sisi tunageza kila kitu cha watawala wetu. Navyofahamu mtu anaegeza hata siku moja hawezi kumshinda alieanzisha. No wonder wazungu na waarabu wanatawala akili zetu kama wanyama wao kupitia dini na tamaduni zao.Kama taifa/bara tukubali tumeteleza turudi kwenye misingi ya maendeleo. Tushikamane, tufanye kazi pamoja tena kwa bidii
Mkuu kwa afrika hii tusidanganyane, demokrasia bado ina safari ndefu sana.Brother why don't you shut up and sleep kama una stress zako usijaribu kutupa nasisi.... The first thing is kwanza umejidharau kuona rangi yako haifai na unajaribu kuembrace udikteta, democracy is what made America where it is today, the only thing ambayo unaita demokrasia kwetu haipo na wala haijakuwepo... Ukiona chama pinzani kinashinda uchaguzi (mfano Zanzibar) the next day una unull matokeo demokrasia hakuna, ukiona mwenyekiti wa tume anachaguliwa na kiongozi anaetawala definitely hakuna demokrasia.
Wapinzani Africa hajitambui kwakuwa wanatumiwa na vyama tawala kujificha nyuma ya mgongo wa demokrasia ili nchi iendelee kupata misaada but na ushenzi wote wanafanya watawala hawawezi kuvifuta coz wanavihitaji zaidi kuonekana huko magharibi wanademokrasia
Kwa hahkika tanzania imebeba wajinga wengi na ndio maana haitakuja endelea hadi mwisho wa ulimwengu huu, na chakusikitisha zaid wajinga wengi wanazid kuzaliwa una haja ya kupima kichwa chako kama kipo sawaFikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Democracy is an illusion. It is neither here nor there. It is just a way used by stronger nations to force their ideas down the throats of weaker nations. True democracy should be homegrown taking cultural, social and traditional aspects of a given society/nation into account.Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
kwani Arabuni ndiko aliko shetani?Na kama ndiyo makao makuu yake mawe huko hayako kuliko kuongeza uzito kwenye ndege za watuWako u
Wako umejaa dhahabu iweje ubebe mawe toka Rufiji ukampige shetani Arabuni (unadai uhuru wa kuabudu).