Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokrasia isiyo na ukomo kwenye uenyekiti wa chama chako tu (kinacholalamikiwa ni cha ukanda) inakupa shida sasa ukikabidhiwa nch si ni shida.
** Ruzuku za vyama zifutwe zipelekwe kwenye sekta ya Elimu
 
Achana na vyama vya ukweni
 
Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Unafikra fupi sana brother, demokrasia ndio imekupa uhuru alafu unakuja kuongea usenge...
Kivipi? jaribu kufafanua vizuri ili tuelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mobutu hakuwa na Demokrasi maendeleo ZERO, Mugabe hakuwa na demokrasi maendeleo ZERO, Bokassa ZERO democracy ZERO Development, Mubarak wimbo ni ule ule, Museveni hali kadhalika, Kagame WIP. Acha ujuha Mkuu tafakari kwa kina kabla ya kukurupuka na kuandika upuuzi hapa jamvini.

Fikiria nchi imepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;

1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.

2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)

Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?

** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.

NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa wanakosa mpaka ada ya kuwalipia watoto wao Chuo kikuu (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
 
Nchi zilizoendelea sana humu duniani ni za kidemokrasia, tujiulize ni kwa nini na nyingi ya zile masikini sana pia ni za kidikteta. Tujiulize ni kwa nini hili linakuwa hivi ndio tupate pa kuanzia.

Otherwise, ni ulevi tu wa gongo ukizidi ndio watu huja na hoja feki kama hizi.
 
Qatar, Brunei, Saudi Arabia na UAE wana demokrasia ipi?
 
Kumbe wewe tatizo lako ni kuwa huelewi maana halisi ya neno demokrasia. Inaonekana umekaririshwa tu kuwa demokrasia ni haki ya watu kujipanga na kuchagua madiwani, wabunge na rais.

You don't know what does the word democracy connote. Your knowledge, it seems, is limited to the familiar definition of the word in your dictator's perspective. You're very ignorant.
 
Tuambie kwanza maana ya 'demokrasia'. Hao wanaokuongezea 50% kwenye bajeti ili ikamilike ndio wanataka utaratibu wa demokrasia.
Wakikupa 50% ya bajeti ujue makampuni yao wanazoa 100000% wakati mnazushiana uongo kulumbana kufanyiana hila hata kupigana eti ndio demokrasia.
 
Ngumbaru mna tabu sasa kama una uwezo wa kujiweza na bajeti 100% na mna rasilimali za 100000% zinazozolewa na makampuni yao kwa nini mtake tena wawasaidie kwenye bajeti?
 
Ndio jiwe kakatuma upime upepo, mwambie afute aambulie0% ya msaada kama anaona6.7% haikumshikisha adabu .
 
Wakikupa 50% ya bajeti ujue makampuni yao wanazoa 100000% wakati mnazushiana uongo kulumbana kufanyiana hila hata kupigana eti ndio demokrasia.
So tuwafukuze hao wawekezaji!!!!!Inaonekana unapingana na dhana ya Rais na PM kukaribisha wawekezaji!!!!
Tuwatimue tu kama Zimbabwe!
 
Back
Top Bottom