Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

demokrasi afrika imeanza miaka michache iliyopita, kabla ya hapo afrika ilikuwa na tawala zake kama madai yako yana hata harufu ya ukweli mbona maendeleo hayakuwapo kabisa afrika? kijana acha kutumika,umejikabidhi kwenye B7 na ndiyo inayokutumikisha kijinga hivi.jikomboe maisha bila B7 yanawezekana.
 
Demokrasia bila pesa ni ufedhuli...ona ISRAEL, Oman, UAE na Saudia hawana demokrasia lakini hela ipo na husikii kelele nyingine waumini toka duniani kote (ikiwemo Afrika wanapodai Demokrasia) wanawapelekea kila mwaka kwenye Kinachoitwa Hijja.
 
Ruzuku za vyama ni bei gani na Mwenge unakimbizwa kwa bei gani
 
Ruzuku za vyama ni bei gani na Mwenge unakimbizwa kwa bei gani
Ruzuku huko kwenye chama cha kaskazini si mnahonga vimada? Hivi inawasaidia nn? Mwenge ni tunu ya taifa lazima tuuenzi kwa gharama yoyote hata ikibidi kula nyasi (Mramba,1997).
 
Demokrasia bila pesa ni ufedhuli...ona ISRAEL, Oman, UAE na Saudia hawana demokrasia lakini hela ipo na husikii kelele nyingine waumini toka duniani kote (ikiwemo Afrika wanapodai Demokrasia) wanawapelekea kila mwaka kwenye Kinachoitwa Hijja.
Sijaelewa ulichoandika
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Nyamafu we rubbish uvundo..mada za kipuuzi peleka kwa wapuuzi..wanaoenda kuhiji wanasaidiwa na serikali?au walikuomba pesa ili waende kuhiji?..you've brought your shiit here and you think you are brave hahahaa
 
Ubongo wako una mavi wewe

WEWE NI SAWA NA MBWA KUAMBIWA UKWELI UNAKATAA NINI? WATU WAPUMBAVU WANATAKA KILA SIKU WAFANYE MIKUTANO YA HADHARA HALAFU KAZI WATAFANYA SAA NGAPI PIMBI WEWE UNATOKA MKUTANONI HUNA HATA FEDHA ZA UNGA UTAKULA MKUTANO JUHA WEWE ? UNAAMBIWA VITU VYA MAANA UNABISHA ZOGO LA KENYA KWA SABABU YA DEMOKRAS YA ULAYA VTA KOTE AFRKA SABABU YA UPUMBAVU WA DEMOKRAS HATUTAKI BORA VYAMA VYA SIASA VIFUTWE KABISA NA RAIS ATAWALE MPAKA ATAKAPOKUFA KAMA ZIMBABWE
 
Mpaka leo demokrasia imekosa nini maana yake,ina vitu vingi vinavo fanya
 
Daaaaaah mpaka chuki za kidini????umeichambua ibada ya hija kichuki sana
Huyo alitaka kuuponda uislamu kwa kutumia sababu ya demokrasia..ila yatamkuta..chuki za kidini hazitomuacha salama
 
Ndo ushangae maajabu ya demokrasia (uhuru wa kuabudu) jitu linafuga midevu lundo likijiandaa kwenda kutembea nusu-utupu huko umangani, wapo wengine wananunulia manabii HELIKOPTA huku wao hata hela ya kupeleka watoto wao shule hawana. Wengine wanaabudu babu mvaa kanzu wakiamini yeye ndo wa kutoa msamaha kwa makosa yao hapa duniani.
Kawashauri wakristo wenzako kutotoa michango kanisani ili kujenga maendeleo..uislamu usikuwashewashe we kondoo uliyepotea
Wenye ndevu kubwa ni waislamu pekee?
Si heri ya nusu utupu..hivi karibuni nyinyi mtaletewa system mpya ya kusali uchi wa mnyama..ishaanza kwenye baadhi ya makanisa huko europe na itamifikia nyinyi muda si mrefu
Pwagu wahed
 
Waafrika ukiwapa demokrasia, atakun.nya barabaranni halafu adai eti nipo huru (demokrasia inamruhusu). Waafrika tunafaa kwenda kwa mjeledi mpaka tukae sawa baada ya miaka 100. (2117).
** Wacha tunyooshwe vizuri kwanza
Nahisi ulizaliwa kwa kuwa tu kondom ilipasuka kwa bahati mbaya, hukutakiwa kuishi dunia hii ya leo labda karne ya 15.
 
Ona Wachina wanaikamata dunia. Waliachana na mambo ya demokrasia. Wakakomaa na kazi. Afrika tumepewa uhuru wa bendera basi imekuwa nongwa kila baada ya miaka 4/5 uchaguz wa matrilion. Kisha ruzuku kwa vyama vya siasa. Huku hospitalini hakuna dawa
 
WEWE NI SAWA NA MBWA KUAMBIWA UKWELI UNAKATAA NINI? WATU WAPUMBAVU WANATAKA KILA SIKU WAFANYE MIKUTANO YA HADHARA HALAFU KAZI WATAFANYA SAA NGAPI PIMBI WEWE UNATOKA MKUTANONI HUNA HATA FEDHA ZA UNGA UTAKULA MKUTANO **** WEWE ? UNAAMBIWA VITU VYA MAANA UNABISHA ZOGO LA KENYA KWA SABABU YA DEMOKRAS YA ULAYA VTA KOTE AFRKA SABABU YA UPUMBAVU WA DEMOKRAS HATUTAKI BORA VYAMA VYA SIASA VIFUTWE KABISA NA RAIS ATAWALE MPAKA ATAKAPOKUFA KAMA ZIMBABWE
Ndugu yangu umesema ukweli.
1.Mtu anadai hana hela ya kumsomesha mwanae chuo kikuu (sijasema primary+secondary maana tunaambiwa huko ni bure) anadai HESLB- Bodi ya Mikopo imlipie ada chuo kikuu. Ila ana hela ya kwenda kuhiji (hapa ni kwa dini zote).
2. Mikutano ya Siasa kila siku na hakuna linalofanyika.
3. Ruzuku ya vyama vya Siasa inaliwa na viongozi tu.
FUTA UCHAGUZI waliopo watawale maisha yao yote
 
Kenya waliruhusu demokrasia na katiba yao ya (Ku-COPY na ku-PASTE) toka Afrika Kusini huku hawana uchumi wa kumudu ukubwa wa serikali. ..kaunti 47 (kutoka majimbo machache, 5/7?), 47 senators, women representatives na uhuru wa kuhoji kila kitu kmamae wacha yawakumbe tu...gharama za maisha Kenya ni juu sana kutokana na ongezeko la kodi kila kona kutunza ukubwa wa serikali. Hapo bado viongozi hawajaiba kama Kidero ambae kaiba sana na kujenga Garden City Mall na apartments kibao Nairobi, Malindi na Mombasa
 
Demokarasia haijawah kupeleka Taifa lolote mbele lazima tuongoze kwa kufata Masilahi mapana ya Majority huwezi kuwaridhisha wote, Utaifa kwanza then demokarasia baadae uko
 
Back
Top Bottom