Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Wenye akili na hekima na wingi wa busara, wote walifikiri na kutenda hivyo. Africa inahitaji social rights si political rights.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Hujaeleza ni jinsi gani demokrasia inadumaza maendeleo.Inawezekana una hoja ya maana lakini haijitokezi katika maelezo yako.Aidha hujui unachozungumzia au umekurupuka asubuhi asubuhi .Hebu tuelleze vizuri ili tukuunge mkono!
 
Eti tumeletewa mfumo ambao hata hatuujui alafu tukadanganywa ndo utatutoa. Yaani watu wakae wakutengenezee limfumo LA l kukunyonga alafu we upo tu unachekelea kama zuzu, ona sasa kama ipo siku mtatoboa. Kagame nchi yake inasonga mbele wala si kwasababu ya hilo limfumo bali ni kwasababu kaweza kulikataa kwanza na ndo nchi inaendelea
Si kila mtu ana uwezo wa kufikiri, tuwasamehe bure tu. Si kila mwenye macho anaweza kuona, kuna vipofu wenye macho mazima kabisa. Hiki ndio kizazi chenye fikra Kurupushi, hakiwezi dadavua mambo.
 
Hujaeleza ni jinsi gani demokrasia inadumaza maendeleo.Inawezekana una hoja ya maana lakini haijitokezi katika maelezo yako.Aidha hujui unachozungumzia au umekurupuka asubuhi asubuhi .Hebu tuelleze vizuri ili tukuunge mkono!
Umejuaje kama post ililetwa Asubuhi? Hoja yake si demokrasia ktk mawanda yake mapana, bali ktk mawanda yakimagharibi. Ktk upana wake demokrasia si lazima kuwe na vyama vingi, si lazima uchaguzi ufanyike ktk kipindi kifupi, si lazima kiongozi awe na kikomo nknk hiyo ni demokrasia, na ilishakuwepo hata Afrika kabla ya ujio wa wageni.

Anachozungumza yeye, ni ile iliyobebwa kwenye fuko la "Haki za binadamu.....the bill of rights" na kanuni zake zote. Ambazo kwazo, ukishaziingiza kwa katiba, umeliingiza fuko zima,,,,, wengi wenu humu hata huwa hamjiulizi, inakuwaje mtu mwema kama Nyerere akatae aina fulani za Haki zisiwekwe kwenye katiba ya nchi wakati ndio imani yake kwa watu, na kwa chama chake?

Dunia ina zaidi ya haya yanayoonekana, saga la mitumba na kulazimishwa ni matokeo ya mikataba na sheria zake tulizozitunga wenyewe, soon tutalazimika kutunga sheria ya kuratibu Ushoga kwakuwa itakuwa ni moja ya article ktk new constitution.
 
Sasa kama mambo ni hivyo tunaogopa nini kuibadilisha Katiba tukianza na misingi hii mitatu ya Katiba yetu inayosema hivi, nanukuu;

1. KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani:

2.
NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na Bunge lenye wajumbe waliochaguliwa na linalowawakilisha wananchi, na pia yenye Mahakama huru zinazotekeleza wajibu wa kutoa haki bila woga wala upendeleo wowote, na hivyo kuhakikisha kwamba haki zote za binadamu zinadumishwa na kulindwa, na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu:

3.
KWA HIYO, BASI, KATIBA HII IMETUNGWA NA BUNGE MAALUM LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kwa niaba ya Wananchi, kwa madhumuni ya kujenga jamii kama hiyo, na pia kwa ajili ya kuhakikisha kwamba Tanzania inaongozwa na Serikali yenye kufuata misingi ya demokrasia na ujamaa.

Bila shaka kwa unafiki huu wetu tunajua kabisa tunayemdanganya na tunayejitahidi kumfurahisha. Serikali ya Magufuli inao wabunge wanaotosha kabisa kubadili Katiba hii na kufuta kabisa hicho kipengele cha demokrasia, je joshua_ok, kwa kutokuwa na ujasiri wa kufanya hivyo tunamuogopa nani? Kwa nini tusijitangazie udikteta, ufashisti au ufalme na tukaendelea na maisha yetu bila kujali wengine wanasemaje kuliko huu udikteta limbukeni?​
Hivi shoga ni binadamu au sio mwanadamu? Mwanadamu ana haki ya kuthaminiwa, kuheshimiwa, kulindwa, kupata uhuru wa mambo yake binafsi (privacy), na yote hayo ni by virtue ya kuwa mwanadamu tu,,, hiyo katiba ya juu imetoa haki kwa mashoga. Article II.
 
Eti tumeletewa mfumo ambao hata hatuujui alafu tukadanganywa ndo utatutoa. Yaani watu wakae wakutengenezee limfumo LA l kukunyonga alafu we upo tu unachekelea kama zuzu, ona sasa kama ipo siku mtatoboa. Kagame nchi yake inasonga mbele wala si kwasababu ya hilo limfumo bali ni kwasababu kaweza kulikataa kwanza na ndo nchi inaendelea
Msingi ya demokrasia
1.uwajibikaji
2.uwazi
3.kutopokea wala kutoa rushwa
4.kukubali kukosolewa
5.kutii na kuyafanyia kazi mawazo ya wengi na kuheshimu mawazo ya wachache.
6.kutenda haki
7.kiongozi kupatikana kwa uchaguzi huru na haki
8.
9.

Ubaya wa demokrasia upo wapi?
Viongozi madikteta ndio wabaya!
 
Watu wafanye kazi waache uvivu na kuvizia matukio ya walinda-amani na mali za raia wakituliza fujo ndo wapige picha kisa Demokrasia. Tuwe watii bila shuruto
 
jombaa ungetuambia Nyerere na chama kimoja alilifikisha wapi taifa ?
ni taifa gani Afrika lilipata maendeleo ya haraka chini ya chama kimoja ?
tatizo sio demokrasia tatizo ni walafi kama pombe na ccm...
tangu nchi ipate uhuru wanakula madarakani.
 
Ufipa kama chama mmefika wapi pamoja na Ruzuku za Mabilioni? Dawa yenu yaja
 
Naunga mkono hoja.Tanzania inahitaji utawala wa kidikteta kama vile Burundi na Congo.
 
Watu watafute shughuli za kiuchumi za kuwaingizia kipato badala ya kutaka kushinda mitandaon tu
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).

Kwani bado viroba vinauzwa mitaani?.
Suluhisho tumieni wingi wenu Mjengoni kurudisha Chama Kimoja. Mnaogopa nini??.
 
Umejuaje kama post ililetwa Asubuhi? Hoja yake si demokrasia ktk mawanda yake mapana, bali ktk mawanda yakimagharibi. Ktk upana wake demokrasia si lazima kuwe na vyama vingi, si lazima uchaguzi ufanyike ktk kipindi kifupi, si lazima kiongozi awe na kikomo nknk hiyo ni demokrasia, na ilishakuwepo hata Afrika kabla ya ujio wa wageni.

Anachozungumza yeye, ni ile iliyobebwa kwenye fuko la "Haki za binadamu.....the bill of rights" na kanuni zake zote. Ambazo kwazo, ukishaziingiza kwa katiba, umeliingiza fuko zima,,,,, wengi wenu humu hata huwa hamjiulizi, inakuwaje mtu mwema kama Nyerere akatae aina fulani za Haki zisiwekwe kwenye katiba ya nchi wakati ndio imani yake kwa watu, na kwa chama chake?

Dunia ina zaidi ya haya yanayoonekana, saga la mitumba na kulazimishwa ni matokeo ya mikataba na sheria zake tulizozitunga wenyewe, soon tutalazimika kutunga sheria ya kuratibu Ushoga kwakuwa itakuwa ni moja ya article ktk new constitution.
Hata wewe hujaelewa nilichouliza so stfu#
 
Back
Top Bottom