Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Demokarasia haijawah kupeleka Taifa lolote mbele lazima tuongoze kwa kufata Masilahi mapana ya Majority huwezi kuwaridhisha wote, Utaifa kwanza then demokarasia baadae uko
Mkuu wewe umeongea point za maana. Ujerumani enzi za Hitler walipitia magumu Leo hii wanafaidi matunda.
 
wazungu wameanza kutawala afrika muongo wa mwisho wa karne ya 19 kabla ya hapo tulikuwa na tawala zetu ambazo kimsingi hazikuwa za kidemokrasia kama tunavyo ijua leo (demokrasia) Angalia maendeleo yaliyokuwapo ndo utajua unacho kifikiri ni sawa, au unajipendekeza tu.la sivyo ushauri makongoro Nyerere ndiyo awe mtawala halali wa nchi hii.
 
WEWE NI SAWA NA MBWA KUAMBIWA UKWELI UNAKATAA NINI? WATU WAPUMBAVU WANATAKA KILA SIKU WAFANYE MIKUTANO YA HADHARA HALAFU KAZI WATAFANYA SAA NGAPI PIMBI WEWE UNATOKA MKUTANONI HUNA HATA FEDHA ZA UNGA UTAKULA MKUTANO **** WEWE ? UNAAMBIWA VITU VYA MAANA UNABISHA ZOGO LA KENYA KWA SABABU YA DEMOKRAS YA ULAYA VTA KOTE AFRKA SABABU YA UPUMBAVU WA DEMOKRAS HATUTAKI BORA VYAMA VYA SIASA VIFUTWE KABISA NA RAIS ATAWALE MPAKA ATAKAPOKUFA KAMA ZIMBABWE
TRA wekeni KODI pale airport kwa wanaoenda kuhiji ISRAEL na kwingineko
 
nilivyo soma hiyo title nikaja mbio mbio nikijua kuwa kuna great thinker kashusha nondo... kumbe uharo wa bata, rubbish tupu.
please heshimu dini za watu.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
There is no good insult
 
I beg to differ democracy haina tatizo Kama ukifuata principle zake, tatizo ni kwamba sisi watu weusi hatujaielewa vizuri, speaking about ujerumani Hitler sidhani Kama yeye ndo kaijenga ujerumani coz baada ya Second World War uchumi wa ujerumani ulialibiwa vibaya mno ikabidi marekani wapeleke Marshall plan,
 
Kwa masikitiko makubwa nimeng'amua jinsi ulivyopotosha kuhusu marshall plan ujeruman
 
Viongozi waroho wa madaraka,wapenda sifa, madikteta si tu wanaodumaza maendeleo Bali wanarudisha nyuma maendeleo, yaani mnakuwa mnaenda mwendo ambao ukimuangalia aliye mbele yako anayowaacha ni kama nyie mnapiga reverse
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eti tumeletewa mfumo ambao hata hatuujui alafu tukadanganywa ndo utatutoa. Yaani watu wakae wakutengenezee limfumo LA l kukunyonga alafu we upo tu unachekelea kama zuzu, ona sasa kama ipo siku mtatoboa. Kagame nchi yake inasonga mbele wala si kwasababu ya hilo limfumo bali ni kwasababu kaweza kulikataa kwanza na ndo nchi inaendelea
 
Sasa kama mambo ni hivyo tunaogopa nini kuibadilisha Katiba tukianza na misingi hii mitatu ya Katiba yetu inayosema hivi, nanukuu;

1. KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani:

2.
NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na Bunge lenye wajumbe waliochaguliwa na linalowawakilisha wananchi, na pia yenye Mahakama huru zinazotekeleza wajibu wa kutoa haki bila woga wala upendeleo wowote, na hivyo kuhakikisha kwamba haki zote za binadamu zinadumishwa na kulindwa, na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu:

3.
KWA HIYO, BASI, KATIBA HII IMETUNGWA NA BUNGE MAALUM LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kwa niaba ya Wananchi, kwa madhumuni ya kujenga jamii kama hiyo, na pia kwa ajili ya kuhakikisha kwamba Tanzania inaongozwa na Serikali yenye kufuata misingi ya demokrasia na ujamaa.

Bila shaka kwa unafiki huu wetu tunajua kabisa tunayemdanganya na tunayejitahidi kumfurahisha. Serikali ya Magufuli inao wabunge wanaotosha kabisa kubadili Katiba hii na kufuta kabisa hicho kipengele cha demokrasia, je joshua_ok, kwa kutokuwa na ujasiri wa kufanya hivyo tunamuogopa nani? Kwa nini tusijitangazie udikteta, ufashisti au ufalme na tukaendelea na maisha yetu bila kujali wengine wanasemaje kuliko huu udikteta limbukeni?​
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Kwani Wewe Ndugu Yake Musiba Ama!?
 
Kwani Swaziland Ambako Hakuna Vyama Vya Siasa Wala Uchaguzi Ni Matajiri Sio
 
Utawawezashaje wanyonge wakati hao walio madarakani ni wezi, mafisadi, watoa rushwa utajiri wote wa nchi unaishia mifukoni mwao kwa njia za haramu? Marais wote kabla ya kuingia Ikulu wote hawakuwa hata mamilionea lakini wote sasa ni mabilionea pamoja na mafisadi wenzao ndani ya Bunge na Serikali kwa mfano akina Chenge, Tibaijuka na wengineo wengi.

Hawa watu hawana mpango wa kuwawezesha Wanyonge bali wao wenyewe kwa kupitia njia haramu za kila aina.

Wanyonge wawezeshwe kiuchumi si mambo ya kila mara uchaguz
 
democracy practice started way back in greece (someone may correct me if am wrong)..
Where are they now?
 
Back
Top Bottom