and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,304
- 39,847
- Thread starter
- #201
HAPA KAZI TU.
Mkuu we acha tu,demokrasia na njaa ni kama pepo na kuzimu aisee.Ujinga unao wewe kung'ang'ania demokrasia huku shangazi yako hapati hata panadol akiumwa huko Hanang'-Bashnet. Wakati huku mjini unadai demokrasia na unaishi kwa kubahatisha.
Afrika hatuhitaj demokrasia bali CHAKULA tupoze njaaMkuu we acha tu,demokrasia na njaa ni kama pepo na kuzimu aisee.
Hata km ukifuta vyama vyote Tanzania itabaki masikini miaka nenda rudi.Afrika hatuhitaj demokrasia bali CHAKULA tupoze njaa
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Demokrasia ililetaje maendeleo huko Eastern Europe?Eastern Europe huko nyuma demokrasia zero, maendeleo zero.
Miaka 20 ya demokrasia ya kweli na maendeleo yao yameonekana.
Demokrasia ndio njia sahihi ya kupata maendeleo.
Aisee huyo binti anabwabwaja hasa ila awamu hii atakaa. Na pale Kawe 2020 tunamrudisha "poti" Kiippi.Ona Demokrasia inavowapa kina MDEE kiburi kutukana kila mtu badala ya kuleta maendeleo kutwa kubwabwaja. Jimbo la Kawe lina nini cha kujivunia?