Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

Bila demokrasia hata hicho ulichoandika hapa usingeweza kuandika.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Wewe bwege unaongea pumba tupu.
 
fanya kazi wewe acha kulalama na siasa zisizo na tija kwako.
Hakuna kazi inayoweza kufanyika nje ya mfumo wa siasa.

Kwa sababu hakuna kazi itakayoweza kufanyika nje ya mfumo wa uchumi.

Na hakuna mfumo wa uchumi utakaoweza kufanyika nje ya mfumo wa siasa.

Huwezi kujua kilicho na kisicho na tija kwangu.

Kwa sababu hunijui.

Acha kuandika bila kufikiri na kwenda kama guluguja wa Magufuli anayemezeshwa uongo bila hata kutafakari.
 
HAPA KAZI TU;
1. Ndege tayari zimeanza kufanya kazi;
2. SGR ndio ishazinduliwa;
3. Fly-overs ndo ujenzi umechachamaa;
4. Mikopo ya Elimu Juu, mabilioni yametolewa;
5. Hostels zimejejngwa tayari
Mnataka nn sasa, kuweni na shukrani
 
Mambo yadin yamekujaje apo sasa unakuwa kama sio msenge vile
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Uuuwi mkuu we hatari.hapo kwenye imani nimecheka sana.Demokrasia ni nzuri ila inatakiwa kwanza na levo ya mtu mmoja mmoja kwanza.like huwa nakula nachotaka au nachopata? Kuvaa,kusoma,kutembea nk.ukishaviweza hivyo ndiyo ufikirie hizo domokrezia ktk familia,kaya mpaka taifa. Siye tunaenda kinyume nyume eti tunaanza juu ndiyo maana hatufiki.Unamadeni kila mtaa uko huru kweli wewe,unasomeshwa na loni ya 15% demokrasia itakuja kweli,hata cha kusoma utapangiwa tu.
 
Umenena vema ndg. demokrasia ilipaswa kuanza chini. Sasa sisi tumeanzia Kwenye vyama kisha dini. Hatari sana.
 
Una uhakika pesa zitakazo okolewa katika gharama za demokrasi zitaelekezwa kwenye masuala ya maendeleo ya watu? Nani atakayefanya uamuzi huo, atapatikana aje ili apewe dhamana hiyo? Atawajibika/wajibishwa na nani katika utendaji wake?
Ziliokolewa billion 2. Je Dodoma zilitumika billion ngapi?
Usanii mtupu.
Barabara iliyojengwa kwa hizo billion 2 imeishaharibika hata mwaka bado. Angefanya mwingine, ingekuwa balaa. Kafanya yeye, hamna kelele
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Mada hizi unaziona awamu hii ya 5 tu,kwann???????
 
WEWE ni lazima utakuwa timu lumumba tu
 
Kina MBOE tafuteni sehemu nyingine ya kuingiza kipato chenu. Huku pashazibwa. Tukutane 2020.
 
Fikiria kinchi kimepata uhuru miaka 50 iliyopita leo hii bado ni tegemezi kwa zaidi ya 50% ya bajeti yake na bado watu wake wanataka demokrasia, ipi? Napendekeza yafuatayo;
1. Kufuta Uchaguzi ili kutumia pesa zinazotengwa uchaguzi kujenga miundo mbinu, vituo vya afya na mashule.
2. Futa vyama pinzani maana hivyo ndivyo vinapummbaza watu (miluzi mingi....)
Afrika bado kufikia mambo ya demokrasia, wananchi wetu ni maskini sana hivyo kwa sasa wanahitaji maji, elimu, afya, barabara na si eti inayoitwa DEMOKRASIA, hivi mtu wa huko Lindi vijijini demokrasia yeye ya nn?
** USA imepata uhuru 4 july 1776 na bado demokrasia ya kweli (true democracy) hawajaifikia, wewe na SACCOS yako unadai eti unataka Demokrasia. Piga chini.
NB: Pia hizi imani zinaleta umaskini zaidi, watu wanadanganywa kuwa kuna muujiza katika kufanikiwa (maendeleo) wakati wengine wanakamuliwa pesa ya Hijja na wanabebeshwa mawe toka Afrika kwenda kumtwanga shetani huko umangani (ukihoji eti uhuru wa kuabudu).
Dah, sikutegemea kukutana na mawazo finyu kiasi hiki hapa jf!
 
JPM alikuwa sahihi sio democrasia ya "that extent".Tatizo letu tumeruhusu democrasia kuwa mwiba.
 
Watanzania lazima tufike sehemu tukubali demokrasia ya ki-magharibi imetulemaza sana sasa tufanye kazi kwa bidii, tuachane na demokrasia uchwara.
 
Mkuu, kwanza demokrasia ya kweli ikoje na ni kwanini unadhani USA hawajafikia demokrasia ya kweli licha ya kupata Uhuru miaka mingi iliyopita?
 
Back
Top Bottom