BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,487
- 14,064
Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu.
Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru.
Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii.
Hii je?
Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari sijui umeimarishwa
Hata humu Jf still bado sana,
Kenya hata matamko ya Maaskofu wa Kenya huwa ni Black and white hayapakwi rangi yaani ni matamko ya Black and white colour hakuna kuzunguka Mbuyu.
Tukomae na mijadala ya Yanga na Simba hizi ndio urithi pekee tunao enda kuachiwa. Nyerere alituachia Utajiri wa Mali asili, ila now kwa sababu ya ujinga wetu tunaenda kuachiwa urithi wa Yanga na Simba huku wajanja wakijimilikisha nchi.