I apologise for getting you wrong mate...ila nazidi kuthibisha kwamba knowledge is Curse
Soma zaidi hapo kuhusu LLI
Mates, Wakati wengi tukiwa tunajua kwaba ubongo wa mwanadamu umegawanyika sehemu tatu ambazo ni ubongo wa mbele,katikati na nyuma tu, kuna wataalamu wa masuala ya akili (Neuorologist) na wataalamu wa masuala ya ufanyaji kazi wa akili (psychologist) wamekua wakiamini/waki-Ague kwamba ubongo wa...
www.jamiiforums.com
Kama kawaida mzee wa kutiririka😆
Kuna vitu wanaita one night stand na love at first sight...
Ukitwngeneza nae bond ujue umeshamsoma na umeona traits alizonazo zinakufaa either direct or indirectly, Nachozungumzia ni swala la watu kutokungoja kutengeneza bond na mtu yaani mmekutana bar mnamalizana hukohuko au kesho yake.
Kikubwa waafrika sio observant sio tu kwenye mahusiano ila mambo mengi tu tunajali Quantity kuliko Quality yakitu. Kwa wenzetu swala la kumfahamu mwenzio his inner part ni muhimu sana