Demisexual wanateseka sana

Demisexual wanateseka sana

Inspired by true events
To those Stoics, Introverts and Demisexual peoples ✊
Cc
John Joba @issajosergio Culture Me et..
Lol, Culture Me ni Sapiosexual not that sure if i'm a demisexual maana nikiangalia nilivyo vuruga vuruga hahahaha nitakua siitendei haki hiyo demisexual kwa kweli,

Shukrani sana kwa mada nzuri, umeielezea vizuri sana tena kiundani nadhani ni muda sasa na sisi tupate elimu juu ya hizi Sexual Orientation na Gender Identity ni nzuri kujifunza na kuelewa dunia iko vipi, kuna kipindi nilitaka kuandika nikasema jamii forum lazima wapite na uzi wangu kama kawaida yao nikaacha,

Well done.
 
Ahsante sana kwa somo zuri, na nimezidi kupata ufahamu na maarifa mengine zaidi, na nitazidi kuchimbua ili nipate kufahamu na kuelewa kwa upana zaidi.
Usipate tabu mrembo wangu wewe uje ghetto tu nikusaidie kukuchimbulia yote kwa upana na urefu, 🤭😍😘🥰
 
Lol, Culture Me ni Sapiosexual not that sure if i'm a demisexual maana nikiangalia nilivyo vuruga vuruga hahahaha nitakua siitendei haki hiyo demisexual kwa kweli,
I thought you're the one of them.
Nini maana ya sapiosexual..
Shukrani sana kwa mada nzuri, umeielezea vizuri sana tena kiundani nadhani ni muda sasa na sisi tupate elimu juu ya hizi Sexual Orientation na Gender Identity ni nzuri kujifunza na kuelewa dunia iko vipi, kuna kipindi nilitaka kuandika nikasema jamii forum lazima wapite na uzi wangu kama kawaida yao nikaacha,
Sure thing.
Mimi kuna traits fulani ninazo ndio zilifanya nijitafute nijifahamu...mada imekua inspired nami mwenyewe.
Kwakweli ni muhimu kumchunguza mwenzio traits zake kabla ya kuzama nae...Wewe upo too straight n Open lazima mada yako waile kichwa tu😆😆
Well done.
Salute mate👊
 
Sasa itabidi unifundishe jinsi ya kuandika kwa code maana JF wameniamulia hadi mzuka wa kua humu unakata, daah!

Sapiosexual, a person who is sexually attracted to highly intelligent people, so much so that they consider it to be the most important trait in a partner,
Na hii kwangu sio kwa partner hata rafiki, ili mtu awe close to me hua nampima kwa uwezo wake wa akili tunajikuta tu tuna match mambo yanasonga.

Demisexual anavutiwa na mtu aliyetengeneza nae bond ya muda mrefu sasa kwa mimi nikikumbuka enzi za ujana najiona kabisa sipo kwenye udemisexual.
😀😀
 
Parental Guide: 18+
Explicit Content.

View attachment 1835893
Mates;
Hua nikisoma visa vyenu humu vya mapenzi na uhusiano hua nashangazwa kwakweli, mara huyu kaachana na mwenzie,Yule kampiga mwenzie, huyu hampendi mwenzie kwa sababu Fulani. Hua mnanishangaza kwa kweli yaani unawezaje kumuacha-achana mtu uliye claim kwamba unampenda kwa dhati bila yeye maisha yako si kitu wala hupati furaha pasina yeye,najiuliza mtu uliyechangia nae kumbukumbu nzuri za mapenzi na upendo wenu kila mtu anajua mazuri ya mwenzie na mabaya yake and its ok kila mtu anajua familia ya mwenzie….Wengine unakuta ni mke na mume wamekaa miaka wana watoto kabisa halafu wanaachana, How??? Unamuachaje mtu uliyempenda

Asexuality ni hali ya kutokua/kukosa hamu ya kutokujihusisha na mapenzi au kufanya mapenzi kabisa, mtu kutokua na hamu ya mahusiano au kufanya mapenzi kunaweza kua kumesababishwa na sababu mbali mbali kama vile sababu za kiafya,imani ya mtu husika kama vile makasisi wa kikatoliki, uchumi wa mtu maana kama una madeni ya kodi hata nguvu za kiume zinakimbia, falsafa za mtu au kikundi zinaweza kufanya asijihusishe na mapenzi/ngono kama vile mabudha au wanafalsafa wengi wamekufa wajawahi kujihusisha. Lakini mtu anapokua ni Asexual anakua haziwiliwi na sababu yoyote ile nilizotaja hapo juu yaani yeye by default anakua hapendi tu wala hana hisia za kufanya mapenzi.

Gray Ace & Chastity
Hapo juu tumeona kwamba Asexual-ity ni hali ya kutokua/kukosa hamu ya kutokujihusisha na mapenzi au kufanya mapenzi kabisa lakini kuna kundi lingine la watu liitwalo Demisexual, watu wa kundi hili wanawake kwa wanaume ni watu ambao hua wanapata hamu ya kufanya mapenzi au kuwa kwenye mahusiano mpaka pale watakapukua na hisia za dhati juu ya mtu Fulani. Mtu akiwa ni Demisexual hata umtege vipi akukule tunda kimasihara hawezi kufanya nawe. Watu wa kundi hili hufahamika pia kama Gray asexuality maana wana bendera yao yenye rangi nyeusi,nyeupe,zambarau na kijivu/Gray ambayo ndio huwakilisha watu wasiovutiwa na mapenzi wanafahamika pia kama Gray Ace.

Wanafalsafa mbalimbali waliokua hawajihusishi na mapenzi/sex hasa Fiedrich Nietzsche anasema kwamba utoaji wa mbegu za kiume (semen ejaculation) husababisha kupungua kwa virutubisho muhimu kama vile Lecithin na Phosphorus ambavyo virutubisho hivyo hupatikana kwa wingi kwenye ubongo. Hivyo basi unapotoa semen inapelekea hivyo virutubisho viwili kupungua kwenye damu/mwilini hivyo basi mfuo wa mwili huvichukua vile virutubisho vilivyo vingi kutoka kwenye ubongo na kuvirudisha kwenye damu/mwilini ili kufidia vile virutubisho vilivyopungua baada ya kumwaga mbegu, jambo hili la kuchukua hivyo virutubisho likijirudia mara kwa mara hupelekea mwili kuathilika na kudumaza ukuaji wa mwili inavyotakiwa…Ndio maana kama mtu anapenda sana kufanya sex unaweza kumkuta kakonda kabisa kwa ajili ya hilo. Ajabu unaweza kuta mwanamke yeye akanenepa kisa mbegu anazomwagiwa na huyo jamaa aliyekonda.

View attachment 1835988
Mtu akiwa ni demisexual anakua na sifa kadha kadhaa ambazo mtu kama huna ufahamu wa mambo hayo unaweza kumuhisi vibaya, unaweza kumdhani mtu ni gay au lesbian kwakua amekataa kufanya nawe tendo kumbe ni yeye hana hisia kali juu yako. Mtu akiwa ni demisexual anaweza kua na sifa moja wapo ya hizi.
Demisexual akiCrush kwa mtu basi anakua serious sana juu ya mtu huyo na hua hawacrush kwa mtu yoyote tu ilimradi bali kwa watu ambao wanakua ni wa karibu yao au kashamchunguza mtu huyo watu wasiowafahamu huwa hawawavutii maana wao hua hawaangalii uzuri wan je . Huvutiwa zaidi na Intelligence na Kindness ya mtu kuliko muonekano wa nje wa mtu mara nyingi hua wanavutiwa na Yule mtu aliye ndani yako yaani wewe (Your inner you ) , Demisexual haupi kufanya mapenzi kipaumbele anachojali ni ile bond na feelings iliyopo kati ya yeye na Yule aliyempenda na ikitokea kafanya mapenzi basi atainjoi sana maana tendo hilifanya kwa hisia zaidi. Mtu kama akiwa ni demisxual akiwa na marafiki zake wakianza kuongelea habari za mapenzi lazima asiyafuatilie mambo hayo au huchukia hayo mazungumzo japo hataonyesha kwa wenzake kwa kuogopa kwamba watamuhisi vibaya (gay).

Mapenzi ni kama uyoga, uyoga umeshikiliwa na nguzo moja tu basi hata mapenzi yanatakiwa yashikiliwe na kitu kimoja tu kama nguzo kuu ambacho ni upendo wa dhati, Ukimpenda mtu inatakiwa uhakikishe no string attached kwa huyo uliyempenda ni upendo wa dhati juu yake tu ndio umekufanya uwe nae. Nikupende wakua nimekupenda wewe tu sio nikupende kwa kuangalia material things kama vile umbo, rangi ,macho,sauti,pesa,status nk. Upendo juu ya mtu uliyempenda inatakiwa U-flow naturally and unconditionally yaani ujisikie tu kumpenda hata akiwa hayupo around kwa saa moja uone kama ni forever dakika 60 uzione kamaa saa nzima.....Love grows like weed, Haijalishi tofauti itakayokuwepo kati yenu mpenda na mpendwa. Upendo hujiotea tu.

Nawe ukipendwa na mtu huyo anayekupenda hivyp just mpende tu naturally usiforce kumpenda acha tu upendo ule unatoka ndani yako (in your inner you) utiririke bila kikomo wala bugdha. Usimpenda mtu kwakua yeye amekupenda unaona ana mapenzi ya dhati juu yako…mpende kwakua nawe unampe na una hisia zisizo kifani juu yake maana ndicho anachostahihili. Usimpende mtu kwa kumuonea huruma utakua humuonei huruma bali uamtesa na kumdhurumu upendo wake …itakua kama anazitupia nguruwe dhahabu maana hawatajua thamani ya dhahabu hiyo mwisho wataikanyaga kanyaga…….Love in the Air.

Kwa wanaohitaj upendo wa dhati jaribu kuwatafuta watu hawa demisexual hua na mapenzi halisi sana yasio na kuigiza na wengi wao hua ni Monogamists. Monogamist ni watu ambao wakipenda mtu mmoja basi ni huyohuyo watakaempenda siku zote yaani wakishapenda mwanamke mmoja wanawake waliobaki sijui wanawaona kama vitu gani na ikitokea wameachana na huyo wampendae basi huwachukua muda mrefu kupenda tena maana inakua ngumu kupata mwingine watakae endana.

Mara nyingi Demisexual hua ni watu watulivu na very intelligent, inasemekana pia Yesu alikua either asexual au demisexual maana hakuvutiwa wala kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi japo mbeleni huko baada ya kukutana na Mary Magdalene alianzisha strong bond juu yake na kua na ukaribu nae sana mapokeo mengine ya kihistoria yanesema kwamba walikua wanamahusiano ya kimapenzi hivyo basi Yesu kama mtu wanamchukulia kama Asexual au Demisexual person kwa kuzingatia point of view ya mtu husika atakavyosoma na kuchukulia historia yake.
View attachment 1835991

Wanawakesiwe wepesi wa kushutumu mwanaume kwamba hana nguvu za kiume pengine unaweza kua ulikutana na demisexual ukamshawishi hadi ukafanyana nae mapenzi akafanya chini ya kiwango tarajiwa kumbe hata sio kosa lake ni kwakua bado hajatengeneza strong bond nawe itakayomuwezesha kufurahia mapenzi/sex nawewe. Maana wengi hua hawalijui hili kua linaweza kua sababu ya mtu kufanya sex Under TBS .

Kikubwa unapokua na mahusiano jitahidi ufahamu unadeal na mtu wa personality gani. Trust me kwa demisexual baada ya kufanya mapenzi na mtu wasio na strong feeling juu yak hua wanasikia Guilty sana hua wanjilaumu kwa kufanya kitendo hiko na hua wanakwepa Yule waliefanya nae kabisa kwakua hutengeneza chuki(za ndani bila kudhihirisha nje) juu yake.
View attachment 1835894

~Da’Vinci
Excelsior
Nisemetu asante sana kwa somo hili.
Mpaka na Jesus nimejua yupo kundi gani Dah!!!
 
Nilichoelewa ni kwamba mzee baba kachanganywa na jina langu. Hiyo Da' nadhani imemfanya ahisi kua mimi ni wa kike.😆😆
Kwamba we ni Vinci, sasa ukaweka hapo Da.

As in Da' Mwajei, Da' Husna ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba we ni Vinci, sasa ukaweka hapo Da.

As in Da' Mwajei, Da' Husna ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha tu maana before sijazoea kuja huku jukwaa la mmu wengi walikua wanajua mimi wa kike ajili ya jina hadi pm wanakuja kabisa.😆😆
Ndio maana sijamshangaa huyo bwana
 
Acha tu maana before sijazoea kuja huku jukwaa la mmu wengi walikua wanajua mimi wa kike ajili ya jina hadi pm wanakuja kabisa.😆😆
Ndio maana sijamshangaa huyo bwana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah!
Nimecheka na sikutarajia.
Sasa uitwe Ka' Vinci
 
Cheka life is too short to be stressful.
Niko poaaa sana.
Oh yes!
Safii, nimependa hiyo niko pooaa, sana.
Great.
Enhe so sisi demisexual tunatakiwa kufanyaje, ukute ndo umedate na asexual sasa.

Au ndo tuendelee tu kuteseka na vile hii dunia sio yetu?
 
Oh yes!
Safii, nimependa hiyo niko pooaa, sana.
Great.
Enhe so sisi demisexual tunatakiwa kufanyaje, ukute ndo umedate na asexual sasa.
Sidhani kama unaweza fikia hatua ya kudate na asexual asee maana hua hawapendi kabisa mahusiano wala sex mfano tesla,Newton, kuna rais wa marekani buchanan kama sijasahau mzee alikua hamaindishi kabisa wanawake(da vinci sio asexual maana mzee baba alikua omnisexual)

Sasa ikitokea ukaanguka kwake mkajikuta mpo Mapenzi nawe unapenda sex mbona utakoma😆 Trust me hauwezi dumu sana lazima muachane
Au ndo tuendelee tu kuteseka na vile hii dunia sio yetu?
Kikubwa msome inner traits za mtu kabla ya kuzama nae penzini unaweza muhisi mtu ni gay kumbe ni default setting yake ipo hivo.
Kabla ya kuanza mahusiano chunguza inner traits hizi...
Personality (extrovert or intro), behavioral model (Aggressive,Passive or assertive) Reaction toward materials (Stoic, Cynic or materials driven)
 
Lol, Culture Me ni Sapiosexual not that sure if i'm a demisexual maana nikiangalia nilivyo vuruga vuruga hahahaha nitakua siitendei haki hiyo demisexual kwa kweli,

Shukrani sana kwa mada nzuri, umeielezea vizuri sana tena kiundani nadhani ni muda sasa na sisi tupate elimu juu ya hizi Sexual Orientation na Gender Identity ni nzuri kujifunza na kuelewa dunia iko vipi, kuna kipindi nilitaka kuandika nikasema jamii forum lazima wapite na uzi wangu kama kawaida yao nikaacha,

Well done.
Hahahah babeeeh kumbe ulikua unavuruga sana eeeh?
 
Sasa itabidi unifundishe jinsi ya kuandika kwa code maana JF wameniamulia hadi mzuka wa kua humu unakata, daah!
Kufundisha sikujaliwa kipaji hicho😆
(Nami nifundishe jinsi ya kuAproach pisis)
Sapiosexual, a person who is sexually attracted to highly intelligent people, so much so that they consider it to be the most important trait in a partner,
Na hii kwangu sio kwa partner hata rafiki, ili mtu awe close to me hua nampima kwa uwezo wake wa akili tunajikuta tu tuna match mambo yanasonga.
Salute... Ujinga unaambukizwa lazima uchague aina ya akili za kua nawe karibu.
Demisexual anavutiwa na mtu aliyetengeneza nae bond ya muda mrefu sasa kwa mimi nikikumbuka enzi za ujana najiona kabisa sipo kwenye udemisexual.
😀😀
Mate technically wewe ni Demisexual, kwa sababu demi anatengeneza bond kwa mtu aliyempenda na kigezo kikubwa hua Intelligence ya huyo mtu. Labda tofauti ni kwamba sapio anafall kwa Mwanamke yoyote ambae ni Highly inteligent. Ila demi anafall kwa Mwanamke ambae ni inteligent ila wameshatengeneza bond
 
Sasa itabidi unifundishe jinsi ya kuandika kwa code maana JF wameniamulia hadi mzuka wa kua humu unakata, daah!

Sapiosexual, a person who is sexually attracted to highly intelligent people, so much so that they consider it to be the most important trait in a partner,
Na hii kwangu sio kwa partner hata rafiki, ili mtu awe close to me hua nampima kwa uwezo wake wa akili tunajikuta tu tuna match mambo yanasonga.

Demisexual anavutiwa na mtu aliyetengeneza nae bond ya muda mrefu sasa kwa mimi nikikumbuka enzi za ujana najiona kabisa sipo kwenye udemisexual.
Ewaaaaaah babeeeeh,
 
Back
Top Bottom