Sawa, ila unaposema kukua unamaanisha natural growth au unene kupungua ..Looh hua siwezi kutamka maneno makali hopefully ni Watu wazima watajiongeza![]()
Body development... Growth inaishia miaka 22.Sawa, ila unaposema kukua unamaanisha natural growth au unene kupungua ..
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Pamoja mkuu, ume eleweka ..Body development... Growth inaishia miaka 22.
Development sasa ndio everlasting so unapokua unarelease semens non stop unaathiri mwili wako kudevelop
AsanteeeeeWewe ni demi lovato
View attachment 1835964
You can't be serious..Acha kuvipa maana vitu (emoji) visivyo na maana.
Nimeweka tu emoji kunogesha maneno. But things are pretty miserable
In default mode mwanadamu yoyote Yule ameumbwa anahitaji kupenda au kupendwa, hata ufanyaje huwezi kukwepa huu mtego coz it’s a law of nature and you can’t escape a law of mother nature because nature always find its way and always win.Upendo ndio msingi wa maisha ya mwanadamu, ktika kupenda au kupendwa kumebadilisha maisha ya watu wengi waliokua waovu,watukutu na makatili..mtu yoyote Yule aliye katili hua ukimpatia upendo basi utaweza kumbadirisha kuwa mtu mwema.Asanteeeee
Ajabu sanaMapenzi bwana, Unachotaka hukipati, usichotaka unapata... What a strange world.
Amen..ameipata.Mambo mengi tunajifunza kila siku unaweza kuta unapayuka hupewi mambo flani kumbe upo kwenye kundi gumu.Situmii kilevi kiongozi, au unaweza mpatia aliye karibu nawe hapo badala yangu😆
Akutafute Mwanaume mwenzako akufanye nini?
Noma sana mkuu things are pretty miserable out here. Demisexual personel huteseka san kama mwenza wake asipomfahamu vizur. Wengine wanaweza kutake advantage juu ya hali yako jiyo kukuControl mapenzini

Sawa.We umejuaje kama ni mwanaume au mwanamke au jinsia ya tatu!! Au mshawai kukutana na mtoa maada