snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
You muda wa kuanza kumfanyia mtu hizo analysis sina kwa kweli.Sidhani kama unaweza fikia hatua ya kudate na asexual asee maana hua hawapendi kabisa mahusiano wala sex mfano tesla,Newton, kuna rais wa marekani buchanan kama sijasahau mzee alikua hamaindishi kabisa wanawake(da vinci sio asexual maana mzee baba alikua omnisexual)
Sasa ikitokea ukaanguka kwake mkajikuta mpo Mapenzi nawe unapenda sex mbona utakoma😆 Trust me hauwezi dumu sana lazima muachane
Kikubwa msome inner traits za mtu kabla ya kuzama nae penzini unaweza muhisi mtu ni gay kumbe ni default setting yake ipo hivo.
Kabla ya kuanza mahusiano chunguza inner traits hizi...
Personality (extrovert or intro), behavioral model (Aggressive,Passive or assertive) Reaction toward materials (Stoic, Cynic or materials driven)
Vinatick vinatick
Havitick havitick.






