Dege jipya la Air Tanzania (ATCL)!!!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Wahi ukakate tiketi mapema. Hili dege litafanya safari zake toka Mwanza hadi Dar kila siku asubuhi!

ndege.jpg
 
sielewi kama ni la mizigo au abiria, halafu mbona liko peke yake hapo uwanjani??
 
Litakuwa linapiga route za mbagala, kimara, Tegeta na Gongo la moto (Mabomu)
 
si ndio hilo Mpwa linapiga route za Mbagala Kivukoni na Kimara, hujaniona hapo nipo juu kabisa?? hebu angalia vizuri yaani hili halina ugomvi na makonda maana linabeba abiria wopte na mizigo yao yote, full raha.
teeh!teeeh!teeeeh!Duh!hii picha kweli imenivutia na tunavyopenda kununua vitu used ipo siku hilo dege likatua bongo
 
Back
Top Bottom