Dege jipya la Air Tanzania (ATCL)!!!

Dege jipya la Air Tanzania (ATCL)!!!

Hata Cape Vere wanatushinda?

macauhub_17_2_2014_470.jpg
 
Askari kanzu daima hupendi maendeleo na ndio maana unaanza kubeza juhudi za Mheshimiwa waziri wa uchukuzi....Subiri ninyi CDM mtakapotwaa madaraka muaize dege la aina hiyo sisi tunaleta ndege zenye ubora na hadhi ya ICAO....
Wahi ukakate tiketi mapema. Hili dege litafanya safari zake toka Mwanza hadi Dar kila siku asubuhi!

View attachment 44491
 
Back
Top Bottom