Dege jipya la Air Tanzania (ATCL)!!!

Dege jipya la Air Tanzania (ATCL)!!!

Hiyo ndege inaweza ikasimama angani na kutoa lifti kwa kunguru,njiwa na ndege wengine...
 
Hata kama naichukia serikali yangu lakini si kwa kiwango hiki,msinitafsiri vibaya maana naichukia serikali na si nchi yangu.
 
duuh !!! hili litaweza ruka kweli naona kama uzito umezidi baada ya wazamiaji kuzidi kuliko abiria halali
 
Hapana, hawasafirishii madini humo. Hilo dege ni la kusafirishia Twiga! Maana hapo hata twiga awe na shingo ndefu kiasi gani ana-fit tu!

wewe iko akili ndefu kuliko shingo ya twiga.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....no seat at all....
 
Hii nchi ni aibu tupu. Ni serikali ya kwanza duniani kuwatetea wageni wasilipe kodi.
 
hahahahahahah
Hiyo ndege hatari nampongeza ailiyoinunua.....
 
si ndio hilo Mpwa linapiga route za Mbagala Kivukoni na Kimara, hujaniona hapo nipo juu kabisa?? hebu angalia vizuri yaani hili halina ugomvi na makonda maana linabeba abiria wopte na mizigo yao yote, full raha.
mpwa nimekuona!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nacheka nawatu wananishangaa ndege ya somalia labda!
 
Back
Top Bottom