kwahiyo kabisa umeamua kunisuta jamani si mshasema takaa kimya?angalia tu mwenyewe kama nimesema tena
aaaah! aah!
kitendawili... ukiinama nipo! ukiinuka sipo!
Nipo my binamu aise mambo yamekuwa mengi mpaka tunachanganyikiwa ila uzima upo binamu ladyfurahiakumbe upo binamu yangu nimekumisije?
kobe....
nimependa maneno matatu ya kwanza ya sign yako!
Karibu
Beauty n the beast.. !!!
Ndo maana nakuzimia mno ladyfurahia
Asante bestito walao umenifanya nicheke jibu la huyo mshana jr eti mie na yeye tufanye colabo! Lol!