Dedication ya Ntuzu na wakeze

Dedication ya Ntuzu na wakeze

sorry best wangu jamani
tatizo umezidi kuingilia mambo ndo maana inakuwa hivyo

Kwahiyo kabisa umeamua kunisuta jamani si mshasema takaa kimya?angalia tu mwenyewe kama nimesema tena
 
Last edited by a moderator:
Wala usijali Mr Rocky atarudi tuu miss chagga kule kafata ndururu tuu, Khantwe ana stress natamani kumfariji kiaina lakini nashindwa nianzie wapi

Najua mkuu mshana jr kuwa miss chagga kafuata ndururu kule na si unajua tena xmass hiyo inakuja lazima awe nazo akawaonyeshe watoto wa kule uchaggani kuwa mambo hayakuwa mabaya mjini aise

Mr Rocky kirirsimasi inakuja ngoja nitafute hela ya kutumbua tuje tutumbue wote

Najua baby miss chagga we zichange bana msimu unakaribia aise
usijali ukiona kobe kainama anatunga sheria baby usijali
miss chagga anaweza kuinama mwewe akaja kuchukua mpaka msosi wake aise au hizo sheria anazotunga zikawa zishapitwa na wakati kama rasimu ya katiba
 
Last edited by a moderator:
Najua mkuu mshana jr kuwa miss chagga kafuata ndururu kule na si unajua tena xmass hiyo inakuja lazima awe nazo akawaonyeshe watoto wa kule uchaggani kuwa mambo hayakuwa mabaya mjini aise

Najua baby miss chagga we zichange bana msimu unakaribia aise

miss chagga anaweza kuinama mwewe akaja kuchukua mpaka msosi wake aise au hizo sheria anazotunga zikawa zishapitwa na wakati kama rasimu ya katiba

basi nitakuwa nainama na kuinuka baby Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom