Kuna kitu naona you don't get it kabisa..
lara 1 yuko hivyo mostly pia ni her age
hawezi kuwa hivyo ten years from now
au akiwa 40 years old..
time na circumstances zinachangia mno personality zetu zinavyo shape..
Kwa hiyo usiwe comfortable na kutafuta 'an angel'
wapo wasichana ambao waliolewa 'for the sake of love only'
later on life iliwa geuza wakawa 'gold diggers na so cold blood suckers'
wakati in their twenties hawakuwa hivyo
unaweza oa a very innocent girl leo,ten years akawa five time money monger kuliko
lara 1..
kumbuka kila kitu kinategemea circumstances na time...
lara 1 angezaliwa in the seventies? angekuwaje?
angezaliwa from 'old money family' angekuwaje?
angekutana na first boyfriend who is so rich and so generous and so cimmited to her?
angekuwaje?
angesoma Orange county huko na sio vyuo vya boom hivi angekuwaje?
kesho akipata ten times ya income yake ya leo,atakuwaje?
so hujui ...hata wewe uko hivyo sababu ya circumstances fulani fulani..
hivi ungekuwa uko HIV positive na ndo unatafuta mwenzxa mfano,inafikiri
priciples zako zingekuwaje tofauti na sasa? mind you usingekuwa na so many options..
au income yako itetereke ?au ugundue utaweza kuzaa mtoto?
anything.....