Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

FACT, TRUTH, AND SENSE ARE TIMELESS!!!!!!!!!!!!! Kama kitu ni kati ya hivo hapo, They will always stand the test of time!!!!!!!!!

So jaribu kila mda kabla hujaamua angali je maamuzi yako yana hivo vitu 3!!!!!!!!????? Kama vipo even after 30 YEARS of time given the same circumstances you will make the same decision!!!!!!!!!!

That is my FORMULAR!!!!!!!!!

what makes sense now,may sounds so stupid few years later...
kuna wadada walitembea na watu wasiiowapenda ili
wamiliki simu za twanga pepeta ..enzi hizo..nna uhakika hawataki kukumbuka now lol
but tazama na time,just few years...later,haikupita hata miaka mitano,simu hizo zilikuwa scandal kumiliki lol
 
Well said. Ndio maana mimi namwangali tu kijana Mentor anavyohangaika. Kimsingi lara 1 hawezi kubadili mtazamo wake kwa sababu tu Mentor angependa iwe hivyo. Hii ni kwa sababu wengi wetu huwa hatukubali jambo hadi litukute, na ndiyo maana ukikaa na mzee mwenye busara huwezi kukuta anatumia nguvu nyingi kukuelimisha jambo. Sana sana atakupa maneno mawili, matatu yakufae mbele ya safari.

Huyu lara 1 mwenyewe kuna mahali niliwahi kumwambia muda utambadilisha, lakini akakataa kwa nguvu zote na leo anasema bado anafikiri vilevile tangu ana miaka 17 . Yaani anataka kutuaminisha kuwa hajawahi kukua kifikra kwa muda wa wa miaka 7 sasa, hii ni hatari sana japokuwa mimi siamini hivyo. Nina hakika kama ulivyosema miaka 10 au hata 5 tu huko mbele huyu huyu lara moko atakuwa kitu kingine kabisa. Tanzania yenyewe itakuwa na raisi mwingine sembuse yeye.


Five years from now haa ukisikia lara 1 ameolewa na Profesa Majimarefu wala usishangae
au kaolewa na kijana anaetafuta kazi bado wala usishangae..
ndio life ilivyo...nothing is guarantee in life except change...any change ..good or bad
 
Last edited by a moderator:
Five years from now haa ukisikia lara 1 ameolewa na Profesa Majimarefu wala usishangae
au kaolewa na kijana anaetafuta kazi bado wala usishangae..
ndio life ilivyo...nothing is guarantee in life except change...any change ..good or bad

Change is not an issue! The issue is how do you cop with the change???????? Hushangai MAFIA na YAKUZA ndo waliwahi kufungua viwanda China na Japan. They swa change comming and they were ready for it!

HATA MIMI I AM READY FOR CHANGE IF HE COMES MY WAY!!!!!!!!!!! I ALWAYS HAVE AND WILL MAKE MY OWN LUCK!!!!!! Singojei upepo wa monsoon unpite anga zangu!
 
Unajua nini mdogo wangu,
Nimekupenda bure kwa kuandika short staright forward and clear, nimependa sana hiyo na mpangilio wako barabara.
Yaani umejibu kama mwanasheria hamna u know wala there was yaani nahisi nimechelewa sana kuisoma hii thread daah ndo naiona leo wacha niendelee kusoma hii debate
WHAT DO YOU MEN REALLY WANT????????????????

1. Mkipewa kiurahisi rahisi basi huyo dada malayaa, anagawa kirahisi, hana soni, hamtaki vya kunyonga mmezoea vya kuchinja??????????

2. Mkinyimwa, the a sister aint decent either! She is such a cold insesitive biach!!!!!!!!!

3. Mtu akiwaganda kama Luba, mnamuona kero!

4. Akiwaignore then she is mean, for not giving you just a little ATTENTION????????/

5. Mtu akiwachuna mavaccation na mahalat ya kimujini basi KUPE huyo hafai!

6. Akishinda ndani na mkaa kukupikia, akuite tu uje ule, MSHAMBA! She is stressing you out, you aint in the 1960's no more!

7. Akikuomba hela MCHUNAJI

8.Asipokuomba ana MIJIBABA inamuwezesha, anaishije wakati humuwezeshi????/

LIKE SERIOUSLY WHAT DO YOU MEN WANT OR EXPECT??????????/

I DONT KNOW ABOUT OTHERS BUT I AM NO MAN'S Biach, Easy Catch, Lazy hunt, Cheap material ET AL!!!!!!!
PROUDLY A MONEY MONGER!!!!!!!!!!
letsparty.gif
letsparty.gif
letsparty.gif
letsparty.gif
letsparty.gif


YOU CAN NEVER SATISFY A MAN! I HAVE GIVEN UP THE PURSUIT FOR FULFILLING MEN'S EGOS!!!!! Hands Down!
 
Mada tamu sana but I have to leave. My point is bongo movies cum Nigerian movies zimewaharibu wasichana na kileo

ha ha..this clip is funny...I guess choping Nigerian's man money isn't easy..!! Mentor Kaizer The Boss..jamaa tena anasisitiza atanunua paracetamol extra extra, he he!!


[video=youtube_share;_a-C9VsCmLw]http://youtu.be/_a-C9VsCmLw[/video]
 
Last edited by a moderator:
IT AINT ABOUT TIME! AND WE BOTH KNOW IT!!!!!!!!!! Wewe huwezi nambia mtu above 20, zee zima likishindwa kureason ujue tu reasoning capacity yake ni ndogo! Baaaaaaaaaass! Wala hakuna cha umri!

Speaking of reasoning capacity, don't tell me you do not realize that it changes with age and experience. There is a reasons huko vijijini enzi hizo kulikuwa na mabaraza ya wazee na sio watoto au vijana.
 
Change is not an issue! The issue is how do you cop with the change???????? Hushangai MAFIA na YAKUZA ndo waliwahi kufungua viwanda China na Japan. They swa change comming and they were ready for it!

HATA MIMI I AM READY FOR CHANGE IF HE COMES MY WAY!!!!!!!!!!! I ALWAYS HAVE AND WILL MAKE MY OWN LUCK!!!!!! Singojei upepo wa monsoon unpite anga zangu!

You probably do not comprehend fully what change means. TB hapa utakesha, mpeni muda tu huyu dogo maana for now if I am allowed to put it mathematically she thinks life is a linear equation where regression can easily be predetermined but she will learn sooner or later it isn't. She thinks she knows the values of all variables while in fact she doesn't and no body does.
 
You probably do not comprehend fully what change means. TB hapa utakesha, mpeni muda tu huyu dogo maana for now if I am allowed to put it mathematically she thinks life is a linear equation where regression can easily be predetermined but she will learn sooner or later that life it isn't. She thinks she knows the values of all variables while in fact she doesn't and no body does.

Hahahaaaaaaaaa! Dont be so sentimental! Trust me when i tell you, where i am comming from is worse than where im going! WHAT DIDN'T KILL ME MADE ME STRONGER!!!!!!!

I dont know about you bro, but i decide HOW I LIVE!!!!!!! I WRITE MY OWN HISTORY AND MAKE MY OWN LUCK!!!!!!!! I dont just sit back and wait shit to happen, i make it happen for me!

SO WHATEVER THAT IS COMMING LIKE I SAID IM READY FOR IT!!!!!!!! I have always been ready! Im just not cut out to be the waiting kind! To me its always about ABILITY! Bein able to do staffs and accomplish staff. AGE IS JUST A NUMBER TO ME! DOESNT AFFECT SHIT!

If you are jobless and you dont do shit about it, you will be jobless come 40YRS

If ya not married n dont take matters on ya hands, waitin for shit to happen n all come 50YRS you will be single.

If ya married n unhappy and do shit about it come 60YRS you will still be unhappy!

DONT PREACH AGE TO ME! CAUSE I DONT BUY IT! NEVER WILL!!!!!!!
 
Hahahaaaaaaaaa! Dont be so sentimental! Trust me when i tell you, where i am comming from is worse than where im going! WHAT DIDN'T KILL ME MADE ME STRONGER!!!!!!!

I dont know about you bro, but i decide HOW I LIVE!!!!!!! I WRITE MY OWN HISTORY AND MAKE MY OWN LUCK!!!!!!!! I dont just sit back and wait shit to happen, i make it happen for me!

SO WHATEVER THAT IS COMMING LIKE I SAID IM READY FOR IT!!!!!!!! I have always been ready! Im just not cut out to be the waiting kind! To me its always about ABILITY! Bein able to do staffs and accomplish staff. AGE IS JUST A NUMBER TO ME! DOESNT AFFECT SHIT!

If you are jobless and you dont do shit about it, you will be jobless come 40YRS

If ya not married n dont take matters on ya hands, waitin for shit to happen n all come 50YRS you will be single.

If ya married n unhappy and do shit about it come 60YRS you will still be unhappy!

DONT PREACH AGE TO ME! CAUSE I DONT BUY IT! NEVER WILL!!!!!!!

Haya mdogo wangu.
 
Ni aje Banaaa Mentor!? Mie nilikwambia what happens in Vegas stays in Vegas sasa inakuwaje tena kuja kunichora katika uzi huu banaaa!? Naona na The Boss anachombeza kwa kukupa like lol! 🙂🙂Msome kwa makini The Boss hapo juu kisha utafakari kwa kina.


Mie ushauri wangu oa banaaa acha woga wa kuogopa changamoto za kimaisha ya kila siku ndani ya ndoa. Mpaka hapo ulipofikia umepitia changamoto mbali mbali katika maisha yako ya kila siku kama vile za shuleni, chuoni, maGF, marafiki, wazazi na ndugu na jamaa lakini nyingi ulifanikiwa kuzishinda.

Wasikutishe akina NV
(sitaki maswali kuhusu kirefu cha NV) . Bado wapo wanawake wenye mapenzi ya kweli Bongo hawako perfect lakini wazuri na watakuonyesha penzi la kweli, watakuthamini, watakujali na pia watakuheshimu wewe na watu wako wote wa karibu. Muombe sana Mungu akujaalie ili upate mke mwema maana yeye ndiye muweza wa yote.

Pamoja na kusikia baadhi ya watu wakiexaggerate kuhusu ugumu wa ndoa, "Ndoa ngumu sana ndio maana wengi waliomo ndani ya ndoa wanataka kutoka katika ndoa zao" lakini bado pamoja na changamoto za kila siku ndani ya ndoa bado wengine hawataki kabisa kutoka ndani ya ndoa.

Nakumbuka rafiki yangu mkubwa hapa jamvini (jina kapuni) mwaka 2008 tulikuwa tunaongelea ugumu na changamoto mbali mbali zinazowakabili wana ndoa. Yeye akaniambia kwamba "hata ndoa yangu ikivunjika leo bado nitataka kuolewa tena." Akaendelea kusema kwamba anayapenda sana maisha ndani ya ndoa kuliko maisha ya kuishi mwenyewe pamoja na huo uhuru unaosemwa wa kuishi mwenyewe.

Maneno kama hayo pia nimeyasikia kwa wanandoa wengi sana na kuongezea kila changamoto zinapotokea basi hutafuta kila mbinu kuweza kuzishinda changamoto hizo ili kuhakikisha ndoa yao inaendelea kudumu kwa miaka mingi. Mbinu hizo ni kukaa chini wenye wawili ili kuzimaliza changamoto hizo na wanaposhindwa kuzimaliza wenyewe basi kuomba msaada wa wazazi, ndugu jamaa na marafiki wanaowaamini ili wawasaidie kumaliza tofauti zao.

Kwa hiyo usiogope Mkuu weka target ya June 2014 ili uweze kuitwa mume wa fulani. Kumbuka kumtanguliza Mungu katika kufanikisha kumpata mwenzio anayestahili kuwa mkeo na pia kumbuka vitu vitatu muhimu sana ndani ya ndoa ambavyo vinasadia sana kufanya ndoa iwe ya amani na iweze kudumu muda mrefu navyo ni 1. Communication 2. Communication 3. Communication. Kila la heri Mkuu

Always remember that what happens in Vegas stays in Vegas 🙂🙂 Have a great weekend





I know you think I'm afraid
To take a chance, go to the deep end
Usher baby
Turn the lights off

These waters can get a little busy
But I got experience
Don't mind trecking through the storm
Long as I know that you're here with me baby
Shedding all your innocence
I see the walls are looking like they might precipitate
Until i'm in so deep, it's up to my waist
But I promise girl I ain't afraid

It's raining inside your bed
No parts are dry
Love makes you so wet, your legs, your thighs
And ever since we first met I knew that
I, I knew I was ready baby to take that dive

Can't help it, no
I want you to feel me
Every little bit of me baby
I don't need a life saver kwi kwi kwi kwi...see you don't need a life saver hahahahaha lol!🙂
Baby going deeper ain't gon kill me
And I know they are shagging for me
I see the walls are looking like they might precipitate
Until i'm in so deep, it's up to my waist
But I promise girl I ain't afraid

It's raining inside your bed
No parts are dry
Love makes you so wet, your legs, your thighs
And ever since we first met I knew that
I, I knew I was ready baby to take that dive

I'll be inside when the tides are rolling baby
You'll be my place to hide, all night
I'm not afraid to try
And knew I, don't mind playing in the rain
And I was hoping that I get to take that dive

It's raining inside your bed
No parts are dry
Love makes you so wet, your legs, your thighs
And ever since we first met I knew that
I, I knew I was ready baby to take that dive...Just take that dive Mentor you'll be just fine 🙂

Am giving space to other members of th floor... BAK where art thou??!
 
Last edited by a moderator:
BAK naona umempa ushauri wa kikaka Mentor naamini amekusikia lkn lara 1 nae ana point nyingi za msingi nazo waoaji au vijana walio kwenye mahusiano wakizizingatia zaweza kua msaada kwao. Tena hata walio oa/kuolewa nao kuna baadhi ya point ametoa huyu dada na kaka mentor ni muhimu sana kiukweli. Kama mtu akifanikiwa kuoa/kuolewa na anaempenda hapo lazima ndoa iwe nzuri mno tena hakuna awezae kuwazia kuachana. Vijana bado mna changamoto nyingi ktk hili na ziko sababu za msingi tu zinazopelekea hali hii. Sijui walaumiwe waliotangulia au......?
 
Last edited by a moderator:
kaka BAK, I knew u had something credible to say...THANKS A LOT.

Ila hiyo JUne 2014, labda mimisa aje kunisemea hapa. Ngoja ngoja walau mpaka 2015 kaka au!?? I hate diving...mguu mmoja mmoja ndo mpango mzima.

Ablessed, tell me point moja aliyoiongelea lara 1..pliz.
 
Last edited by a moderator:
Mentor dude don't get hitched just yet. Nini kujifunga with one chick while u can all this free puntang all around the city. Usiwe zoba mkuu. Remember what Pac said; rule one get your cash on M.O.B!
 
Back
Top Bottom