Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

shem Mentor najua sana..ila ndo mambo ya indirect questions hayo, majibu yake ameshanipa nila kumtaja Mengi.....ila anasema eti 'wako wengi'

Yes, u gat mi...so msifikiri watu hawana option, kupanga ni kuchagua,haijalishi upo ktk mazingira yapi,we a differ
 
Last edited by a moderator:
sijawahi comment kwenye hilii jukwaa leo imenibidi.why this lara?unawatia hofu sana vijana?money is essential but not everything to make some one happy you cant buy happiness there ar rich people with a lot of money but they ar not happy.Ni muhimu kijana awe na pesa kiasi fulani hata ya kununulia powder kwa mwezi ila sio pesa ya kununua kiwanda cha poda ndo maana watu wanauza unga lakini mwisho wa siku
no happy

Karibu sana major mwendwa...huku ndio MMU na lara 1 ndio kubwa letu la maadui apa....lol
 
Last edited by a moderator:
so at more than 25yrs, u have to compromise that fact..kwamba utakuwa na A man 30 yrs older than you...and you get along as long as he has money.....

Now if you use Mengi's example...how many of that calibre do we have? how many can buy you BMW X6s? Au hata kacorola tu? How many of you are lined up and subject to strict shortlisting? I mean, How many of you have K-Lyns qualities?

Kaka,navyokwambia wapo wengi,i mean it!though,uwezo wa kipesa unazidiana bt they hv money! kwani ww hujaona wazuri/quality kuliko ht hyo k-lyn.....
...kila mtu na mtu wake!
Cwezi kuweka kila kitu hapa ila ww acha tu,u jus knw wapo,na kuna wengine wana hela kuliko hyo mengi na wana wadada wakawaida tu si km klyn
 
sijawahi comment kwenye hilii jukwaa leo imenibidi.why this lara?unawatia hofu sana vijana?money is essential but not everything to make some one happy you cant buy happiness there ar rich people with a lot of money but they ar not happy.Ni muhimu kijana awe na pesa kiasi fulani hata ya kununulia powder kwa mwezi ila sio pesa ya kununua kiwanda cha poda ndo maana watu wanauza unga lakini mwisho wa siku
no happy

You got me wrong!
 
Kaka,navyokwambia wapo wengi,i mean it!though,uwezo wa kipesa unazidiana bt they hv money! kwani ww hujaona wazuri/quality kuliko ht hyo k-lyn.....
...kila mtu na mtu wake!
Cwezi kuweka kila kitu hapa ila ww acha tu,u jus knw wapo,na kuna wengine wana hela kuliko hyo mengi na wana wadada wakawaida tu si km klyn

labda tukubaliane hapa, "kuwa na hela" kunaanzia sh ngapi maana yasije kuwa yale ya "mabilionea wa Arusha"

What amount of money is enough to make you happy?
 
Karibu sana major mwendwa...huku ndio MMU na lara 1 ndio kubwa letu la maadui apa....lol
kaka Kaizer saiv nitakuwa active hapa huwa sipendi ku comment sababu nimekatwa mshipa wa hisia za mapenzi wadada kwangu ni headache though namkubali Lara kwa ideology zake but i think her greedy for money its too excessive to an extent of scaring young boys like me.Huwa nahisi sitaoa kwa ideology issue ni siku nizikose hizo pesa dah!!!!
 
Last edited by a moderator:
Eeeeh! Kwani uongo! Ukilia kwenye baskeli unaaibika mtaaa mzima na kuhadhirika kwa wapita njia! Ila kwenye BMW lako Tinted, umefunga vioo vyote, full ac, full stereo, wapiga zako ukunga weee!!!!! nani atakae kustukia!!!!

Ila kwenye baskeli michozi inakumwagika, hata trafic anaweza simamisha msafara namumeo kuuliza shwari hapa?

hahahahahahaaa....... Yaaani nimeheka mpaka baasi!!!!!
Hiyo ndio raha ya pesa bana full kustilika!!!!!!!
 
PESA ilimuua yesu.
PESA inanogesha penzi
PESA inadhalilisha utu
PESA inathaminisha binadamu
PESA inaamisha milima
PESA inauwa watu
PESA inagombanisha ndugu
PESA inanunua upendo
PESA inapendwa na watu
PESA inachukiwa na watu
EEE MUNGU nijalie kadri ya nafsi na uwezo wangu usinipe kingi nikakusahau na kutukana jina lako na usinifanye maskini nikakulaumu na kukufuru jina lako nipe kadri ya uwezo wangu.
 
endelea kumuomba Mungu akuzidishie, maana umasikini ni dhambi
 
WHAT DO YOU MEN REALLY WANT????????????????

1. Mkipewa kiurahisi rahisi basi huyo dada malayaa, anagawa kirahisi, hana soni, hamtaki vya kunyonga mmezoea vya kuchinja??????????

2. Mkinyimwa, the a sister aint decent either! She is such a cold insesitive biach!!!!!!!!!

3. Mtu akiwaganda kama Luba, mnamuona kero!

4. Akiwaignore then she is mean, for not giving you just a little ATTENTION????????/

5. Mtu akiwachuna mavaccation na mahalat ya kimujini basi KUPE huyo hafai!

6. Akishinda ndani na mkaa kukupikia, akuite tu uje ule, MSHAMBA! She is stressing you out, you aint in the 1960's no more!

7. Akikuomba hela MCHUNAJI

8.Asipokuomba ana MIJIBABA inamuwezesha, anaishije wakati humuwezeshi????/

LIKE SERIOUSLY WHAT DO YOU MEN WANT OR EXPECT??????????/

I DONT KNOW ABOUT OTHERS BUT I AM NO MAN'S Biach, Easy Catch, Lazy hunt, Cheap material ET AL!!!!!!!
PROUDLY A MONEY MONGER!!!!!!!!!!
letsparty.gif
letsparty.gif
letsparty.gif
letsparty.gif
letsparty.gif

YOU CAN NEVER SATISFY A MAN! I HAVE GIVEN UP THE PURSUIT FOR FULFILLING MEN'S EGOS!!!!! Hands Down!
Nilitaka kuona tu majibu yako.............
lara 1.....!
 
Ni kweli my dear I support you, hawa watu hawana uhakika na wanachokitaka.

Men!!!Men!!!Men !!!
So complicated,So confusing,So hard to please.
If u try 2 pls dem, u re cheap.
If u make love (sex) to them, u're a LovePeddler.
If u don't, u re playing hard to get.
If u show dem u love dem, u're too emotional.
If u don't show it, u don't love dem.
If u give them attention, u're bugging,
if u don't, u're with other men.
If u demand for attention u're a nagging woman,
if u don't u're not understandable
If u dress sexy, u're attracting other men
If u don't , u're awkward & local.
If u cook & wash their clothes u're desperate
If u don't, u're not a wife material.
If u go to club/party, u're too exposed
If u don't, u're naïve.
If u re beautiful, u can't stay with 1 man
If u're ugly, u're not up to standard.
If u're independent, u're chasing men away
If u're dependent, u're a liability
If u try 2 satisfy dem in bed, U're sex addict
If u don't, u're making sex boring.
If u'r pregnant, u want to trap them
If u're not pregnant, u're not a woman or might hv damaged ur womb
If u ask men for money, U're too demanding
What do men really want?
Does that mean they don't even know what they want?
They can be so annoying!!! GOSH!! please,
be sincere WHAT DO MEN REALLY WANT?
 
labda tukubaliane hapa, "kuwa na hela" kunaanzia sh ngapi maana yasije kuwa yale ya "mabilionea wa Arusha"

What amount of money is enough to make you happy?

Ha haaa,'eti mabilionea wa arusha'!
...pesa ambayo,itanifanya nipate kila kitu nachotaka kwa wakati wowote ule!chochote kwa wakati wowote!(sio ya mawazo)even kwenda popote wakati wowote,ss piga mwenywe mahesabu hapo
...sio zile za,sahv cna mpenz/wyf,kuna deal nalisubiri,vumilia blah blah!
...so cwezi taja kiwango hapo bt hop u gat mi
 
Now this is consoling...

I must say I am not under 25 n maybe that's why my focus is more on th giving of one self n not material stuff.

Then again I know I must wait longer to achieve that..to meet the grown lara 1's ...beautiful bt not centralized on material worldly things.

Oh time....

Kuna kitu naona you don't get it kabisa..
lara 1 yuko hivyo mostly pia ni her age
hawezi kuwa hivyo ten years from now
au akiwa 40 years old..
time na circumstances zinachangia mno personality zetu zinavyo shape..
Kwa hiyo usiwe comfortable na kutafuta 'an angel'

wapo wasichana ambao waliolewa 'for the sake of love only'
later on life iliwa geuza wakawa 'gold diggers na so cold blood suckers'
wakati in their twenties hawakuwa hivyo
unaweza oa a very innocent girl leo,ten years akawa five time money monger kuliko lara 1..

kumbuka kila kitu kinategemea circumstances na time...
lara 1 angezaliwa in the seventies? angekuwaje?
angezaliwa from 'old money family' angekuwaje?
angekutana na first boyfriend who is so rich and so generous and so cimmited to her?
angekuwaje?
angesoma Orange county huko na sio vyuo vya boom hivi angekuwaje?

kesho akipata ten times ya income yake ya leo,atakuwaje?

so hujui ...hata wewe uko hivyo sababu ya circumstances fulani fulani..

hivi ungekuwa uko HIV positive na ndo unatafuta mwenzxa mfano,inafikiri
priciples zako zingekuwaje tofauti na sasa? mind you usingekuwa na so many options..

au income yako itetereke ?au ugundue utaweza kuzaa mtoto?
anything.....
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli my dear I support you, hawa watu hawana uhakika na wanachokitaka.

Men!!!Men!!!Men !!!
So complicated,So confusing,So hard to please.
If u try 2 pls dem, u re cheap.
If u make love (sex) to them, u're a LovePeddler.
If u don't, u re playing hard to get.
If u show dem u love dem, u're too emotional.
If u don't show it, u don't love dem.
If u give them attention, u're bugging,
if u don't, u're with other men.
If u demand for attention u're a nagging woman,
if u don't u're not understandable
If u dress sexy, u're attracting other men
If u don't , u're awkward & local.
If u cook & wash their clothes u're desperate
If u don't, u're not a wife material.
If u go to club/party, u're too exposed
If u don't, u're naïve.
If u re beautiful, u can't stay with 1 man
If u're ugly, u're not up to standard.
If u're independent, u're chasing men away
If u're dependent, u're a liability
If u try 2 satisfy dem in bed, U're sex addict
If u don't, u're making sex boring.
If u'r pregnant, u want to trap them
If u're not pregnant, u're not a woman or might hv damaged ur womb
If u ask men for money, U're too demanding
What do men really want?
Does that mean they don't even know what they want?
They can be so annoying!!! GOSH!! please,
be sincere WHAT DO MEN REALLY WANT?

Cc: Mentor, The Boss, Kaizer, olesaidimu etc, MNATAKA nn? TUWAPE NN MRIDHIKE!?
 
endelea kumuomba Mungu akuzidishie, maana umasikini ni dhambi
Lady doctor sitaki kuutetea umaskini ila ninacho amini umaskini wa kujitakia kwa kubweteka na kutotumia akili uliyopewa na mungu iyo yaweza kuwa dhambi.ila umaskini pia sio zambi kwasababu ni lazima group zote ziwepo na wengine mungu ndo anajua kwanini wao ni matajili au maskini.Sitaki kuamini eti matajili walio na pesa chafu kama ya madawa ya kulevya na ukwepaji wa kodi eti wao sio wadhambi kweli kisa wana pesa lady doctor kweli?kama wewe ni mkristo tafakari kisa cha Ayubu tajili aligeuka maskini wa kutupwa kwa muda mchache tu na bado hakuwa mdhambi.Kuna watu wanafanya kazi kwa bidii zote na ni kazi halali lakini hawafanikiwi na saa nyingine hata kidogo wanachopata kinapotea hapo utasemaje sasa.Lakini wengine hawana jitihada kivile lakini mambo safi.mungu anajua vizuri uwezo wetu wa kumudu hali za uchumi.kuna wengine anajua huyu nikimpa huyu watu watamkoma na utajili wake utakuwa kero kwa binadamu wenzio na hata kwake MUNGU lakini mwengine anaona huyu nikimpa yeah atakuwa msaada na atakuwa baraka kwa watu wake.Ndivyo ilivyo hata kwenye umaskini anajua nikimfanya huyu kuwa maskini watu wangu hawatakuwa na amani Atawaroga huyo au kuwa jambazi la kutisha kwa wenzie so bora ampe mafanikio aepushe hayo.mwengine anaona ni right awe maskini labda nafsi yake atakuwa hana manung"uniko katika kuwatumia wenzie na pengine hatanisahau atakuwa akiniabudu.Mimi nilimaanisha nipewe kadri ya uwezo wangu sio nije nipewe kinacho nizidi uwezo ikawa tabu uwezo wangu unaweza kuwa labda wa Mzee mengi Afu nikapewa cha BaKhresa hapo tabu inaanza labda .na asije akaninyima nikakosa nikaanza kusema huyu MUNGU sio fair i hope Umenielewa Lady doctor?
 
Back
Top Bottom