The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,657
Hahahaaaaaaaaa! I think compromising inategemean na wewe zaidi ulivo nafsini mwako! Age has a little to do with it! Unaweza kuwa below 25 na ushajijengea compromising culture! Kuna watu wanakaa na just a BF ila anamuhudumia kama mume just because its in her ku COMPROMISE!!!!!!!!!! Na kuna watu ni very UNGRATEFUL compromising aint just in their dictionary!
Sasa kama huku chini huna asili ya kujito kwa wenzio umri hauwezi kukupa hio nguvu vaaaaaaaap! Unless uamue kujifunza and you wont be hapy kuifanya! Utaifanya basi tu tofauti na Mama Terasa wazoefu wa miaka mingi!
Mimi sipendi mtu acompromise furaha yake ili awe na mimi for any reason! Nikihisi tu huyu mwenzangu kabakia kwa gratitude najikataa mwenyewe!!!!!!!!!! Ndo maana nasisitiza sana kupata mtu amabe mna share same vision n passion for things, na Mashallah mkawa na body chemistry hapo walau future inaingilika!
COMPROMISING INA NGUVU ENDAPO UNA FEELINGS KWA YULE MTU! Bila hivo utratraaa! Ndo kucompromise unamuoa mtu afu chakula cha usiku kristapen, ilhali furaha yako iwe pengine!
unazungumzia ku compomise kwa kuwa una feeling na mtu?
umewahi jiuliza hakuna simple answer watu wakiuliza 'what is love?'
hata huruma ni love pia take it from me
ukiona mtu anakuhurumia ujue pia kuna 'love between you two'
so feelings zinakuwepo ndo maana watu wanaweza 'ku compromise'
otherwise why bother?