Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

Debate: Bado nipo nipo sana...Mentor vs Lara 1

We Christine unasema tu; upewe gari ya kasi, jumba la haja, account ilotuna.... ukiangalia huna hata kitu mfukoni, utakataa kweli, just be real to yourself.

Mpnz Hivi ushafikiria muda wa kulala nae inakuwaje!?
Hapo ndo utata,lazima uwe na moyo mgumu....uwiiiii cjui nijitwike pombe niwe chakali ndo niingie nae huko rum
 
Last edited by a moderator:

Sasa dada huku si ndiyo ku judge the book by its cover lakini!? Why don't you take the time to know me?

Again,. hapo mwisho umeniacha solemba. I thought earlier on ulisema unaangalia mwanaume mwenye plan (smart) kwa sababu in real sense muda wa kuanza mahusiano yaletayo ndoa ni sometime after college. Now tell me utakuwa na assets za aina gani?

Hapo bado nikuhonge tena...

Hata akili zako zinaweza kuwa asset lol!!huwezi niambia nitaolewa na mwanaume nnaemzidi akili that must be insanity* alaf not all things you give a lady ni kuhonga sie wapenz si tunapeana zawadi??we ukimtoa date wataka alipe yeye??au kila mmoja ajilipie??love is all about giving and receiving...in short you share,the only thing we ladies we just expect we receive but in actual sense we all deserve kuzawadiana....

Hukunielewa nadhani...mm nachopinga kuweka pesa mbele ya relationship kama determining factor ya kudumu kwake.

So zawadi..dates...trips..u name them mimi kama mwanaume nitagharamia na ninafurahia kufanya hivyo.

Issue ni pale unaponipigia simu eti hani nitumie laki tano kuna kitu nataka kufanya!WTHHH??! Hujui benki zilipo au? Au kutumia kipochi manyoya chako ndo nishakuwa SACCOS tayari??!
 
Mpnz Hivi ushafikiria muda wa kulala nae inakuwaje!?
Hapo ndo utata,lazima uwe na moyo mgumu....uwiiiii cjui nijitwike pombe niwe chakali ndo niingie nae huko rum

Mnashindwa jambo basi nyie wadada?
 
Mpnz Hivi ushafikiria muda wa kulala nae inakuwaje!?
Hapo ndo utata,lazima uwe na moyo mgumu....uwiiiii cjui nijitwike pombe niwe chakali ndo niingie nae huko rum

Lazma utakunywa ili aibu iondoke.... nyie hamshindwi kitu.
 
Mentor elewa kwamba experience ndio mwalimu bora kuliko wote. Lara1 ameshikilia msimamo wa wadada wengi sana wa karne hii na msimamo huo sio kwamba walizaliwa nao ila wamejifunza kadiri wanavyokuwa. Wanaume wanaokutana nao, wanaofahamiana nao, wanaowaona na ndugu/marafiki au hata majirani ndio haswaa wamewafanya wajali kile ambacho wao wanaona kitawapunguzia maumivu pale itakapotokea mwanaume aliyempa nafasi ya kuwa nae amemuangusha kwa namna moja au nyingine.Yani badala ya kulia sana na kujutia yule aliyemtolea nje kwaajili jamaa na mwishowe jamaa kuoa mwanamke mwingine, atajifariji na kile ambacho alikipata akiwa na nae. Kama ni pesa, biashara, nyumba, usafiri n.k ataona angalau it wasn't all for nothing.

Kama mnataka mabadiliko, wewe na wakaka wengine anzeni kuwa watu ambao wanawake watataka kuwa na nyie bila kuwa na hofu ya nyie kuwaDISSAPOINT sana mpaka wafikirie kujiwekea insuarance kama sio assurance kuwa at the end of the day she won't be THE sour loser. Fanya wanaomzunguka yule ulonae wamuonee wivu, wamuonee raha na sio wamuonee huruma kwa kuwa naive, kujitoa kwa mtu asiye na shukrani au kugeuzwa tambara la deki. Fanya wale wanaomuangalia, hususani wadogo zake/marafiki zake waone kwamba kuna aina nyingine ya wanaume, wanaume walio reliable, wanaume walio faithful, wanaume wanaojali and so on. Mpe kile unachoweza (love, attention, support iwe financially au emotionally, msaada nyumbani) kadiri unavyoweza kwa roho moja bila malalamiko. Toa ili na wewe upokee. And ofcourse . . .acheni kutumia hiyo mishahara yenu yenye mipango mia kidogo kama chambo.

Lastly,kuingia kwenye ndoa takes more than ones mtazamo. Unaweza ukampata mwenye mtazamo unaotamani Lara1 angekuwa nao na bado ndoa yako ikawa kizungumkuti, na unaweza ukampata mwenye mtazamo sawa na wa Lara1 na ukajikuta unajiuliza ilikuwaje siku zote ulikuwa unapingana na kile kikufaacho.
 
Last edited by a moderator:
basi nipretend 'am not those'type of girl nikupikie free nikufulie free hamna hata kavocha weweeeeeeeeeee :love::love:
 
mkuu Mentor katika viumbe wa ajabu duniani basi wanaume wamo. mwanaume ukimpenda for real, he takes you for granted yaani hamna shukrani, bora wale wajanja wanaolenga direct kwenye pesa atleast hata akikuacha utakuwa umefaidika kitu ingawa mimi sio fan wa love/sex for money, ukiniacha naumia sana tena sana coz nikipenda napenda kweli. mtu unampenda kwa moyo wote humuombi hata mia lakini anakuona wakuja. hamfai kabisa....
 
Last edited by a moderator:
basi nipretend 'am not those'type of girl nikupikie free nikufulie free hamna hata kavocha weweeeeeeeeeee :love::love:

aha aha aha ahaaaaa..... we bac unamfaa mentor manake vocha haimshindi! Usije ukaomba laki 5 au gari au nyumba hivyo mentor ana allergy navyo kabisaa
 
Mentor elewa kwamba experience ndio mwalimu bora kuliko wote. Lara1 ameshikilia msimamo wa wadada wengi sana wa karne hii na msimamo huo sio kwamba walizaliwa nao ila wamejifunza kadiri wanavyokuwa. Wanaume wanaokutana nao, wanaofahamiana nao, wanaowaona na ndugu/marafiki au hata majirani ndio haswaa wamewafanya wajali kile ambacho wao wanaona kitawapunguzia maumivu pale itakapotokea mwanaume aliyempa nafasi ya kuwa nae amemuangusha kwa namna moja au nyingine.Yani badala ya kulia sana na kujutia yule aliyemtolea nje kwaajili jamaa na mwishowe jamaa kuoa mwanamke mwingine, atajifariji na kile ambacho alikipata akiwa na nae. Kama ni pesa, biashara, nyumba, usafiri n.k ataona angalau it wasn't all for nothing.

Kama mnataka mabadiliko, wewe na wakaka wengine anzeni kuwa watu ambao wanawake watataka kuwa na nyie bila kuwa na hofu ya nyie kuwaDISSAPOINT sana mpaka wafikirie kujiwekea insuarance kama sio assurance kuwa at the end of the day she won't be THE sour loser. Fanya wanaomzunguka yule ulonae wamuonee wivu, wamuonee raha na sio wamuonee huruma kwa kuwa naive, kujitoa kwa mtu asiye na shukrani au kugeuzwa tambara la deki. Fanya wale wanaomuangalia, hususani wadogo zake/marafiki zake waone kwamba kuna aina nyingine ya wanaume, wanaume walio reliable, wanaume walio faithful, wanaume wanaojali and so on. Mpe kile unachoweza (love, attention, support iwe financially au emotionally, msaada nyumbani) kadiri unavyoweza kwa roho moja bila malalamiko. Toa ili na wewe upokee. And ofcourse . . .acheni kutumia hiyo mishahara yenu yenye mipango mia kidogo kama chambo.

Lastly,kuingia kwenye ndoa takes more than ones mtazamo. Unaweza ukampata mwenye mtazamo unaotamani Lara1 angekuwa nao na bado ndoa yako ikawa kizungumkuti, na unaweza ukampata mwenye mtazamo sawa na wa Lara1 na ukajikuta unajiuliza ilikuwaje siku zote ulikuwa unapingana na kile kikufaacho.

Thus the truth.....like
 
Last edited by a moderator:
Ladies and gentlemen,

Nimekaa mentor nikafikiri nikatafakari hivi kwa nini bado sijaoa..infact kwanini hata plans za kuoa sina?

Ni jana tu nimetoka kumtumia classmate wangu mchango wa harusi yake October. December 14[SUP]th[/SUP] another of my classmates anaoa. Na sote ni age mates.

Theeen nikakutana na thread ya lara 1 nikagundua she has been one of the reasons I, Mentor, am still single n not ready to mingle.

Please lara 1 popote ulipo I ask for your presence dakika chache tu za jioni hii. I know you are still single (by the way, I am too ;-) ) but nataka uje hapa unielezee kwa nini mmekua a pain in the a.s.s to us single young men?

Here is why I put the blame on you…

  1. You put almost zero value to sex mpaka inatushangaza sisi wanaume. It has been generally understood kuwa wanaume ndio wanachukulia sex for pleasure zaidi (not emotional) lakini of recently, lara 1 (and co.) have made it clear kuwa you just have sex too for pleasure. Sijui ndo revenge au? Nakumbuka na kamsemo chenu cha, “Virginity is not a symbol of dignity but rather lack of opportunity.” WTHHH (what the triple hell)???!

Kwa hiyo siku hizi ukimfuata lara 1 in a nice guy approach kuwa na nia ya kutaka kumfahamu zaidi yeye anakuchulia kama unataka papuchi na in return anakufanya a new ATM in town…bringing me to my second point

  1. Mmezidi kutuchuna damnit! Yani mwanaume akikufuata tu ushamuona kama business opportunity. Listen, ungekuwa mwanafunzi ningeelewa but no..sote tunafanya kazi. Ila unalitumia gari langu zaidi ya mimi mwenyewe. Una matumizi kuliko mimi ninayechunwa! Not even being considerate? Kuna some things a man’s got to provide tena early in a relationship kuonesha tu kuwa committed. Ila akifanya yote hayo (dates/outings/picnics, salon, birthdays, random gifts..) bado unataka akupe na hela on top..who is he, ur dad??

Naomba kwa sasa niachie hapa… lara 1 where art thou..

Natanguliza masikitiko, Mentor.

Mentor acha ubinafsi, inawezekana una tongoza ya kibishoo, kutumia kazi uliyonayo, gari, nyumba etc. Pia wewe inawezekana ni yule unayependa class fulani,mtoto wa waziri, mbunge, meneja, vitambi. Kuwa wa kawaida utakutana na wale wasio na majidai.
sik wanawake wote tunataka hela, tunahitaji wanaume wenye uume unaosimama vizuri na kutumika ipasavyo, siyo pesa, kazi nzuri wala magari na nyumba.
 
Kwa huo mtazamo hasi dhidi ya madada,endelea kuwepo wepo tu!
Ennie, hujanisoma vyema!??

to see is to bealive Mentor

Hujaona nini sasa!??

Mentor acha ubinafsi, inawezekana una tongoza ya kibishoo, kutumia kazi uliyonayo, gari, nyumba etc. Pia wewe inawezekana ni yule unayependa class fulani,mtoto wa waziri, mbunge, meneja, vitambi. Kuwa wa kawaida utakutana na wale wasio na majidai.
sik wanawake wote tunataka hela, tunahitaji wanaume wenye uume unaosimama vizuri na kutumika ipasavyo, siyo pesa, kazi nzuri wala magari na nyumba.
Caroline Danzi, sijui ni mazingira nnayoishi ama ni nini...u mmoja wa watafutao hapo bold? My PM is coming...
 
Last edited by a moderator:
FACT, TRUTH, AND SENSE ARE TIMELESS!!!!!!!!!!!!! Kama kitu ni kati ya hivo hapo, They will always stand the test of time!!!!!!!!!

So jaribu kila mda kabla hujaamua angali je maamuzi yako yana hivo vitu 3!!!!!!!!????? Kama vipo even after 30 YEARS of time given the same circumstances you will make the same decision!!!!!!!!!!

That is my FORMULAR!!!!!!!!!

What fact, truth and sense??!!! Your fact? Your truth and your sense?!!!!

Anyway like I said, it is a matter of time.
 
What fact, truth and sense??!!! Your fact? Your truth and your sense?!!!!

Anyway like I said, it is a matter of time.

IT AINT ABOUT TIME! AND WE BOTH KNOW IT!!!!!!!!!! Wewe huwezi nambia mtu above 20, zee zima likishindwa kureason ujue tu reasoning capacity yake ni ndogo! Baaaaaaaaaass! Wala hakuna cha umri!
 
Back
Top Bottom