Refer: BOLD. Clearly you are either not on her side ama hujui what she stands for!
But then again,
Hilo uliloongelea ni tatizo la vijana wengi siku hizi (and it's been precipitated by the ladies' attitude). Kwamba wadada wote wanataka mwanaume aliyekamilika yani awe na nyumba magari mawili (ili moja ampe [amhonge?] yeye) na pesa za ziada za kumpa tu kwa trivial matumizi (aint judging).
Kwa hiyo unakutana na mchaga (najua umeogopa kutaja) aliyetafuta pesa zake akija kwako ni kukuhonga kidogo akumege asepe to the next victim.
But my cry is this, can't we go back to the old times? the days of my father and uncles? The days when two people built and grew together? Such state ndipo watu wataheshimiana.
:smile-big::smile-big:
unacheka sababu una jiko ndani wenzio wanatafuta rupia here on earth while its abandant in Mars planet
Mentor kuogelea nako kunahitaji uangalifu sana ogelea kwenye kina unachokiweza baaas! Trust me mapenzi its like gambling some people wins their life by reading peoples faces knowing what their cards were by the way they held their eyes,so dear brother if u gona play this game of love u got 2 learn to play it right.from there u have to know
when to hold them
know when to fold them,
know when to walk away,
know when to run,
sasa utakuwa umenielewa there ar good guys out there and may be ua the one but but we read the way u held ua eyes.at last utampata tu kila la kheri
ika pesa ndio kila kitu!!!
Examples of money doing a sister proud!!!!!!!!!! Like that X BF marries some other woman but bough you a car, and you will keep the car! THATS MONEY DOING YOU PROUD BABY!!!!!!!!!
By sleeping with any man that hasnt paid your your bride price YOU ARE ALREADY A BI.TCH!!! How Bit.cher can it get? To charge for it or be generous about it is a choice you gotta make to easy your concious so as you can sleep at night with your sorry self! By convising your self charging is what makes you a slut, is your head playing tricks with ya heart! I got news for us (Me included) The Action is what removes the sacredness! MONEY GOT NOTHING TO DO WITH IT!!!!!!!! And this is for both SEXES!!!!!!!!!! Using money as the cause for being unsacred is just onother one of mans tricks to enjoy FREE SEX! DONT FALL FOR IT!!!!!!!!! Unmarried sex is unsacred not the money!!!!!
OFCOURSE DEPRECIATION IS OBVIOUS!!!!!!!!!1 A sister cant be 20 forever! And she isnt getting any younger either!!!!!!!!!! f you dont like COMPENSATING then consider it INSURANCE AGAINST UNFORESEEN BACKSTABBING NATURE OF YOUR KIND!!!!!! Like i said we wont be 20 forever! We gotta act FAST!!!!!!!! And about COMPENSATION FOR WHAT Well try 1. When you suddenly becomes the OTHER WOMAN after he marries some one else! 2. You become THE UGLY X !!!! You should have prepared your self for these times! Or else your sory A.ss will be CRUCIFIED all over society and no body (even not me) will be there for you! What a pity once more! LISEMWALO LIPO! KAMA HALIPO LAJA! BORA UWAZE UTAACHWA AFU USIACHWE KULIKO UJIBWETEKE AFU UTUPIWE VIRAGO NJE!!!!!! FAILING TO PLAN IS PLANNING TO FAIL!!!!!!!!
OFCOURSE ITS RIGHTFULLY MINE! For the time being ofcourse since i still have control of your 2 heads! The Up and mostly the Down! I DONT CARE ABT WHEN YOU ARE GONE!!!!!!!! I AM TOO BUSY MAKING SURE INCASE YOU GO MOST OF THAT ATM REMAINS HERE WITH ME, BESIDES ITS TRUE KEEPER!!!!!!!!!LOL! Afterall Who is sure who will be leaving who? Whom the gods seek to destory will remain! Its a game of chance but i aint taking my chances with your ATM at all! As long as i control your down head that ATM belongs to US!!!!!!! And if you do go as expected then ILL JUST COUNT YOUR LOSSES AND MOVE TO A NEW VENTURE!!!!!!!!!! IT IS ALL FAIR IN LOVE AND WAR !!!!!!!!!! WITH MEN NEVER RELAX!!!
Mentor kuogelea nako kunahitaji uangalifu sana ogelea kwenye kina unachokiweza baaas! Trust me mapenzi its like gambling some people wins their life by reading peoples faces knowing what their cards were by the way they held their eyes,so dear brother if u gona play this game of love u got 2 learn to play it right.from there u have to know
when to hold them
know when to fold them,
know when to walk away,
know when to run,
sasa utakuwa umenielewa there ar good guys out there and may be ua the one but but we read the way u held ua eyes.at last utampata tu kila la kheri ika pesa ndio kila kitu!!!
na kwa nini twende nyuma na wakati hata video iko digitali? wewe vp?lara1 oyeee:wave:
Jamani, NITARUDI BDAE KIDOGO! Mpambano Half Time!!!!!!!!!!! TEAM MONEY MONGER OYEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!
Halafu Eiyer kipi kikuchekeshacho??
kwi kwi kwi anawaza ampeleke kule rombo kwa baba yake yeye arudi town akati mwenzie kazaliwa hapo kinondoni katikati ya madanguro ambapo anadai ukahaba ni professional kama uhasibu hahahhahaha huwezi mmovezisha mamndenyi hahah
Daaaaaamn!I was in a long relation with one cute lady,the one i will regret for the rest of my life for not making her my wife. ( Good reasons to please others and hurt myself were considered here).
Then,after we distanced each other,her being out of the country and i getting burnt by the angry Bongo Sun, i met this b'ful lady kidogo.
I only used to hear from people kwamba there are ladies like this,money is the only language they understand.And these movies they watch,so stupid,finally she says,...we are just sex partners. WTF. How wastful.
Sijawahi kuchunwa,she was the first to do so. I swear,she is the last on that aspect.
Na ni kama alinifanya mjinga hivi,i responded to everything she wanted. Loh,jua lilipo waka i was terribly used.
Time to find ways to make it back to my lady,though najua ni kama kukausha bahari. Nimuoe nani? Hawapo wa kuolewa,wanaotaka kuolewa wenyewe wako desperate mno,wanataka hata kesho,hao ni kama bomu. Wakimbie vibaya sana.
Hapa kuna jambo nilikuwa nalitafakari
Unajua hizi vurugu za kutafuta wachumba ambao tunatarajia wawe wake zetu zina mambo sana
Mimi binafsi nimeamua kuwa naangalia tu
Siku nikipata wa kuoa ndipo niaoa
Kuna dogo mmoja yupo chuo huwa ananishangaa eti umri umeenda sioi
Nikamuuliza kwani kuna umri mtu akifika huzuiwa kuoa?
Akasema hapana
Nikamuuliza kwani wasiwasi wake nini
Akasema kwa umri wako bro unatakiwa uwe na mke,nikamuuliza unasema natakiwa,na nani?
Hakua na jibu,nikamwambia masuala haya sio kama vile watu wanayachukulia
Ni mambo ya kufikia wakati ambao utaona kuwa unahitaji kufanya hivyo na sio woga wa jamii inakuonaje
Nina ka uzoefu flan hivi ka kijinga sana:
Niliamua wakati fulani kukaa bila mahusiano kwa miaka mi 3,watu walianza ksema eti ninamatatizo ya kiume,sikujali nilikaa mpaka nilipoamua kuwa na mpenzi ndipo walipoanza kusema tena eti nilikuwa ninawachukia wanawake,bahati mbaya yule mpenzi uhusiano wetu ulifikia ukomo kiajabuajabu yaani mpaka leo ukiniuliza ni kitu gani kilifanya tuachane ni kitendawili
Tngu nimeachana nae ni mwaka sasa na sina mpenzi[tafadhali usiniulize kwanini]
Mkuu Mentor wanawake ni viumbe wa aina yake!!!!!!
,,,,WeeeeeeeeeeeeeeH ILIKUWA zamani sikuhizi tunajuwa kugegeda!!!!
'Team money Monger' .... vs 'Team True love and growing together'.....
...mi nasoma tu leo,sitii neno hapa!!
..ila nimecheka sanaaaaaa,maana kuna coment zinachekesha
Eli79 ndo dada zetu hao. Mpaka kufikia kusema being single is better than getting u some nice lady to think of settling with...inasikitisha.Daaaaaamn!
Reading such testimonies gets me nuts! what the heck, it comes a time when one gets so confused with being committed to somebody......
Again, being single isn't ideal, it's so boring....
...hivo hivo tutajichanganya
Udhamini ruksa mkuu....Naruhusiwa kutupiamo matangazo ya biashara?
Hivi daaaah wewe ni mchagga kweli au? mmakonde au mzaramo? maaana unaonekana una maneno yanajaa begi zima yani daaaahhh....mie s-i-e-le-wiiiiiiyyyyy.....btw ni swali la kizushi tu hilo.....!!!WELL! WELL! WELL! SO IN SIMPLE LANGUAGE YOU WANT EVERYTHING TO YOURSELVES AND AT THE SAME TIME YOU WANT NOTHING!!!!!!!!! Mmmmmmmmmmmmh! YOU SHAMELESS AND SELFISH SOULS !!!!!!!!!!! What a pity!
Its not like I life (beyond loving) taking your money! BUT I GOT TO DO IT EITHER WAY!!!!!!!!! Dont judge me! Atleast Not Yet!!!!!!
1. Money will always do a sister PROUD but a Man! Psheeeeeeeeeew!!!!!! He is a ticking bomb! Sisters dont be naive a man will always shame you! Either before or after marriage! ITS JUST THE MATTER OF WHEN!!!!!!!! But the Shoes, purses, dresses that you bought WILL ALWAYS DO A SISTER JUSTICE BY GIVING HER A CHANCE TO GET A BETTER CATCH THAN YOU OFCAUSE! Though it was your money that bought her NEW IMAGE!
2.Since you arent trustworthy then a sister gotta INSURE HER FUTURE against any of your unforeseen BACKSTABBING!!! and compensate her self quickly while she can FOR THE TIME, POTENTIALS, and OPPORTUNITY COSTS for the time she is spending with ya A.ss !!!!!!!!!!! You wouldnt give her a parting fund or something to compensate her for her efforts!!!!!! LOL! Sister gotta act quick and fast! Or else its HER BAD!!!!!!!!!
3. And those few of us sisters whom i consider TOTALY STU.PID if not INS.ANE who do your kind, the heavens and ancestors proud and willingly enslave themselves below you, like the 1920's forsaking all the efforts and lives wasted by our fellow sisters to ensure a woman can enjoy what she can today for a mare excuse of being IN LOVE!!!!!!! What nonsense and ---- is that? IN LOVE!!!!!!!!! Giving their all and putting their future in you devils hands! Hahaha! Pathetic! But YOU NEVER EVER DO THOSE SISTERS PROUD!!!!!!!!!!" Hata siamini wema wote, kanifanyia hivi!" Bi,tch Pleaseeeeeee! WE TOLD YOU SO!!!!!! Where were you while we were insuring our a.sses and compensating ourselves!!!!! If you did these sisters proud maybe! MAYBE! we would have have reconsidered! For the time being Ill stick to taking what is rightfully mine while i can at the right time.
And its not like you men dont benefit from the money you give us!!!!!! If you INVEST in me, then i become one hell of a hot babe!!!!! Serious Staff! Elmagnifico!!!!!!!!!!!! Talk of the Town! GUESS WHO GETS PRAISED AND ENJOYS THE ATTENTION!!!!!!!!!!! If you dont nakuwa natia aibu, ndo hutaki tuongozane kabisaaa! Tukutane guest flani room no 78. Nikukute umevua nguo kabisaa just incase nisije ona jinsi ilivopauka, nikatumbukia nyongo kujiona umeneja wote huu nachukua dem cheap kama wewe! LOLEST! Do your women good banaaa, wewe ule ndo utamu wako! Kama huutunzi basi tena!!!!!!!
LAST BUT NOT LEAST SOMETHING BEAUTIFUL IS SOMETHING EXPENSIVEEE!!!!!!!!!!!!!!! Rate your self according to ya ATM!!!!!!!!!!!!!!