Sina maana hiyoooo...hata ningechoka ni afadhali nibaki bila but u strike me as one of the very few best who are left naogopa utanpotea!!!
WHAT DO YOU MEN REALLY WANT????????????????
1. Mkipewa kiurahisi rahisi basi huyo dada malayaa, anagawa kirahisi, hana soni, hamtaki vya kunyonga mmezoea vya kuchinja??????????
2. Mkinyimwa, the a sister aint decent either! She is such a cold insesitive biach!!!!!!!!!
3. Mtu akiwaganda kama Luba, mnamuona kero!
4. Akiwaignore then she is mean, for not giving you just a little ATTENTION????????/
5. Mtu akiwachuna mavaccation na mahalat ya kimujini basi KUPE huyo hafai!
6. Akishinda ndani na mkaa kukupikia, akuite tu uje ule, MSHAMBA! She is stressing you out, you aint in the 1960's no more!
7. Akikuomba hela MCHUNAJI
8.Asipokuomba ana MIJIBABA inamuwezesha, anaishije wakati humuwezeshi????/
LIKE SERIOUSLY WHAT DO YOU MEN WANT OR EXPECT??????????/
I DONT KNOW ABOUT OTHERS BUT I AM NO MAN'S Biach, Easy Catch, Lazy hunt, Cheap material ET AL!!!!!!!
PROUDLY A MONEY MONGER!!!!!!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
YOU CAN NEVER SATISFY A MAN! I HAVE GIVEN UP THE PURSUIT FOR FULFILLING MEN'S EGOS!!!!! Hands Down!
Dada huoni hata na makiss nshapewa hapo juu...labda aje aseme mwenyewe!!!
Naruhusiwa kutupiamo matangazo ya biashara?
Naruhusiwa kutupiamo matangazo ya biashara?
Hahahaaaaaaaaa! I think compromising inategemean na wewe zaidi ulivo nafsini mwako! Age has a little to do with it! Unaweza kuwa below 25 na ushajijengea compromising culture! Kuna watu wanakaa na just a BF ila anamuhudumia kama mume just because its in her ku COMPROMISE!!!!!!!!!! Na kuna watu ni very UNGRATEFUL compromising aint just in their dictionary!
Sasa kama huku chini huna asili ya kujito kwa wenzio umri hauwezi kukupa hio nguvu vaaaaaaaap! Unless uamue kujifunza and you wont be hapy kuifanya! Utaifanya basi tu tofauti na Mama Terasa wazoefu wa miaka mingi!
Mimi sipendi mtu acompromise furaha yake ili awe na mimi for any reason! Nikihisi tu huyu mwenzangu kabakia kwa gratitude najikataa mwenyewe!!!!!!!!!! Ndo maana nasisitiza sana kupata mtu amabe mna share same vision n passion for things, na Mashallah mkawa na body chemistry hapo walau future inaingilika!
COMPROMISING INA NGUVU ENDAPO UNA FEELINGS KWA YULE MTU! Bila hivo utratraaa! Ndo kucompromise unamuoa mtu afu chakula cha usiku kristapen, ilhali furaha yako iwe pengine!