Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Hahahaaa
King Kong III umenichekesha aisee Hapo kwenye
Bold naomba ujiandae kutoa ushahidi maana ugomvi wake lol
Anaweza akatolewa manundu mengine.
Last edited by a moderator:
Hahahaaa
King Kong III umenichekesha aisee Hapo kwenye
Bold naomba ujiandae kutoa ushahidi maana ugomvi wake lol
wabongo wanaongozo kwa fikra zingine, mkubwa King Kong III tiririka basi hizo maana nyingineHaaaaa Hapana Boflo nilikuwa natirika kivina ila sina maana hyo nyingine...
tulivyopishana that morning, niligeukajeeeeeee?? nusu nishushwe lol! mzima wewe?Mh! aya maswali mengine, yananifanya nijiulize kama wewe sio mteja wake mwingine!!!!!:cheer2:
mmmh! Makubwa!
Mh! aya maswali mengine, yananifanya nijiulize kama wewe sio mteja wake mwingine!!!!!:cheer2:
tulivyopishana that morning, niligeukajeeeeeee?? nusu nishushwe lol! mzima wewe?
Hahahah.. u r not alone!!!
Alafu da cacico, yule ndo mista!??
Na lile ndo pozi gani sasa...kha, au mlimalizia morning glory kwenye foleni!??
tulivyopishana that morning, niligeukajeeeeeee?? nusu nishushwe lol! mzima wewe?
Nasubiri majibu....
Nasubiri majibu....
hahaha mkuu sijui nimekukurupua wapi....ina maana tokea wakati ule bado hujapewa jibu tu, Preta kweli ana roho mbaya( shhh! akisikia haya maneno mbona hapatakalika)
ha ha haaah!! Na amepotezea kweli.....:becky:najua atapotezea tu hahaha...
Mentor na leo umekuja kivingine,
hapa ni kutupiana madongo na si kivingine.
Ngoja na mimi nipite kivingine
Maana uzi huu umekaa kivingine
Kama hujui maana yake kivingine
Utaachwa kwenye mataa bila maana kivingine King Kong III leo nae kaja kivingine
ha ha haaah!! Mkuu nimeamka toka usingizini nakutana na hizi tuhuma, nasubiri jibu......labda Preta akija atanipa jibu.
Afu wee King kong nyuzi zako za kushonea meli
Toka ngarusi hadi kivingine