DearJF na Members wengine!!!

DearJF na Members wengine!!!

nimewamiss mawifi zangu Kongosho,Sweetlady na wanajf wengine, napenda kuwa nanyi ila nakuwa tight muda mwingine,. Hope mko poa na zile biashara zingine, wote naowadai nitonye , bishanga na yule mwingine mnilipe kwa pesa na si vingine
 
Kabakabana na Mentor mumewazidi wengine, mumemzidi mpaka king kong pengine, sikujua kama muna vipaji vingine, tupeni mistari mingine, tutawapeleka studio pengine, nisijemsahau mtu mwingine, watu8 ni mashine nyingine, anatoa vina kama fid q mwingine, hivi wadau hakuna mahala kungine, tukutane tuchane na mistari mingine, pamoja sana ngoja niende jukwaa jingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom