Dear Mama, See you later!

Dear Mama, See you later!

HAjakaa km rais kbs ๐Ÿค” amekaaa km mama wakulea watoto wasiozidi wannee tu ๐Ÿ˜‚
Ni dalili ya mfumo mibovu tuliyo nayo --- raisi kua na mamlaka mengi.

Na swali lingine wasaidizi wengine na wstumishi wengine wanafanya kazi gani?

Maana haiwezi tumkatae SSH alafu baadae raisi mwingine circle ya mawaziri ile ile - watanzania hapa tunapigwa
 
Ukweli mchungu kwa Wana CCM

Kwanini Samia anachukiwa Sana na wanachi masikini, Na wenye kipato Cha Kati?

Ambao population yao ni zaidi ya milioni 60 nchini? Wastani wa wapiga kura 30milion

Sababu ni kwamba Samia baada ya kuingia madarakani alitaka kuwatumika na watu fulani fulani na sio umma.

Akalegeza Kodi matajiri wakakenua meno ndio mwanzo wa kuanza kutumika

Matokeo yake maafisa wa TRA wakaanza kushirikiana na wafanyabiashara kupora pesa za umma na kujineemesha kupitia Kodi.

Hapo hapo kila mtu akaanza kula kwa urefu wa kamba yake

Nchi ikawa failed state, Shamba la Bibi, kila mtu anajichotea tu.

Wananchi walivyoanza kupaza sauti ndio akashutuka too late!!

Genge limeshamzunguka hawezi kulishughulikia akaanza kurudisha watu wahuni serikalini maana washauri wake ndio waaribifu wake.

Akatumikia wezi, Wasanii, machawa na wastaafu wasio waadilifu.

Watu wakateka system yake kwa sababu ndege wafananao uruka pamoja

Ufisadi ukatamalaki, watu walivyoanza kuhoji ndio akapewa wazo la kuwateka.

Sasa wamemtumia wee na wanatafuta na wanaenda kumbwaga.

Ushauri ukiwa Rais wa nchi simama na umma!! Simama na wanachi wa kipato cha chini matajili uwa wanaangalia maslahi yao tu!

Sasahivi wapo wananusa nani anakuja ili waanze kuwekeza kwa sababu wanajua Samia kashapoteza system yake ya uongozi.

Dear Mama see you later.
Screenshot_20250613-120827~2.png
 
Ni dalili ya mfumo mibovu tuliyo nayo --- raisi kua na mamlaka mengi.

Na swali lingine wasaidizi wengine na wstumishi wengine wanafanya kazi gani?

Maana haiwezi tumkatae SSH alafu baadae raisi mwingine circle ya mawaziri ile ile - watanzania hapa tunapigwa
Kabisa watu kama kina Bashe, Musukuma na wengineo ,miaka nenda rudi hakuna jipya
 
Ni dalili ya mfumo mibovu tuliyo nayo --- raisi kua na mamlaka mengi.

Na swali lingine wasaidizi wengine na wstumishi wengine wanafanya kazi gani?

Maana haiwezi tumkatae SSH alafu baadae raisi mwingine circle ya mawaziri ile ile - watanzania hapa tunapigwa
Kwani unadhani inaweza ikatokea tofauti ???!
Utabadili chupa tu lakini mvinyo ๐Ÿ˜ณ ! Huwezi ๐Ÿ™„๐Ÿคฃ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Back
Top Bottom