Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 337
- 1,945
Ukweli mchungu kwa Wana CCM
Kwanini Samia anachukiwa Sana na wanachi masikini, Na wenye kipato Cha Kati?
Ambao population yao ni zaidi ya milioni 60 nchini? Wastani wa wapiga kura 30milion.
Sababu ni kwamba Samia baada ya kuingia madarakani alitaka kutumika na watu fulani fulani na sio umma.
Akalegeza Kodi matajiri wakakenua meno ndio mwanzo wa kuanza kutumika.
Matokeo yake maafisa wa TRA wakaanza kushirikiana na wafanyabiashara wakubwa kupora pesa za umma na kujineemesha kupitia Kodi.
Hapo hapo kila mtu akaanza kula kwa urefu wa kamba yake
Nchi ikawa failed state, Shamba la Bibi, kila mtu anajichotea tu.
Wananchi walivyoanza kupaza sauti ndio akashutuka too late!!
Genge limeshamzunguka hawezi kulishughulikia akaanza kurudisha watu wahuni serikalini maana washauri wake ndio waaribifu wake.
Akatumikia wezi, Wasanii, machawa na wastaafu wasio waadilifu.
Watu wakateka system yake kwa sababu ndege wafananao uruka pamoja
Ufisadi ukatamalaki, watu walivyoanza kuhoji ndio akapewa wazo la kuwateka ili nchi inyamaze atawale kwa ulaini kikamlamba anavyoteka ndio wanavyoongezeka wakosoaji.
Sasa wamemtumia wee na wamemchoka na wanaenda kumbwaga.
Ushauri ukiwa Rais wa nchi simama na umma!! Simama na wanachi wa kipato cha chini matajiri uwa wanaangalia maslahi yao tu!
Sasahivi wapo wananusa nani anakuja ili waanze kuwekeza kwa sababu wanajua Samia kashapoteza system yake ya uongozi.
Dear Mama see you later.