Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
kumbe huna data!Rostam anasema kwamba ameng'atuka BAADA ya NAPE na CHILIGATI ambao ni WAKRISTO Kumwita yeye ROSTAM (Ambaye ni Mwislam) GAMBA KUU HATARI KWA MUSTAKABALI WA CCM
NINI MSIMAMO WAKO?
Makamanda wengine wa CCM wako JF hawa ni Pamoja na Wewe FF, Kishongo, MS, Rejao, Ritz, Mwita25(ambaye ameongoka na kuikana CCM) hapa JF.
It's been estimated that one out of every two hundred women
is born with an extra nipple.
Nadhani ff wewe ni moja kati ya hao mia2.mana ni mbishi,afu unaonekana ni mfupi kama mfuko wa cement!
umemsahau mtetezi wa Riz1 na J.Makamba, anaitwa Radhia Ally
Rostam ni handsome - nukuu kutoka kwa FF
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
Mvulie basi tujue moja.ila hawezi kukula mana umezeeka mean wewe ni kikongwe,na unangozi yenye makunyanzi.utaishia kumsifia tu.
FF tunasubiri majibu bwana mkubwa acha kuleta taarab hapa!
Ritz hafichi Hisia zake inaonyesha yupo CCM kwasasa kwasababu Rais kikwete ni ustaadh/maalim/alhaj.... lakini hataki Chadema kwasababu kuna Slaa ambaye siyo Padri bali amewahi kuwa.Na nyie Pro-CDM JF Mkijibu hili swali naamia CDM..
Kwa nini mnataka Padre Slaa, awe rais wa Tanzania?
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
Mara nyingi kakibanwa kanatafuta njia ya kutokea kajinga haka, kuna ugumu gani kujibu mtu akisema ana maswali na akakuuliza swali. Kapotezeeni hakana majibuKwanza jipange kwa kujuwa unachokiuliza, lakini tutaanza kwa kukufunda taratibu usiwe na shaka, ili siku nyingine ukiuliza swali au maswali uelewe tofauti yake, haya anza kwa kuuliza huku ukiwa umejipanga vizuri ili ueleweke.
Mara nyingi kakibanwa kanatafuta njia ya kutokea kajinga haka, kuna ugumu gani kujibu mtu akisema ana maswali na akakuuliza swali. Kapotezeeni hakana majibu
Unamuogopa Nape?
"beauty is in eyes of beholders"duh,unanchekesha!!
Hivi wewe @#$%@#^#^ unajua maana ya wakuja? Kwa mimi mtu wa Mwanza hapa Dar ni wakuja, kwa Kikwete wa Bagamoyo hapa Dar ni wakuja na FaizaFox na Tempolale hapa JF ni wakuja.Hapo nilipokuwekea rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya lugha yetu tamu ya Kiswahili, ungeandika "anaandika" tosha kabisa bila hiyo "ga", usingejulikana kuwa ni wakuja.
Sasa nimegundua FaizaFox ni mwanamke wa namna gani, ngoja nimuweke kwenye ignore list ili nisiweze kuona ushuzi huu, unajua hawa ndiyo waliomchagua Kikwete kwa kigezo kwamba ni Handsome hivyo atapendeza kwenye Noti zetu!!!!!! Hii mijitu bwana ndiyo maana wajanja wame-Capitalize wakaandika kwenye misahafu yao ili waweze kuyaoa mpaka minne kutegemeana na hamu yako.Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
Sasa nimegundua FaizaFox ni mwanamke wa namna gani, ngoja nimuweke kwenye ignore list ili nisiweze kuona ushuzi huu, unajua hawa ndiyo waliomchagua Kikwete kwa kigezo kwamba ni Handsome hivyo atapendeza kwenye Noti zetu!!!!!! Hii mijitu bwana ndiyo maana wajanja wame-Capitalize wakaandika kwenye misahafu yao ili waweze kuyaoa mpaka minne kutegemeana na hamu yako.