TUJIKUMBUSHE AHADI ZA JAKAYA MRISHO KIKWETE 2010/2015. 1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka
mikoa ya Kanda ya ziwa- Nzega, Tabora 2. Mkoa
wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini 3.
Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga 4.
Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa
Shinyanga (SHIRECU) -Shinyanga 5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma 6. Wakulima
kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini 7.
Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo,
Dodoma 8. Wananchi kutoondolewa kwenye
Ranchi ya Misenyi - Kagera 9. Kujenga Uwanja wa
Ndege Misenyi - Kagera 10. KupanuaUwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini 11. Kujengauwanja
wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini 12.
Mtukulakupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoaya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na
Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa
yaumeme - Kagera 14. KuimarishaTakukuru kwa miaka mitatu - Kagera 15. Hukumukwa
waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya 16.
Kununuameli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzishabenki ndogondogo kwa ajili ya
wajasiriamali 18. Serikalikuvisaidia vyama vya
ushirika - Mwanza 19. Kuimarishausalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi
maalum
chenyevifaa kupambana na wahalifu - Mwanza 20.
Wilayaya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari
mwakani - Geita 21. Kulindamuungano kwa nguvu
zote - Pemba 22. Kuwajengeanyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro 23. Kununuameli
mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini 24.
Kujengabandari Kasanga – Rukwa 25.
Kumalizatatizo la walimu miaka mitano ijayo -
Songea 26. Kufufuamgodi wa makaa ya mawe
Kiwira - Mbeya 27. Kuzuiahatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga 28. Kununuabajaji 400
kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini -
Iringa 29. Kujengabarabara yenye kiwango cha
lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio
nakuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar
es salaam - Same mkoani Kilimanjaro 30. Kumalizatatizo la maji katika wilaya ya Same - Same
Mjini 31. Kuboreshabarabara za Igunga - Tabora 32.
Kusambazawalimu 16,000 katika shule za
sekondari zenye upungufu makubwa wa
walimu -Kisesa Magu 33. Kununuavyandarua viwili
kwa kila kaya - Mbeya Mjini 34. Kuzipandishahadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili
kuipunguzia
mzigoHospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) -
Hydom Manyara 35. Kulindaamani nchini kwa
kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa -
Musoma 36. Kulindahaki za walemavu - Makete 37. Kujengabaabara ya Njombe - Makete kwa kiwango
cha lami,urefu wa kilomita 109 -
Iringamjini 38. Kujengabarabara Musoma – Mto wa
Mbu Arusha - Arusha 39. Kuanzishajimbo la
Ulyankulu- Shinyanga Mjini 40. Kujengabarabara ya
lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora 41. Kukarabatibarabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboreshabarabara ya Handeni, Kondoa, mpaka
Singida - Dodoma 43. Kuwafidiawanakijiji ng'ombe
waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 -
Longido 44. Vijijivyote vilivyoko kilomita 15
kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji
waZiwa Victoria - Shinyanga-Kahama
kuunganishiwa maji - Shinyanga 45. Tatizola
umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu
mkoani Arusha – Arusha mjini 46.
Kukopeshawavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma 47. Kuwapatiamaji wakazi wa
Wilaya ya Longido - Longido 48. Kujengabarabara
ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya
Seregenti –
Ngorongoro 49. Utekelezajiwa mpango wa
maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na
kutunzamifugo yao vizuri - Mbulu mkoani
Manyara 50. Kusambazamaji nchi nzima - Babati
vijijini 51. Kusambazaumeme, utoaji wa huduma za
afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji
nautoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini 52. Kuongezamara tatu
idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya
pembejeo za
kilimo kwamfumo wa vocha - Iringa 53.
KuhakikishaIsimani inapata maji ya uhakika -
Iringa 54. Kuiwekealami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo
ndiyohifadhi kubwa kuliko zote Tanzania -
Iringa 55. Kulindausalama wa wananchi kwa
ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomezamalaria 2015 - Bunda, mkoa wa
Mara 57. Kuwapawanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa 58. Ahadikuisadia Zanzibar kuendeleza
miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti
MjiniZanzibar 59. Kuipandishahadhi hospitali ya
Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa -
Kibandamaiti
mjiniZanzibar 60. KuisaidiaZanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti 61.
Serikalikujenga upya bandari ya Mbambabay -
Ruvuma 62. Ununuziwa Meli mpya yenye uwezo
wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma 63.
kufufuachama kikuu cha ushirika cha wakulima
wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma 64. AhadiRais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada
Tanzania – Ruvuma 65. Ahadihakutakuwa na
umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es
Salaam 66. Mtwarakuwa mji wa Viwanda –
Mtwara 67. Ahadiujenzi wa kwanda cha dawa ya
kuua viluilui vya mbu - Kibaha 68. Hospitaliya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha 69. Halmashauriya
manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la
viwanda - Kibaha