Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Ajabu ni pale Jina la Muhuni linapotokea kwenye gazeti linalowakusanyia zile buku 7, wakati wewe hata siku moja hujawahi kuonekana!Mange ni mhuni tu
Ajabu ni pale Jina la Muhuni linapotokea kwenye gazeti linalowakusanyia zile buku 7, wakati wewe hata siku moja hujawahi kuonekana!Mange ni mhuni tu
Kwani kutukana ni kosa kubwa sana?! Sikujua kama ni kubwa kuzidi kummiminia mtu risasi 32 !!!Huyo ni msaliti km wasaliti wengine.Dawa ya msaliti duniani kote-ni moja tu!
Ni heri kufanya anachofanya hata kama atazikwa huko kuliko kuwa mjinga mjinga na kusubiri kuzikwa na ndugu zako.Heheheh Mange bana ndugu zake atawazika kwa whatsapp
Kumfuata! Wapi? Ujuaji wako kwa wengine ujingaAeleze ukweli wakati wanakua yuko mahututi? Je wameshamfata lisu kumchukua maelezo?
♂️naenda zimbobo.
Malofa, wapumbavu hayo sio matusi?Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Polisi wanatuzuga, mhalifu wa Kitanzania anayekimbilia Uingereza anahesabika kuwa mhalifu na anaweza kurejeshwa nchini. Tatizo hapa ni kuwa pilisu hawa grounds za kumshitaki. Sana sana watamshitaki kwa uchochezi kosa ambalo wameshamshitaki Lisu mara tano lkn wameshindwa kukamilisha upelelezi hadi sasa! Ukizingati idadi ya kesi walizomfungulia Lisu na wameshindwa kuzimaliza hadi yanamkuta Lisu yaliyomkuta, utauzuiaje umma usiwaze vyovyote?Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
♂️naenda zimbobo.Huyu DCI amehamua kumuongezea Mange followers!!Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
My take:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.
Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!
hutomuona akitiwa mikononi mwa watesi kamweHivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.