DCI: Tumemchoka Mange

DCI: Tumemchoka Mange

Na ile barua kutoka uhamiaji inayoagiza akamatwe nayo inatoka ufipa?
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.

Mtu wa "matusi" mnampotezea tu na mitusi yake.....

Sasa sijui shida ya polisi ni kitu gani wakati matusi ni maneno tu ambayo hata hayana madhara yoyote....

After all, mtu mwenyewe anajisemea mijitusi (kama ni matusi kweli) akiwa ktk sayari nyingine huku wao wanaanza kuweweseka....., shida ni nini kwani?

Hawa wachina walioitwa kuja kufunga mitandao ya kijamii hususani Facebook, Twitter na mingine wameshindwa kumdhibiti huyu Mangi Kimambi??
 
Chassis number hufutikaga
Ndiyo maana nikasema hapo juu ni aibu kwa DCI ku entertain speculations.

Habari kamili zikitafutwa zitapatikana.

Ujinga kama huu unazidi kufanya watu waamini tukio zima limepangwa na serikali na huyu DCI anatumika kuficha ukweli tu.

Sent from my Kimulimuli
 
Teh the, Nissan ukimwomba tu taarifa atatoa tu. Hiyo model ni mpya imeingia lini nani aliuziwa zipo wapi nyingine. Nakumbuka movie ya uncle vini
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Mange hajawahi kukuacha salamaaaa maana tunawajua nyinyi ni wazee wa kujistukia tu hahahaha viva mange
 
Teh the, Nissan ukimwomba tu taarifa atatoa tu. Hiyo model ni mpya imeingia lini nani aliuziwa zipo wapi nyingine. Nakumbuka movie ya uncle vini
Hata kile kibao cha gari ya ealiyempiga risasi Lissu kinaweza kufuatiliwa mpaka kikajulikana kimeanzia wapi.

Waliolipua ubalozi wa Marekani Laibon St pale Oysterbay walifuatiliwa mpaka aliyechomelea welding gari lao akajulikana na wengine wakapatikana.

Gailani anaozea jela Marekani leo.

Ila sisi kila siku tunaambiwa "watu wasiojulikana".

Sent from my Kimulimuli
 
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.

Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)

Chanzo:Uhuru

My take
:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.

Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!
Kifalsafa, unaweza tu kujua kuwa kitu ni kweli kama unakijua, vinginevyo inakuwa ni taarifa tu. Mfano ukinisikia najitambulisha kwamba naitwa Faru John ilhali unajua kuwa naitwa Ralph Tyler unaweza kusema hiyo siyo kweli kwa kuwa jina langu unalijua.

Kwahiyo kwa DCI kumtaka Lissu aeleze ukweli, nimemwelewa.
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Toka 2015 wakati anatukana ukawa mliona sawa tena wengine wakashauri apewe nafsi,leo kagusa kwenyewe ndio mnabwabwaja kma mazuzu.
Kinyago mmekichonga wenyewe leo mnakikana.
Tulieni dawa iwaingine vizuri kawapa dole la kati sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Acha awatukane tu maana ninyi mnajibu kwa mitutu sisi tutajibu kwa midomo yetu. Actually mnastahili matusi na zaidi ya matusi. TL anapigania uhai wake mtu anasema eti Lissu asiingize siasa seriously! Hivi ni roho ipi ninyi watu mlipewa na shetani au ni jinamizi linawasumbua. Mange fanya yako!
 
Sasa Mzee kusema tumemchoka inasaidia kweli? ofcoz tumemchoka tangu miaka kaadhaa iliyopita na alitakiwa awe ameshadhibitiwa.

Haingii akilini kuwa eti hazuiliki kwa kuwa tu anaishi nje ya nchi, Marekani sio mbinguni. Nadhani hao Marekani watamuelewa iwapo tu kama anatoa hoja zenye mashiko za kupingana na serikali yake, lakini sio matusi na kudhalilisha.

Ina maana hao Marekani wanaunga mkono Watu kudhalilishwa hovyo? nadhani Serikali imekosa watu wenye akili na utashi, huenda wanaotakiwa kufuatilia wana uwezo mdogo au ni wahujumu tu wanaojifanya wanashindwa.

Kama serikali inashindwa na Mtu mmoja, vipi hao raia mmoja mmoja anayedhalilishwa na huyu Mtu? si ndio anakata tamaa kabisa kwani anaona hata Serikali yake imeshindwa.

Huyu mtu anadhibitika tu kama serikali mkijipanga, hakuna linaloshindikana tusijazane ujinga.
 
15a259d6a15f8de2bf95e50f46661e07.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Limeungua kivipi? hapa kuna kitu. Kumbe DAB kuonekana Moro kulikuwa na kitu
 
Back
Top Bottom