DCI: Tumemchoka Mange

DCI: Tumemchoka Mange

Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.

Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)

Chanzo:Uhuru

My take
:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.

Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!
Nadhani damu ya Lissu inatembea kwenye vichwa vyao kama maharage hawana hata akili moja yaani Mwenyezi Mungu mtukufu wa Mbinguni anawaadhibu hapa hapa duniani wana laana ya dunia na mbingu afisa wa jeshi la polisi anaweza kukosa akili kiasi hicho kweli anaweza kusema Lissu aseme ukweli wakati he is gravely sick and he is fighting for his life what a shame huu utawala una laana sana hivi kweli ndio wanadhani watatupeleka kwenye nchi ya viwanda wakati wanashindwa kuhandle swala la Lissu huyu mmoja tu amelel akipigania uhai wake wao huku wanakanyagana wasijuwe la kufanya
 
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.

View attachment 586663
Kwa tuliozoea michezo ya rafu uwanjani! Lazima kocha ajihami kwa kuwambia wachezaji wake kuwa ikishindikana, chezeni rafu!​
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)

Chanzo:Uhuru

My take
:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.

Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!
 
Ndugu zangu kuzaliwa Tanzania utaona maajabu ya mussa

Vijana wa chadema wa mtandaoni wanaamini zaid anachosema (men escorter) aliyeko marekani badala ya viongozi wake wa chama,
Unashangaa vijana siku hizi hawana hoja tena ni vijana ambao hawana muelekeo

IPO wapi chadema halisi ya Mzee Mwanakijiji BAK Nyani Ngabu Ocampo for

Nasikitika saana kuona vijana hawana hoja siku hizi wanakimbilia kumshambulia Mtu ambaye atakuwa Na hoja hasi juu yao wao humshambulia mtu kutokana Na anayosema mange kimambi,

Suala ili linaumiza sana ,mbaya zaid haiishii hapo imepenya mpaka kwa viongozi wa juu wa chama hicho,

CHADEMA inapelekea wapi?

Tunataka chama Cha siasa kikuu Cha Upinzani ambacho vijana waliowengi wataweza kumfuata mtu
1. Anayejua kukosoa uchumi
2. Ajira
3. Mfumko wa bei
4. Sheria za nchi Na katiba
5. Kuishauri serikali juu ya mipango yake,

6. Kuweza kuhamasisha maendeleo ambapo serikali imefeli

Lakin imekuwa tofauti sana
60-80% ya vijana wa CHADEMA wamemuelewa sana Mange kimambi kuliko Tumaini Makene JOHN JOHN mnyika Lissu

Wamechagua mfuasi wa tabia hizi
1. Hana elimu ya kutosha
2. Hana makazi maalumu
3. Haramia wa mitandao, Na wizi wa mitandao
4. Mtu ambaye ni night hunter au tiger
Akipost Jambo linawaondoa kwenye hoja za msingi kabisa watu wanaacha kufikiria ,

Mange kimambi amewashika vibaya wa Chadema , Ana account tofauti tofauti mitandao mbali mbali
(Anajitumia messege Na kujijibu then Ana screenshot anaupload , Na anawakamata vema sana)

Vijana acha uzwazwa,
Igeni mifano ya wenzenu kina BAK Na wengine,

Mungu ibariki Chadema,
 
Mi bado nawaza maneno ya Mange Kimange aliyopost mdau juzi.
HIVI NI KWELI BASHITE ALIMPORA LE MUTUZ BWANA???
 
Chadema from 1995-2015=fikra za mabadiliko
Chadema from 2015=comedy

Hadi aibu maskini chadema mliuza chama.bavicha mnatumiwa ovyo

Lakini ukweli uko wazi chadema viongozi wake ndo mafisadi wenyewe wazee wastaafu.wengine ma dj wameuzia vijana madawa ya kulevya kwenye club zao.wametumia ujanja wa sheria kutetea waizi wa rasilimali..kwa magufuli mtakoma.na bado wale mlioficha hela nje mjiandae.fanyeni maigizo yote lakini keki ya taifa sasa inagawanywa.ile mitandao ya ufisadi chini ya mstaafu ilioutaka urais .imefeli.magabacholi mmefeli.wafanyabiashara magendo mmefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange mwenyewe anapewa habari na hao hao waliopo maofisini.
 
Back
Top Bottom