DCI: Tumemchoka Mange

DCI: Tumemchoka Mange

Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Aliepanga hoja ametumiwa vijana wasiojulika kummaliza
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
kwa akili ya kilumumba lkn kimsingi anajitahidi sana hakuna utawala unaodumu milele labda kama hujawahi soma historia
 
l
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.

Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)

Chanzo:Uhuru

My take
:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.

Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!

Lazima wamchoke watafanyaje sasa mana ni jembe kali linalolima popote
 
dah mtu yupo icu halafu anaambiwa aseme ukweli tz ina watu wa ajabu sana sijapata kuona
 
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Cha kushangaza unaweza kukamatwa wewe kwa uchochezi kabla yake

Poor You

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.

Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)

Chanzo:Uhuru

My take
:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.

Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!

Kwa nchi za wenzetu muda huu mtuhumiwa angekuwa ameishafika kwa pilato.Siye tunasubiria White house imesemaje au Magomeni pameongea nini.

In short hatuna Bunge,Mahakama,Polisi wala taasisi za usalama wetu.Leo Naibu Gavana ni Mtutsi,Mkuu wa Kitengo cha external finance Mtutsi bado tunasema tuko sawa.

Watanzania tujitazame tunakoenda kabla hatujafika.Wabunge wako kama wamemwagiwa maji ya baridi,wanajadili 'NGONO na TOHARA' Bungeni badala ya kujadili issue za maana.
 
Back
Top Bottom