Ndugu zangu kuzaliwa Tanzania utaona maajabu ya mussa
Vijana wa chadema wa mtandaoni wanaamini zaid anachosema
(men escorter) aliyeko marekani badala ya viongozi wake wa chama,
Unashangaa vijana siku hizi hawana hoja tena ni vijana ambao hawana muelekeo
IPO wapi chadema halisi ya
Mzee Mwanakijiji BAK Nyani Ngabu Ocampo for
Nasikitika saana kuona vijana hawana hoja siku hizi wanakimbilia kumshambulia Mtu ambaye atakuwa Na hoja hasi juu yao wao humshambulia mtu kutokana Na anayosema mange kimambi,
Suala ili linaumiza sana ,mbaya zaid haiishii hapo imepenya mpaka kwa viongozi wa juu wa chama hicho,
CHADEMA inapelekea wapi?
Tunataka chama Cha siasa kikuu Cha Upinzani ambacho vijana waliowengi wataweza kumfuata mtu
1. Anayejua kukosoa uchumi
2. Ajira
3. Mfumko wa bei
4. Sheria za nchi Na katiba
5. Kuishauri serikali juu ya mipango yake,
6. Kuweza kuhamasisha maendeleo ambapo serikali imefeli
Lakin imekuwa tofauti sana
60-80% ya vijana wa CHADEMA wamemuelewa sana Mange kimambi kuliko
Tumaini Makene JOHN JOHN mnyika
Lissu
Wamechagua mfuasi wa tabia hizi
1. Hana elimu ya kutosha
2. Hana makazi maalumu
3. Haramia wa mitandao, Na wizi wa mitandao
4. Mtu ambaye ni night hunter au tiger
Akipost Jambo linawaondoa kwenye hoja za msingi kabisa watu wanaacha kufikiria ,
Mange kimambi amewashika vibaya wa Chadema , Ana account tofauti tofauti mitandao mbali mbali
(Anajitumia messege Na kujijibu then Ana screenshot anaupload , Na anawakamata vema sana)
Vijana acha uzwazwa,
Igeni mifano ya wenzenu kina
BAK Na wengine,
Mungu ibariki Chadema,