likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,085
GAZETI LA UHURU TANGU LINI LIKAANDIKA HABARI?
Uhuru halijawahi kuwa huru kimawazo wala kimtazamo sijui ni watu wangapi wanalisoma gazeti hili
Ccm manyoya ya mwili mzima yamewasimama kusubiria kusikia Mange atasema nini!Huyo Mange ndio ana wafanya Chadema waonekane wote wajinga wajinga na wapuuzi tuu...yani chadema nzima wanamtegemea Mange tena kwa uzushi....
Followers wa Mange ni zaidi ya 1m. Sasa utakuta watu humu JF wanajibaraguza baraguza tu kumbe wanamfuatilia kimya kimya. Na kum follow mtu si kwa sababu moja tu. Sababu ni nyingi sana. UHURU!Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli asiingize siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
My take:
Reaction ya Mange baada ya Lissu kupigwa risasi ilikuwa si ya mchezo hasa baada ya bwana mkubwa mmoja kutoa salaam zake.
Alafu hii hofu ya atakachosema Lissu inatoka wap?!
Pambaff!Mkimuona mwambieni asimlazimishe, akishasema huo ukweli then atafanyanini?
KabisaKama mna hasira na mange si mkakamatie huko Us
ShameNa kweli Lu mutuz ndo Crime analyst wa Lumumba. Juzi katoa upuuzi wake hapa akielezea tukio la Lissu utafikiri mtoto wa std VII.
ACHA nikae KIMYA...!
Huyu Mange lini alipewa kadi ya CHADEMA? Kuuliza siyo kosa maana zama za mwaka 2015 alikuwa shabiki na mwanachama mzuri wa CCMHuyo Mange ndio ana wafanya Chadema waonekane wote wajinga wajinga na wapuuzi tuu...yani chadema nzima wanamtegemea Mange tena kwa uzushi....
Tanzania Daima je iko huru?Uhuru halijawahi kuwa huru kimawazo wala kimtazamo sijui ni watu wangapi wanalisoma gazeti hili
Wananunua wale wanafatilia tangazo la mirathi tu.Uhuru halijawahi kuwa huru kimawazo wala kimtazamo sijui ni watu wangapi wanalisoma gazeti hili
Hivi hawa watu wengine huwa wanajiuliza maswali kabla ya kuandika au wanajiandikia tu kwa mazoea?Mange ameshazika baba na mama
Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
We mbna hutukani au ndo nyie mnakaa nyuma ya kibodi na kutoa RIP, Tuko pamoja kamanda na maneno mengine ya kutiana moyo wakati wenzenu wakipata majangaWabongo wengine wanapenda sana ku assume.
Kuna watu kibao hawana beef na serikali wala nini na wanasema hawarudi mpaka Magufuli aondoke na kuwe na muelekeo mzuri.
Maana unaweza kupotezwa na "watu wasiojulikana".
Itakuwa Mange ambaye yupo kwenye blacklist kila kituo cha uhamiaji?
Atumie tu "First Amendment" right yake ya kutukana viongozi huku Marekani ambapo watu wanamtukana Trump na Obama kila siku.
Na huyo anayetukanwa kajutakia kutukanwa mwenyewe kwa maneno na vitendo vyake vya ovyo.
Rais gani anawaita mawaziri aliowateua mwenyewe wapumbavu na hivyo kujitukana yeye mwenyewe aliyewateua mpumbavu zaidi?
Mimi natetea haki ya Mange kutukana anavyotaka. Ni uhuru wa kujueleza. Ukishataka urais ushakubali kutukanwa.
Wahenga walisema ukubwa gunia la chawa.
Sent from my Kimulimuli
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "The First Amendment to the United States Constitution" katika maisha yako yote?Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.