DCI: Tumemchoka Mange

DCI: Tumemchoka Mange

Damu isiyo na hatia imeanza kuwalilia na hapo bado tunamsubiri lissu mwenyewe siku ambayo ataongea na waandishi wa habari hapo ndipo mkulu atatamani ardhi ipasuke ajifiche...ikulu siku hiyo itakuwa chungu
 
Uhuru halijawahi kuwa huru kimawazo wala kimtazamo sijui ni watu wangapi wanalisoma gazeti hili
Ni miongoni mwa magazeti yanayosomwa na watu ambao huvizia matukio ya watu fulani!Ni kama chombo cha kupigia mstari maneno ya watu wanaojiona watukufu!Si hilo tu kuna Habari Leo,Dairly News,Hoja,Tazama ongeza na Radio Uhuru,TBC,nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15a259d6a15f8de2bf95e50f46661e07.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni maneno yako.
Ni heri uyaelewe yakupe upenyo wa kutubu na kuzijutia dhambi zako. Itakusaidia hata wakati roho yako inatengana na mwili, Mwili wala hautakuwa na hofu kiasi cha kuhangaika kwa kutupa mateke kurusha mikono, kusaga meno, kujigongagonga kichwa, kunya!

Kisa kuitumainia bunduki!
Haina msaada siku hiyo.
 
Huyo Mange ndio ana wafanya Chadema waonekane wote wajinga wajinga na wapuuzi tuu...yani chadema nzima wanamtegemea Mange tena kwa uzushi....
 
Sidhani kama tuna DCI wa ovyo kiasi hiki. I wish wamemsingizia.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Heheheh Mange bana ndugu zake atawazika kwa whatsapp
Kwani mtu akifa lazma azikwe na ndugu..??

Daud Balali alivyo kufa hajazikwa hata na mke wake sembuse nduge zake Mage.... Kwani ukihudhuria msiba wake ndiyo atafufuka au ataenda mbiguni????


Lisuu atasema huo ukweli akiwa Nairobi ataita Press na vyombo vyote vya habari vya kimataifa...... Ndiyo ukweli utakapo julikana
 
Shangaa na hana baba wala mama wote alishawazika,,na ashasema haji ng'oooo bongo
Wabongo wengine wanapenda sana ku assume.

Kuna watu kibao hawana beef na serikali wala nini na wanasema hawarudi mpaka Magufuli aondoke na kuwe na muelekeo mzuri.

Maana unaweza kupotezwa na "watu wasiojulikana".

Itakuwa Mange ambaye yupo kwenye blacklist kila kituo cha uhamiaji?

Atumie tu "First Amendment" right yake ya kutukana viongozi huku Marekani ambapo watu wanamtukana Trump na Obama kila siku.

Na huyo anayetukanwa kajitakia kutukanwa mwenyewe kwa maneno na vitendo vyake vya ovyo.

Rais gani anawaita mawaziri aliowateua mwenyewe wapumbavu na hivyo kujitukana yeye mwenyewe aliyewateua mpumbavu zaidi?

Mimi natetea haki ya Mange kutukana anavyotaka. Ni uhuru wa kujieleza. Ukishataka urais ushakubali kutukanwa.

Wahenga walisema ukubwa gunia la chawa.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom