Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,187
- 128,909
Mkuu Gwalihenzi, lugha hiyo ndiyo rahisi kupunguza impact ya maneno mengi ya kiswahili ku drive home what you mean. Mimi ni mtoto wa uswazi hizi ndizo lughaNdugu yangu Pasco, kama unajua kuwa lugha ya wageni inakupa shida kimawasiliano kwanini unaing'ang'ania? Kwanza unapowasiliana na sisi wamatumbi wenzio unahaja gani kuchanganya lugha?
na ndizo za uswazi zote hata uswazi za huko huko kwenye lugha zao, spelling sio issue saana cha muhimu ni meaning!.