DCI Manumba akata kauli

DCI Manumba akata kauli

Nakumbuka kauli yake alipokwenda Iringa baada ya mauaji ya Mwangosi aliyekuwa mwandishi wa habari Channel ten"Matukio haya yapo na yataendelea kuwepo"
Naomba mchango wa huyu jamaa kwenye ujenzi wa taifa hili...mbona hamsemii..mmekazana ripii..ripii...sorry,mmekazana get well soon tuu...:majani7:
 
sajuki marehemu aligusa india.....lakini mwishimiwa huyu anaugulia bongoland hii hii,hapana mi nahisi kuna kitu hapa kinafukuta,TANZANIA-THE DRAMATIC LAND
 



......nilizaliwa ni kiwa na haki ya kuzaliwa....... Ni takufa ni kikiwa na haki ya KUFA...!!!!

...HUNA UHALALI WA KUISHI MILELE..... BALI UNA UHALALI WA KUISHI MILELE ENDAPO UTAISHI MILELE!!!!

..
.chunga ndovu wangu..!!!. aliyekupa meno yako...... amenipanipa pembe zangu!!!

..CC ....nyumba ya majangili...


...Sekunde zote.... Stay..... in touch ...NA...
www jamiiforums.com

..TAFAKARI!!!...usiwe vuvuzele dakika 90+ ushangilie then ++ upigwe juuu






 
Sifurahii mateso ya huyu jamaa, ila nasikitika tunapowapoteza watu kama hawa bila kutoa ya moyoni au hata maungamo ya mateso wanayowaachia watanzania maskini kwasababu ya tamaa za muda mfupi wa uhai wetu
 
Hapa kuna sala niiiiiiiiiiyingi za unafiki mtupu.

Hakika kila nafsi hai itaonja mauti, kama saa yako imefika unaondoka kama ifuatavyo.

Ugonjwa si mauti bali ni dalili kwamba mwilini kuna hitilafu.

Nguvu iliyo mleta ndiyo yenye kauri tamati
 
Aise, kumbe ikishindikana Muhimbili unahamia Aga Khan, au mi sijaelewa?

Nadhani si kama hujaelewa, bali ni ngumu kueleweka!

Labda mwenye kujua atusaidie hapa........, vinginevyo maswali ni mengi kuliko majibu.........
 
Muulize Samuel Sita na Mwakyembe watakueleza, wakigoma kukujibu iulize Familia ya Mwangosi, ila ana mchango mzuri tu wa kuwakamata wanaotuhumiwa walimuuwa Kamanda Liberatus Barlow wa Mwanza.
Sawa
 
Back
Top Bottom