DCI Manumba akata kauli

Miaka hii wengi wanachagua siku ya kutangaza kufa kwao hasa walaji wa nchi, huyu jamaa kesha ondoka wanasubiri tarehe waliyopanga tuu. Nini maana ya "Kukata Kauli"?
 
Usitukumbushe wauwaji wale. Kama sio helaa ni nini, maweee???

Nani katika serikali ya JK ana uwezo wa kueleza sababu za DCl kuhamishwa Hospitali ya Rufaa,kwenda hospitali binafsi?!
Au watadai familia yake iliomba hivyo.. Eti mkuu NGUVUMOJA
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli namuombea apone aje atupe taarifa za vifo vya mwandishi wa habari na muuza magazeti. Hivi mara ya mwisho Tanzania aliisaidia nini?
 
sheikh ponda tu atoke ndani, mambo yote yataka sawa
 
Kabla sijatia neno,naombeni mnikumbushe mchango wake kwenye jamìi

Amepunguza vitendo vya ujambazi wa mchana kweupe uliokuwepo enzi zile, Aliongoza timu ya wapelelezi kwenye
tukio la ugaidi dhidi ya ubalozi wa marekani hapa nchini kwa mafanikio makubwa na walipatia tuzo, anazo tuzo kadhaa
za ndani na nje ya nchi kuhusiana na umahiri wake katika upelelezi, ni msomi mwenye shahada ya uzamili ya sheria, ni baba wa familia, nk...
 

Bila shaka wanaogopa kutuambia amesha.... Mtu hakai chumba hicho siku zote hivo.
 
Habari nilizozipata hivi punde, mchana huu zinasema, nanukuu
''He was in Terminal illness with Palliative care but now he is in Brain Vegetation State''
Naamini kuna wataalam hapa JF watatuelewesha vizuri.

Tunamwomba Mungu amsaidie.
 
Hatumwombei mauti lakini ikitokea, Mh Dr Jakaya M Kikwete, Amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama atakatiza ziara yake ya kiserikali huko Ufaransa aje kuwahi msiba.
 
Miaka hii wengi wanachagua siku ya kutangaza kufa kwao hasa walaji wa nchi, huyu jamaa kesha ondoka wanasubiri tarehe waliyopanga tuu. Nini maana ya "Kukata Kauli"?
Kukata kauli=Stuporous

Yaani hawezi kufanya kitu chochote wala hawezi kuwasiliana kabisa, kitu pekee anachoweza kufanya ni kufunga na kufungua macho tu.
Katika ugonjwa huwa ni miongoni mwa hatua za mwisho mwisho kabla ya .....
 

namuomba Ponda na wezie walionyimwa dhamana kwa kesi ya kuvamia kiwanja ..kwa amri ya 'kamanda' wamsamehe tunajua munashikiliwa kwa amri yake lakini msameheni..apone
 
Hatumwombei mauti lakini ikitokea, Mh Dr Jakaya M Kikwete, Amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama atakatiza ziara yake ya kiserikali huko Ufaransa aje kuwahi msiba.

No no unaleta utani sasa, hata katiza ila msiba inabidi wau postpone mpaka atakapomaliza ziara period.
 
Kumbe anatambulika kwa USA ndio maana wanataka taarifa ziwe na mashiko si za kubabaisha, poleni saana wandugu!!!!

 
si apelekwe India tuuuuuuuuuuu!!!!!!!!! aaaaaaaaaaaaaaaaaaaagggggghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Nani katika serikali ya JK ana uwezo wa kueleza sababu za DCl kuhamishwa Hospitali ya Rufaa,kwenda hospitali binafsi?!
Au watadai familia yake iliomba hivyo.. Eti mkuu NGUVUMOJA

Serikali wenyewe wanajua kuwa Muhimbili hakuna huduma nzuri na ndio maana hata wao wanakimbilia India au AKH.

Na huyu Man---umba na jeshi la Polisi walichangia katika kuwatiisha viongozi wa Madr katika migomo mwaka jana. Na pia lazima kuna mkono wake katika kupanga njama za Usalama wa Taifa kumteka, kupiga na kumtupa kule Msitu wa Pande Dr. ULIMBOKA.

Pia kwa namna moja au nyingine akiwa kama DCI alipindisha ukweli katika upelelezi wa kesi ya Ulimboka.

Pia kwa namna moja au nyingine akiwa kama DCI alipindisha ukweli katika upelelezi wa kesi ya Mwangosi.

Pia kwa namna moja au nyingine akiwa kama DCI alipindisha ukweli katika upelelezi wa kesi ya mauaji ya Songea na Arusha.


Kuhusu suala la Kesi za EPA na Mabilioni yaliyopo USWIS sitaki kuligusa kabisa kwani naweza kuzimia ghafla, jinsi alivyoshiriki kama DCI kupindisha ukweli.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kupitia humu JF kweli tuache unafiki. Huyu si ndie anayekumbatia mafaili ya MAFISADI? Jamani maombi ya watanzania yanajibiwa sasa. Yeye alimuona CHENGE,LOWASA,SHIMBO,KARAMAGI,MRAMBA,YONA wote hao na wengine tu wezi wa rasilimali zetu hawana hatua ila sisi tunaolalamika ndo tumpelekee ushahidi wakati yy analipwa kwa kazi hiyo. Sasa mimi nasema NAMUOMBEA KWA MWANGOSI AMUANDALIE SHAMBA HUKO. hapa duniani tunampa buriani MANUMBA. Haukuwa na msaada kwa watanzania bali kichefuchefu.
 

Dr Mwakyembe alilalamika bitterly jinsi huyu mheshimiwa alivyosema hajapewa sumu no wonder MUNGU anamuonesha gharama ya kutetea ufisadi. Na huyo bi mkubwa aliekuwa kwenye wizara anatafuta nini huko hospitalini? Au ni shemeji anamtetea kwenye masuala ya uchunguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…