Sidhan kama kuweka chembe ya siasa kwenye habar kma hii ni sawa....ifikie pahala tuthamini uhai wa mtu, huna haja ya kutokumnunulia viatu mwanao eti kwa 7bu we baba ake hukuvaa wkati unasoma....MUNGU amuafu MANUMBA
Hahahaa... Umenifanya nicheke.. Hapana,madaktari wanaongozwa na viapo vyao. Uhai wa mtu si wa kuchezea. Na huenda angebaki Muhimbili asingefikia hata hiyo coma.
Muombee adai yako maisha marefu ili ashuhudie unavyofanikiwa....Kwa mema yepi??
Hata mimi nashangaa sana. Viongozi wetu wanajua wazi kwamba Muhimbili iko hoi sana kihuduma lakini wanaleta siasa. Madaktari walipogoma kushinikiza kupewa vifaatiba bora wakaitwa wasaliti na wachochezi.Aise, kumbe ikishindikana Muhimbili unahamia Aga Khan, au mi sijaelewa?
Muombee adai yako maisha marefu ili ashuhudie unavyofanikiwa....
@mpasta, you have gone so far now.Rip....marehemu