DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

Hii ndo shida ya sales agents mimi banks nazijua sana kuliko unavyohisi so tupe majibu ya vitu hivi
BANKS BALANCE SHEET......
Liquidity Ratio
Impairment Ratio
Liability stance
Pamoja na market segement focus
Haiwezi kukujibu huyo.. hiyo bank performance yake ni mbaya na dizaini ipo kwenye crisis ndo mana waoo aggressive kupata deposits. Hapa wanaowekeza hapa wanajitafutia shida
 
Mkuu siyo kwamba tunataka kukuharibia biashara, tunachokuambia ni kwamba moja ya dalili za benki kuwa pagumu ni hii ya kutafuta deposits kwa gharama nafuu.

Inaonekana ina obligations inatakiwa kusettle lakini hela hakuna, na hii ni shortrun solution, kwa sababu hizi nazo zitakapoanza ku mature tatizo hili litarudi.

Chukulia mfano, sasa hivi mikopo iko kwenye 17%, sasa unapochukua deposits za 14% ukakopeshe kwa 17% maana yake una margin ya 3%. Hapo kuna running costs kibao ambazo hiyo margin ni ndogo sana.
Huyu mtu msameheni inawezekana tupo mapokezi hizi analysis hawez kuzielewa vema.

Ila kama ulivosema, hii kuchukua deposit kwa 14% ina maana kuna crisis ya liquidity.
 
Wadau kwema kuna fursa imetoka DCB bank wanatoa account ya fixed yenye riba hadi 14% kiwango cha riba kinatofautiana kutokana na kiwango cha uwekezaji wako

Uzuri faida yake unachagua upewe kwa kila mwezi au mwisho wa muda utakaochagua zinaanzia miezi mitatu ,sita,tisa hadi kumi na mbili yaani mwaka.

kwa maelezo kamili text me inbox for more info

NawasilishaView attachment 1477243
Ngoja tuchangamkie hiyo fursa
 
Riba inakuwa 7% times 50M times 10% V.A.T kinachopatikana kina gawanywa kwa 6 ambayo ni miezi sita then unapata equivalent ya kila mwezi
Kama vile unakwepa kujibu swali, muulizaji, kama sijakosea anataka kujua atapata shs ngapi kwa kila mwezi?
 
Ngoja tuchangamkie hiyo fursa

Naona mkuu fiasco umeona uje kwa id yako nyingine mkuu?Pambana ndg yangu.
IMG_7424.JPG
 
Kama vile unakwepa kujibu swali, muulizaji, kama sijakosea anataka kujua atapata shs ngapi kwa kila mwezi?
Anapokea 525,000/= kwa mwezi ndani ya muda wa miezi sita
 
Hii bank inashida na liability so kwa lugha ya kitalaamu kuna shida ya ukwasi so wanatafuta hela kuokoa jahazi bei ya fixed deposit kwa sasa ni 5-7%
Very Right. Ina shida long time.
 
Wadau kwema kuna fursa imetoka DCB bank wanatoa account ya fixed yenye riba hadi 14% kiwango cha riba kinatofautiana kutokana na kiwango cha uwekezaji wako

Uzuri faida yake unachagua upewe kwa kila mwezi au mwisho wa muda utakaochagua zinaanzia miezi mitatu ,sita,tisa hadi kumi na mbili yaani mwaka.

kwa maelezo kamili text me inbox for more info

NawasilishaView attachment 1477243
Mkuu tupe summary ya financial ratios zake itapendeza.
 
Hii ndo shida ya sales agents mimi banks nazijua sana kuliko unavyohisi so tupe majibu ya vitu hivi
BANKS BALANCE SHEET......
Liquidity Ratio
Impairment Ratio
Liability stance
Pamoja na market segement focus
Uko vizuri mno. Nami hapo juu nimeomba atupe summary ya key ratios kwa hii bank ndiyo tuamue.
 
Ahsante Sana Mkulungwa.. Maana yake hii bank inapitia kipindi kigumu Sana. Sio fursa kama inavoonekana. Inawezekana hata survival yake ni ya mashaka. Hii ni bank inayoenda kufa kuweni makini
Chukua 10 mkuu. Bank ilikuwa safi sana hii ila sijui kilichoikumba for the past few years. Ndiyo ile lugha ya mtu fulani kuwa atakayebaki mjini mpaka Dec ya 2017 or 2018 ndiyo mwanaume.

Mwaka nimesahau maana kichwa kinashika yale mazuri ya kutia moyo tu. Ukweli bank nyingi zina liquidity challenge na ndiyo maana zile za serikali wameunganisha sana.

Majuxi TIB Corporate imeungwa na Post a ambayo tayari ilishaungwa na benki ya wanawake na bank moja nyingine. Ni hatari sana hii.
 
Chukua 10 mkuu. Bank ilikuwa safi sana hii ila sijui kilichoikumba for the past few years. Ndiyo ile lugha ya mtu fulani kuwa atakayebaki mjini mpaka Dec ya 2017 or 2018 ndiyo mwanaume. Mwaka nimesahau maana kichwa kinashika yale mazuri ya kutia moyo tu. Ukweli bank nyingi zina liquidity challenge na ndiyo maana zile za serikali wameunganisha sana. Majuxi TIB Corporate imeungwa na Post a ambayo tayari ilishaungwa na benki ya wanawake na bank moja nyingine. Ni hatari sana hii.
Tanzania investment Bank kilichowaondoa sokoni ni imparements zilikuwa juu mno hivyo ikaleta tatizo la non performing loans ratio ilikuwa above 8-9% mwaka jana walipata faida ya 10M sasa investment bank yenye balance sheet ya more than 700billion inapata faida ya 10M so hapo kuna negative return on invested capital
 
Rate ya sasa ya treasury bills za 20 year maturity ni 14.375%.

Naamini ni bora zaidi mtu mwenye fedha nyingi kiasi akawekeza huku, ukizingatia pia kuwa risk ni ndogo kuliko fixed deposits za benki.
Yes. Nilichouliza ni kuhusu rates zake zikoje kwa sasa?
 
Kwa financial Reporting standard(IFRS 9) tutashudia mergers and acquisitions zakutosha pamoja na liquidation on small banks kama DCB,ACCESS,FINCA sidhani kama wataweza kuhimili ushindani kwenye soko kwasababu walitumia approach mbaya kuingia sokoni na hii strategy ya kutoa credit facility rather kutafuta deposits zakutosha
 
Chukua 10 mkuu. Bank ilikuwa safi sana hii ila sijui kilichoikumba for the past few years. Ndiyo ile lugha ya mtu fulani kuwa atakayebaki mjini mpaka Dec ya 2017 or 2018 ndiyo mwanaume. Mwaka nimesahau maana kichwa kinashika yale mazuri ya kutia moyo tu. Ukweli bank nyingi zina liquidity challenge na ndiyo maana zile za serikali wameunganisha sana. Majuxi TIB Corporate imeungwa na Post a ambayo tayari ilishaungwa na benki ya wanawake na bank moja nyingine. Ni hatari sana hii.
Uko sahihi Changamoto huwa zinakuwepo especially kwa upande wa liquidity bank zote
 
Uko sahihi Changamoto huwa zinakuwepo especially kwa upande wa liquidity bank zote
Unaposema banks zote unamanisha nini banks zimegawanyika unataka kusema tier1 banks zilikuwa na tatizo na liability
 
Rate ya sasa ya treasury bills za 20 year maturity ni 14.375%.

Naamini ni bora zaidi mtu mwenye fedha nyingi kiasi akawekeza huku, ukizingatia pia kuwa risk ni ndogo kuliko fixed deposits za benki.
Bank kwa uchumi wa sasa Tz na kuchangia na Corona ni hatari mno. Yaani survival ya bank na microfinance nyingi itakuwa mtihani.
 
Back
Top Bottom