Sijaangalia ila itakuwa above 5% kwasababu ya market segment yao ya mikopo ya vikundi na wafanyabishara wadogoRatio of NPLs to total gross loans inachezea ngapi boss?
Sijaangalia ila itakuwa above 5% kwasababu ya market segment yao ya mikopo ya vikundi na wafanyabishara wadogoRatio of NPLs to total gross loans inachezea ngapi boss?
Yes hii scenario alianza nayo Bank M tukawambia watu leo hii wanashukuru na bahati ya Bank M alikuwa Cooperate na investment bank so effects kwenye uchumi zilikuwa kubwa ila hii community bank BOT hawafanyi merger ama acquisition inawekwa chini ya Bodi ya amana kwisha habari
Brother unachoongea hukijui wewe ni sales uza tuu ila watu tuko kwenye hii industry na tunajua wapi pakuweka hela na wapi hapanaSema bado kuna kitu hakipo sawa yani kuelewa kwako ni mgumu kdg
Sema Bank ina balance sheet kiasi gani na ipo tier ipi simple na clearSema bado kuna kitu hakipo sawa yani kuelewa kwako ni mgumu kdg
Imepatwa shida gani tena hii bank M, nliwahi kua mteja wao zamani.
Sijaangalia ila itakuwa above 5% kwasababu ya market segment yao ya mikopo ya vikundi na wafanyabishara wadogo
Hawa ndo watu wanaoijua banking industry umeona alichoandika sasa wewe nae hebu andika kitalamuLiabilities zilizidi assets, ikawa shida kulipa FDRs zilizo mature na obligations zingine.
Ilibidi BOT waingilie kati, na kwa sasa haipo.
Watu mnaojua banking industry vitu gani tunaangalia tunaposema bank inakua tumsadie kijanaBank inazidi kukua ,tembelea kwenye matawi utaona lkn ww unajipanga kubishana
Hawa ndo watu wanaoijua banking industry umeona alichoandika sasa wewe nae hebu andika kitalamu
So Bank M unataka kuilinganisha na DCB 😂😂Kaongelea case ya bank M so unataka nikuchambulie on how liability an assets zinavyooperate in a bank
Nisaidie chief nakusikiliza bhana, maana ushafanya interview kanda ya kati nipe darasa bhanaWatu mnaojua banking industry vitu gani tunaangalia tunaposema bank inakua tumsadie kijana
[emoji23][emoji23]sasa mbona ilikufa ikaaiacha DCB?So Bank M unataka kuilinganisha na DCB [emoji23][emoji23]
Kaongelea case ya bank M so unataka nikuchambulie on how liability an assets zinavyooperate in a bank
Ofcoz ndio maana nikasemaje it's for two years na bado kuna tradition rates zipo and by the way iyo 14% ni uwekezaji wa 100M+ so huwezi kumpa rate mtu 14% anayeweka 1M ndio maana kuna yule alisema 50M nikamwambia rates inakuwa ni 7%Mkuu siyo kwamba tunataka kukuharibia biashara, tunachokuambia ni kwamba moja ya dalili za benki kuwa pagumu ni hii ya kutafuta deposits kwa gharama nafuu.
Inaonekana ina obligations inatakiwa kusettle lakini hela hakuna, na hii ni shortrun solution, kwa sababu hizi nazo zitakapoanza ku mature tatizo hili litarudi.
Chukulia mfano, sasa hivi mikopo iko kwenye 17%, sasa unapochukua deposits za 14% ukakopeshe kwa 17% maana yake una margin ya 3%. Hapo kuna running costs kibao ambazo hiyo margin ni ndogo sana.
Hivi unajua sasa hivi sokoni bei ya fixed ikoje ni kati ya 5%-8% ni hii ni bank 5billion sasa wewe 100m tuu unampa hiyo rate ya 14% ambayo ni twice the market so sisi tunapata red right kma mtaweza ku meet financial obligations kipindi hizo liability zitakavyofika maturityOfcoz ndio maana nikasemaje it's for two years na bado kuna tradition rates zipo and by the way iyo 14% ni uwekezaji wa 100M+ so huwezi kumpa rate mtu 14% anayeweka 1M ndio maana kuna yule alisema 50M nikamwambia rates inakuwa ni 7%
Watu wenye fixed deposit ni watu smart na waelewa ndo maana hii kampeni ni mwaka2 inaendelea ina maana malengo yenu bado hayajafikiwa so ni jambo la kheri endeleni kuchoma mtaji wenu kwenye matangazo na other campaignsOfcoz ndio maana nikasemaje it's for two years na bado kuna tradition rates zipo and by the way iyo 14% ni uwekezaji wa 100M+ so huwezi kumpa rate mtu 14% anayeweka 1M ndio maana kuna yule alisema 50M nikamwambia rates inakuwa ni 7%
Ofcoz ndio maana nikasemaje it's for two years na bado kuna tradition rates zipo and by the way iyo 14% ni uwekezaji wa 100M+ so huwezi kumpa rate mtu 14% anayeweka 1M ndio maana kuna yule alisema 50M nikamwambia rates inakuwa ni 7%
Ndio maana nikakwambia kuna tradition rates na iyo rate ni kwa muda mfupi yani bafo hujaelewa tu kama unauzoefu for two years then the rates will dropHivi unajua sasa hivi sokoni bei ya fixed ikoje ni kati ya 5%-8% ni hii ni bank 5billion sasa wewe 100m tuu unampa hiyo rate ya 14% ambayo ni twice the market so sisi tunapata red right kma mtaweza ku meet financial obligations kipindi hizo liability zitakavyofika maturity