DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

DCB bank yatoa fixed account hadi 14% kwa mwaka

Huwezi kuona kwasababu hujui mimi financial Risk analyst na niko certified na verified na ACIFMA na nina Aci dealing certificate
Hongera chief, sema shida kidogo unaelimu ila unachokosea una attack ukibadirika kidogo tu utakuwa mtu mwenye mawazo ila ukiwa una attack unaweza ukawa una ujuzi lkn skills utakuwa una lack
 
Hongera chief, sema shida kidogo unaelimu ila unachokosea una attack ukibadirika kidogo tu utakuwa mtu mwenye mawazo ila ukiwa una attack unaweza ukawa una ujuzi lkn skills utakuwa una lack
Hujaelewa tuu vitu mimi sitatoa attack wala kuonesha mim nacheza na numbers tuu wewe hapa ni anonymous hujulikani so DCB sio baba yako wala mama yako so kma kuna shida unakubali tuu
 
Hongera chief, sema shida kidogo unaelimu ila unachokosea una attack ukibadirika kidogo tu utakuwa mtu mwenye mawazo ila ukiwa una attack unaweza ukawa una ujuzi lkn skills utakuwa una lack
Tafuteni mtaji alafu ondoeni staff wenu wajanja kwasababu kufanya kazi na watu wenye integrity ndogo ni tabu Sana pia lipeni mishahara inayoeleweka vijana tuje tuwapigie kazini ni miaka 3 mpka mi5 inakaa poa
 
Km
Kuna kitu nimekiona sasa hivi baada ya tier1 banks kukazana na mambo ya Risk management na kuweka control nzuri sasa hivi fraudsters wanapiga hela kwenye Mobile network operators agents sijui mpesa,tigopesa yani watu wanapoteza hela sana

Nifafanulie hii kidogo mkuu. Nipo bado kwenye entry level!
 
[emoji23][emoji23]kila sehemu kuna shida huwezi kukimbia changamoto
Hujaelewa tuu vitu mimi sitatoa attack wala kuonesha mim nacheza na numbers tuu wewe hapa ni anonymous hujulikani so DCB sio baba yako wala mama yako so kma kuna shida unakubali tuu
 
Sasa hivi kusikia fraud imetokea kwenye hizi top10 banks imekuwa nadra sana kwasababu control zimekuwa juu pamoja na adhering to SOP's sasa hawa fraudsters wameingia kwenye mpesa,tigo pesa na huko watu wanaibiwa sana

Shukran sana Mkuu!. Ubarikiwe. Nimejifunza mengi sana kwenye comments zako kwenye huu uzi!
 
Karibu sana mkuu jaribu kujifunza mambo ya Risk analysis na Treasury operations
Jamaa alikuchukulia poa,ulivyoweka "overdrive" jamaa kalegea.
Anyway;mtu akiweka pesa zake kwenye hiyo fixed deposit,anapigwa?
 
Chukua 10 mkuu. Bank ilikuwa safi sana hii ila sijui kilichoikumba for the past few years. Ndiyo ile lugha ya mtu fulani kuwa atakayebaki mjini mpaka Dec ya 2017 or 2018 ndiyo mwanaume. Mwaka nimesahau maana kichwa kinashika yale mazuri ya kutia moyo tu. Ukweli bank nyingi zina liquidity challenge na ndiyo maana zile za serikali wameunganisha sana. Majuxi TIB Corporate imeungwa na Post a ambayo tayari ilishaungwa na benki ya wanawake na bank moja nyingine. Ni hatari sana hii.
Muda unazidi kuzungumza hii bank haina muda
 
Sasa hivi kusikia fraud imetokea kwenye hizi top10 banks imekuwa nadra sana kwasababu control zimekuwa juu pamoja na adhering to SOP's sasa hawa fraudsters wameingia kwenye mpesa,tigo pesa na huko watu wanaibiwa sana

Hawa top 10 ndo kina CRDB, NMB, NBC, EQUITY, ACB au nimekosea mkuu
 
Mkuu inaonekana wewe ni mjuvi katika soko hili. Hiyo 5-8% ni kwa TZS ama na US$ pia?
Hivi unajua sasa hivi sokoni bei ya fixed ikoje ni kati ya 5%-8% ni hii ni bank 5billion sasa wewe 100m tuu unampa hiyo rate ya 14% ambayo ni twice the market so sisi tunapata red right kma mtaweza ku meet financial obligations kipindi hizo liability zitakavyofika maturity
 
Huyu jamaa alieleta hii mada hayupo vizuri kabisa kwenye masuala ya bank, umemu-outshine sana.

Mm pia nimeshtushwa sana na kuona 14% kwa mil 100, chukua mfano mdogo tu wa bank ya NBC ambao wao wanatoa 7% kwa pesa zaidi ya mil 300. Na hiyo mil 100 inaangukia kwenye 4%

Kuna mawili kwa huyu jamaa
1) hajui kitu kuhusiana na fixed deposits, hapa huenda ni mgeni au ni hivyo bank inatumia njia za panya kuwin customers
2) alitaka kutapeli watu
Iko hivi treasury bills na fixed deposits siku zote fixed deposits zinakuwa na rate ndogo sana na Risk ya fixed deposit iko juu so kwenye primary market itakuwa ni around 8%-9% kwenye bid/offer rate,naweza kukoselewa kwenye hili
 
Chief ni kutapeli ww?
Huyu jamaa alieleta hii mada hayupo vizuri kabisa kwenye masuala ya bank, umemu-outshine sana
Mm pia nimeshtushwa sana na kuona 14% kwa mil 100, chukua mfano mdogo tu wa bank ya NBC ambao wao wanatoa 7% kwa pesa zaidi ya mil 300. Na hiyo mil 100 inaangukia kwenye 4%
Kuna mawili kwa huyu jamaa
1) hajui kitu kuhusiana na fixed deposits, hapa huenda ni mgeni au ni hivyo bank inatumia njia za panya kuwin customers
2) alitaka kutapeli watu
 
Either hujanielwa, au hujasoma maelezo vizuri niliyoyaandika.. ushawahi kuweka iyo fixed ya 300M ukapewa izo 3% ndani ya mwaka?pengine hujui fixed ni account maalumu na zinamature kutokana muda na rates zinatofautiana na muda unaotaka kuweka na kama hujui hii negotiation huwa inatokea mteja na bank ...then ukarukia kwenye utapeli it's better ufanye utafiti wako vizuri lkn sio kukulupuka kuwa ni matapeli

Back
Top Bottom