- Thread starter
- #101
Kuna local bank nyingi zina strategy iyo lkn sio kama ulizodhiorodhesha na bado zina survive tu vizuri may b unaiona DCB bank labda ni underdog local bank zipo nyingi na bado zina survive
Kwa financial Reporting standard(IFRS 9) tutashudia mergers and acquisitions zakutosha pamoja na liquidation on small banks kama DCB,ACCESS,FINCA sidhani kama wataweza kuhimili ushindani kwenye soko kwasababu walitumia approach mbaya kuingia sokoni na hii strategy ya kutoa credit facility rather kutafuta deposits zakutosha